Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahamie CDM kufanya nini wakati nao ni sehemu ya wezi? Aliowataja ni halali yao kuwajibishwa kwa kushindwa kudhibiti matumizi mabaya ya fedha za ummaLuhaga Mpina ameamua kujivua gamba.
Inawezekana ni kwakuwa yupo nje ya 18 za upigaji maana alipokuwa waziri sikuwahi kumsikia akiwa na akili kiasi hiki.
Anashangaa hadi leo hii kumuona Mwigulu Nchemba na Makame Mbarawa na Kadogosa wakiwa bado mitaani badala ya kuwa nyuma ya nondo za gereza la ukonga.
Kama akili zimemrudia hivi namshauri aombe kujiunga na cdm.View attachment 2584960View attachment 2584961
Aende kwa walamba asali
Matusi hayasaidii kubadilisha mawazo ya mleta mada.Wewe mleta mada jinga kabisa! Mmepewa mateso na hawa watu kwa miaka 6, leo hii unawamwagia mahaba!! Ok, pokeeni na Sabaya, Makonda!! Hivi wakati report ya CAG miaka 6 iliyopita inapigwa pini na kushambuliwa hawa si ndiyo walikuwa serikalini? Wakati Assad anatolewa kwa aibu kubwa na kuzomewa hawa si ndiyo walikuwa serikalini? Leo mnapewa uhuru wa kujadili mambo ya nchi yenu mnawakaribisha wale wahuni kwenye chama chenu, NYAMBAF
So baada ya Mpina utamkaribisha nani CDM? makonda? Dotto James? Sabaya? or yeyote yule ili mradi tu anaipinga serikali? brain ndogoMatusi hayasaidii kubadilisha mawazo ya mleta mada.
Kuwa muungwana jibu hoja kwa hoja vinginevyo endelea kulinda kaburi la masiah wenu
Uzi wa buibui!Kama vipi sepa tu tuwachie uzi wetu
Kama ambavyo hawezi pewa tundu lissu!Sukuma gang hawezi kupewa nchi tena maana tushaumwa na nyoka
Hilo ni Jina la pili la mleta uzi!Phala sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mjomba wangu ni chacha wangwe!Kafa kama yulemjomba wako?
Chadema wanapogeuka chawa!Jiwe linapogeuka vumbi