Luhaga Mpina hamia CHADEMA, CCM hapakufai

Luhaga Mpina hamia CHADEMA, CCM hapakufai

Luhaga mpina anafaa kuwa rais kwa sasa ili nchi ainyooshe.Mama, wtz tunakuomba umkabidhi mpina ili tuwadhibiti wa kina mwigulu na mafisadi wengine.
Sukuma gang hawezi kupewa nchi tena maana tushaumwa na nyoka
 
Luhaga Mpina ameamua kujivua gamba.

Inawezekana ni kwakuwa yupo nje ya 18 za upigaji maana alipokuwa waziri sikuwahi kumsikia akiwa na akili kiasi hiki.

Anashangaa hadi leo hii kumuona Mwigulu Nchemba na Makame Mbarawa na Kadogosa wakiwa bado mitaani badala ya kuwa nyuma ya nondo za gereza la ukonga.

Kama akili zimemrudia hivi namshauri aombe kujiunga na cdm.View attachment 2584960View attachment 2584961
Ahamie CDM kufanya nini wakati nao ni sehemu ya wezi? Aliowataja ni halali yao kuwajibishwa kwa kushindwa kudhibiti matumizi mabaya ya fedha za umma
 
Wewe mleta mada jinga kabisa! Mmepewa mateso na hawa watu kwa miaka 6, leo hii unawamwagia mahaba!! Ok, pokeeni na Sabaya, Makonda!! Hivi wakati report ya CAG miaka 6 iliyopita inapigwa pini na kushambuliwa hawa si ndiyo walikuwa serikalini? Wakati Assad anatolewa kwa aibu kubwa na kuzomewa hawa si ndiyo walikuwa serikalini? Leo mnapewa uhuru wa kujadili mambo ya nchi yenu mnawakaribisha wale wahuni kwenye chama chenu, NYAMBAF
 
Matusi hayasaidii kubadilisha mawazo ya mleta mada.

Kuwa muungwana jibu hoja kwa hoja vinginevyo endelea kulinda kaburi la masiah wenu
 
Matusi hayasaidii kubadilisha mawazo ya mleta mada.

Kuwa muungwana jibu hoja kwa hoja vinginevyo endelea kulinda kaburi la masiah wenu
So baada ya Mpina utamkaribisha nani CDM? makonda? Dotto James? Sabaya? or yeyote yule ili mradi tu anaipinga serikali? brain ndogo
 
usimtishe mpina ,abakie hapohapo ,huoni mwezake Bashe aliikamatia wizara ya kilimo mpaka akapewa

Na mpina abakie hapohapo
 
Back
Top Bottom