Luhaga Mpina: Deni la Serikali lapaa kutoka Trillion 62.4 mwaka 2021, Hadi kufikia Trillion 96.9 mwaka 2024 !!

Luhaga Mpina: Deni la Serikali lapaa kutoka Trillion 62.4 mwaka 2021, Hadi kufikia Trillion 96.9 mwaka 2024 !!

ni kwa ajili ya kununulia ma vieit na kujaziana posho mifukoni tu.
Kupenda kwetu amani, wanatuona mazumbukuku kabisa, hii nchi wanasiasa wameiharibu na kuitafuna mnoo kwa kweli, kwa kigezo cha kudumisha amani
 
Sijui kwann akili inaniambia mpina ni project ya serikali ili upinzani umuone anafaa then wamvute.

Lisu awe makini this time around
 
Wakuu vijana lazima tufanye namna wakati huu tusiishie tu kulalama mtandaoni... Lazima sasa tuamke na kuchukua hatua. #Say no to emptyheaded leaders
 
Ipo siku nchi itapigwa mnanda in ndungai voice
 
Kuna shida gani ukikopa hizo hela? Mbona huulizi matumizi ya mikopo?

Nchi zote Zenye maendeleo Zina madeni makubwa sana

Pili pikipiko na Mali zingine za chama zimenunuliwa Kwa hela za chama so Wacha propaganda za kijinga.

Samia Scholarship ni program ya bodi ya mikopo,inaonesha huelewi unachoongea.

Kuna Serikali imekusanya hela nyingi Toka uhuru kuzidi ya Samia? Na hakuna mwaka TRA imewahi kusanya chini ya asilimia 97%

Ufisadi ambao wewe unaujua na kuwajua ilitakiwa kuwaumbua na kuutaja ,kama umeshindwa manake hakuna udhibiti wa Serikali ni mkubwa.

Mbona Nchi hii ni Kati ya Nchi 10 Zenye maendeleo makubwa Afrika? Unaswmaje haijafika popote? Huoni unakuwa mjinga?View attachment 3217948
Marekani hata sasa umeona Trump na Elon wanahoji mikopo mikubwa hiyo inafanya nini? Sasa wamejizatiti kupunguza matumizi ya serikali. Serikali yenyewe imeamua kupambana kupunguza matumizi.

Sisi mikopo inaenda kuweka matangazo ya mama anaupiga mwingi nchi nzima, pikipiki nchi nzima, baskeli nchi nzima, legal aid nchi nzima, kuwapa hela kina Mwamposa na kina rais wa manabii nchi nzima, hakuna kitu cha maendeleo.
 
Sasa shida Iko wapi? Amewaelezea kwamba na Uchumi umepata?

Kwani amewaambia kuna shida gani ,mbona Kuna Hawa wenye madeni makubwa umeona ni maskini? πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 3217925
Shida ipo kubwa sana kama wewe huoni basi unatatizo kubwa kuliko kupitiliza.

Mama Samia anataka kutawala Jamhuri ya Muungano huku akitumia rasilimali za Tanganyika kujenga Zanzibar.

Hili ni tatizo kubwa sana tena.Ikiwa wewe ni Mtanganyika unadhingilia huu ujinga ni dhahiri uwezo wako wa kutafakari na kuchanganua mambo upo chini ya viwango vingi.Yamkini umebakiza akili za kukusaidia kuvuka barabara.

Huyu Rais imekuwa ni rahisi sana kutapanya rasilimali za Tanganyika huku rasilimali za Zanzibar zikilindwa kwa viwango vyote.Mfano mzuri ni Bandari za Tanganyika kuuzwa huko Dubai;Uwanja wa Ndege KIA...

Mwl Nyerere alituachia majanga makubwa kuputia aina ya muungano ambao haupo popote Dunia.Utekelezaji wake ni upuuzi mtupu.
 
Marekani hata sasa umeona Trump na Elon wanahoji mikopo mikubwa hiyo inafanya nini? Sasa wamejizatiti kupunguza matumizi ya serikali. Serikali yenyewe imeamua kupambana kupunguza matumizi.

Sisi mikopo inaenda kuweka matangazo ya mama anaupiga mwingi nchi nzima, pikipiki nchi nzima, baskeli nchi nzima, legal aid nchi nzima, kuwapa hela kina Mwamposa na kina rais wa manabii nchi nzima, hakuna kitu cha maendeleo.
Mada ni Tanzania sio USA.

Mbona unalazimisha unachokitaka kichwani kwako ndio.kiwe? Kwani CCM Haina hela za kununua pikipiki,magari nk? Wameanza Leo kununua?

Hayo ya kina Mwamposa sijui Samia Legal Aid campaign hayana uthibitisho,Kwa Mwamposa mnaenda wenyewe kununua maji.

Kwamba Mwamposa ni mbaya kisa hawaungi mkono ila Bagonza na Kitine wako sawa Kwa sababu wanawaunga mkono si ndio? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Madeni yanafanya kazi zifuatazo πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DFaypnhtvXQ/?igsh=MXh5ZTF2MWR6Nmc4eQ==

Kimsingi nyie nyumbu wa Chadomo hamna hoja ya kujadiliana na Mimi
 
Shida ipo kubwa sana kama wewe huoni basi unatatizo kubwa kuliko kupitiliza.

Mama Samia anataka kutawala Jamhuri ya Muungano huku akitumia rasilimali za Tanganyika kujenga Zanzibar.

Hili ni tatizo kubwa sana tena.Ikiwa wewe ni Mtanganyika unadhingilia huu ujinga ni dhahiri uwezo wako wa kutafakari na kuchanganua mambo upo chini ya viwango vingi.Yamkini umebakiza akili za kukusaidia kuvuka barabara.

Huyu Rais imekuwa ni rahisi sana kutapanya rasilimali za Tanganyika huku rasilimali za Zanzibar zikilindwa kwa viwango vyote.Mfano mzuri ni Bandari za Tanganyika kuuzwa huko Dubai;Uwanja wa Ndege KIA...

Mwl Nyerere alituachia majanga makubwa kuputia aina ya muungano ambao haupo popote Dunia.Utekelezaji wake ni upuuzi mtupu.
Ona Sasa sijui unaongea nini.Shida Iko wapi?

Ulitaka atawale Kwa kutumia Mali za DRC? Kwani Ameivunja Katiba ? Hivi nyie nyumbu mna akili kweli?

Ujinga upi naoshangilia? Tanganyika ndio wapi? Mipaka yake Iko wapi?.Iweje Rais wa Nchi ya Kigeni kutoka Tanzania aje kutawala Tanganyika,mda huo nyie Mko wapi? Huna akili.

Hakuna Rasilimali za Tanganyika ila Kuna Rasilimali za Nchi.Tangu lini uwekezaji kwenye Bandari ukawa ni kuuza? Kwamba Bandari imekuwa Kwa hiyo Nchi ilipewa chake Kwa Sasa hela zinakusanywa na DP World Tanzania hakuna inachopata au?

Kwamba pale KIA hakuna kitu Nchi inapata Kwa sababu ground airport operator ni kutoka Oman ama?

Ila hapo Dar airport penyewe nk sawa kabisa Swissport akiwa mwekezaji au? πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ˜‚πŸ˜‚

Mnaweza tafuta wajinga wenzenu ndio mkawaeleza huo uzushi,Mimi Nina akili.ukoo wenu wote na kina Mpina wakasome Huwa sishikiwi akili.

Mwisho muungano umeleta majanga gani? Nyerere si alikuwa mtanganyika ikawaje tena awaachie majanga? Nilisema hamna akili nitakuwa nimewakosea? 😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom