Luhaga Mpina: Deni la Serikali lapaa kutoka Trillion 62.4 mwaka 2021, Hadi kufikia Trillion 96.9 mwaka 2024 !!

Luhaga Mpina: Deni la Serikali lapaa kutoka Trillion 62.4 mwaka 2021, Hadi kufikia Trillion 96.9 mwaka 2024 !!

Ndiyo maana tungekuwa taifa la watu wanaojitambua huyu mama hakupaswa kupigiwa chapuo la kurudi ikulu hata hao Ccm wamefanya upumbavu wa kiwango cha juu sana kumpitisha kwa mbaembwe.

Na akiwa rais awamu inayokuja tujue deni litapaa zaidi kwasababu hatakuwa na hofu ya kuupoteza urais maana ni ngwe yake ya mwisho. Jeshi na usalama wa taifa sijui wanalitakia nini hili taifa aise dah!!
Bila kumsahau mastermind Mzee wa msoga!
 
Kuna shida gani ukikopa hizo hela? Mbona huulizi matumizi ya mikopo?

Nchi zote Zenye maendeleo Zina madeni makubwa sana

Pili pikipiko na Mali zingine za chama zimenunuliwa Kwa hela za chama so Wacha propaganda za kijinga.

Samia Scholarship ni program ya bodi ya mikopo,inaonesha huelewi unachoongea.

Kuna Serikali imekusanya hela nyingi Toka uhuru kuzidi ya Samia? Na hakuna mwaka TRA imewahi kusanya chini ya asilimia 97%

Ufisadi ambao wewe unaujua na kuwajua ilitakiwa kuwaumbua na kuutaja ,kama umeshindwa manake hakuna udhibiti wa Serikali ni mkubwa.

Mbona Nchi hii ni Kati ya Nchi 10 Zenye maendeleo makubwa Afrika? Unaswmaje haijafika popote? Huoni unakuwa mjinga?View attachment 3217948
Yetu sisi yako wapi?
 
Kwamba hujui matumizi yake au unasumbuliwa na chuki? Haya hapa 👇 👇

View: https://www.instagram.com/p/DFYNGLaMfaC/?igsh=N2h4dmlsbnZxNms3

Usikimbilie kutuletea picha ya miradi uchwara hapa!
Hata Heche jana alisema bado tunahangaika na mambo ya vyoo vitu vya kijinga kabisa ndani ya miaka 60 ya Uhuru!
Huyo Bibi yako kakopa sana na huku ukijinadi kukusanya kodi kwa wingi lakini matokeo yake ni kiduchu sana!
Wakandarasi wa ndani bado hawalipwi pesa zao kwa wakati!
Ujenzi wa barabara unasuasua kila kona ya nchi harafu wewe kichwa nazi unakuja kutetea ujinga hapa!
Hii serkali ilofeli haiwezi kuwa na matokeo chanya kwa wananchi wake!
 
Sawa na Ongezeko la Trillion 32.4 .

"katika mwaka 2020/2021 mashauri ya malimbikizo ya kodi za makinikia yaliamuliwa katika mahakama za rufani za kodi yenye thamani ya shilingi Trilioni 5.595 na mahakama kuagiza kufanyika mazungumzo kati ya Serikali na walipa kodi ambayo ni North Mara gold mine, Pagea minerals limited, Buryanghuru gold mine, Abg exploration na kuweka utaratibu wa namna ya kulipa"

"Pia kiasi cha shilingi Trilioni 343.5 iliondolewa katika mahakama ya rufani na kurudiwa kusikiliza na TRA.Mwaka 2021 serikali ilieleza kuwa madai hayo yalifutwa kutokana na makubaliano yaliyofanyika baina ya serikali na makampuni ya madini. Hii ni kinyume cha sheria kwakuwa Waziri wa Fedha na TRA hawana mamlaka kisheria kufuta madeni ya nchi bila ridhaa ya bunge."

"Nashauri Tume ya Rais ya ya maboresho ya kodi kushinikiza madai ya malimbikizo ya kodi kwa makampuni ya madini makinikia na hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwa."

View: https://www.youtube.com/live/rwIdf9x54HE?si=7DqEJdRObXwam_J4

View: https://www.youtube.com/live/N7-htfoVO6I?si=cKQ2XwIHyQWwd-Mr

Hizi ni dalili za Baba Jeni baibai! Ngoja tusubiri wajumbe kwenye kura za maoni!!
 
Usikimbilie kutuletea picha ya miradi uchwara hapa!
Hata Heche jana alisema bado tunahangaika na mambo ya vyoo vitu vya kijinga kabisa ndani ya miaka 60 ya Uhuru!
Huyo Bibi yako kakopa sana na huku ukijinadi kukusanya kodi kwa wingi lakini matokeo yake ni kiduchu sana!
Wakandarasi wa ndani bado hawalipwi pesa zao kwa wakati!
Ujenzi wa barabara unasuasua kila kona ya nchi harafu wewe kichwa nazi unakuja kutetea ujinga hapa!
Hii serkali ilofeli haiwezi kuwa na matokeo chanya kwa wananchi wake!
Miradi uchwara ndii inakuaje?

Ulitaka Watoto wanye Nje kama hakuna vyoo hasa huko kwenu Usukuma?

Kama wakandarasi hawalipwi wako site kufanya nini? Wanatumia hela zipi kufanya kazi? Suala la Barabara kusuasua lipo hivyo miaka yote by the way Samia amerithi utitiri wa madeni ya wakandarasi na wazabuni,madeni yalitoka wapi kama mlikuwa mnawalipa Kwa wakati?

Serikali ilisema ilikuwa inamalizana na wakandarasi wa miradi mikubwa ya Mwendazake iliyoanzishwa bila utaratibu ila Kwa Sasa flow ya hela imerudi.

Mwisho Serikali iliyofeli haiwezi kufanya mambo makubwa ambayo yamefanyika ambayo wewe na unaowatumikia mnayajua eg 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFVWmVYNQdl/?igsh=ZXhocjA3NTU4dzZh
 
Walivyo wapumbavu wanaficha nje ya nchi. Na wengine kufanya mambo ya hovyo kama kutoka na mademu na machoko.
Ni upumbavu mkubwa uliopo sasa.
Mungu tu ndie atakayetuokoa
Wanaoficha Nchi gani na mifano ya hao ni kina nani nyie sukuma gang mbona hamuwataji mnalishana upumbavu?
 
Ndiyo maana tungekuwa taifa la watu wanaojitambua huyu mama hakupaswa kupigiwa chapuo la kurudi ikulu hata hao Ccm wamefanya upumbavu wa kiwango cha juu sana kumpitisha kwa mbaembwe.

Na akiwa rais awamu inayokuja tujue deni litapaa zaidi kwasababu hatakuwa na hofu ya kuupoteza urais maana ni ngwe yake ya mwisho. Jeshi na usalama wa taifa sijui wanalitakia nini hili taifa aise dah!!
Kwani deni likipaa zaidi na Uchumi kupata zaidi Kuna shida gani? Hawa wenye madeni makubwa uchumi wao kukoje?
Screenshot_20241126-165919.jpg

Nadhani wewe ndio mpumbavu Kwa sababu CCM wame gauge kinachoitwa deni kubwa vs matokeo ya Hilo deni kubwa 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DFcB6jRNfxE/?igsh=YmdsaThjY2ZyZm56
 
Back
Top Bottom