Luhaga Mpina: Katiba iliyopo ina matobo ndio maana Viongozi kama Waziri wa Fedha wanalichezea Bunge. Viongozi wasiteuliwe bali wafanyiwe Usaili

Luhaga Mpina: Katiba iliyopo ina matobo ndio maana Viongozi kama Waziri wa Fedha wanalichezea Bunge. Viongozi wasiteuliwe bali wafanyiwe Usaili

Hili la kuteua tu mtu kwa kuangalia alisoma chuo fulani na chuo fulani au alipata A kweye cheti kisha unamteua ndio inafanya tunapata incompetent leaders,lazima tuanze kufanya usaili
Kwa hio hata aliepata Division Zero darasa la 7 anafaa kua kiongozi km akifanyiwa usaili akapita au sio?
 
Huyu bwana kauli yake ya kusema phd yake "'siyo ya heshima bali ya darasani"
Niliona hiyo kauli kuna watu imewakosea adabu,japo wanauwezo wa kumpa au kumnyima hiyo nafasi ya kuwananga jukwaani.Lakini kwa kuwa nimeliona mimi tuu
naomba tuwe watulivu. tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka.
[emoji3]
 
Hujamulewa,anataka hizo nafasi ziwe zinaombwa au hata kama umesoma vizuri lazima pawepo ushindani baina ya watu kadhaa kwa njia ya usaili ili kupata mtu bora
Kwa hio Division Zero asiepata A nae atakua included? maana naona imetajwa alama A km kitu kinachowaumiza wasiowahi kupata A
 
Huyu bwana kauli yake ya kusema phd yake "'siyo ya heshima bali ya darasani"
Niliona hiyo kauli kuna watu imewakosea adabu,japo wanauwezo wa kumpa au kumnyima hiyo nafasi ya kuwananga jukwaani.Lakini kwa kuwa nimeliona mimi tuu
naomba tuwe watulivu. tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka.
Nilichomwelewa bwana Madelu anasema yeye PhD yake aliisotea kwa muda na hakupewa km Zawadi tu km zilivyo PhD zingine za akina SSH na JK
 
Kwa hio Division Zero asiepata A nae atakua included? maana naona imetajwa alama A km kitu kinachowaumiza wasiowahi kupata A
Lazima vigezo viwepo kama kawaida,hio kusema A ni mfano tu
 
Mpina anaweza akawa ana mapungufu kama binadamu hatukatai, ila Mwigulu jamani mweupe mno kichwani , waziri wa fedha anadai Tanzania Ina pesa za akiba USD bil6000? , Mara USD bil4000, hizi pesa hatujawahi kuwa nazo Tanzania toka nchi hii ianzishwe, Mwigulu ni Bure kabisa, sijui PhD aliipataje, yaani unajua akianza kujibu swali una muonea huruma, nafikiri katika mawaziri weupe awamu hii anashika namba 1
 
Kwa hio Division Zero asiepata A nae atakua included? maana naona imetajwa alama A km kitu kinachowaumiza wasiowahi kupata A
Kwani hajaelewa kweli ama unatafuta ligi tu, A isiyoweza kuwa reflected kwa mtu ni A ya aina gani hiyo si bora Zero kama ina content?
 
DR.S.S.H UMETUTOA NYUZI MIDOMONI MWETU,SASA TUNAENENDA KUPONA KIDONDA CHA KUZIBWA MIDOMO.
 
Akiwa nje ya Box ndio anaona hayo,alipokua ndani ya system aliwahi kudai hivyo?!!
Huyo ndiye aliyepima "SAMAKI KWA RULA"
Tueleze wewe, ulitaka samaki wapimwe kwa kifaa gani?

Kama wewe uliona kupima samaki kwa 'rula' ndiko kulikopunguza ufanisi wa kazi yake akiwa waziri, wewe ulitaka afanye mambo gani ndani ya wizara hiyo ili awe amefikia viwango unavyovitegemea wewe?
Alipokuwa waziri wa Jiwe aliwahi kushari haya.

Huyu mnafiki sana, TENA amepungukiwa akili.
Zumbukuku.

Hawa ndio watu Walipokuwa wanamuabudu Binadamu na si Mungu.

MASIKINI TANZANIA YANGU.
Wewe hapa umetoa mchango gani wa maana kwa maandishi haya! Kweli huonyeshi kuwa "umepungukiwa" kuliko hata yeye!
 
Alipokuwa waziri wa Jiwe aliwahi kushari haya.

Huyu mnafiki sana, TENA amepungukiwa akili.
Zumbukuku.

Hawa ndio watu Walipokuwa wanamuabudu Binadamu na si Mungu.

MASIKINI TANZANIA YANGU.
Penye Ukweli ndio hapo na amegusa penyewe Sasa wewe unapopoma Nini!? KATIBA KATIBA.
 
Kwani hajaelewa kweli ama unatafuta ligi tu, A isiyoweza kuwa reflected kwa mtu ni A ya aina gani hiyo si bora Zero kama ina content?
[emoji3]
 
Kwani hajaelewa kweli ama unatafuta ligi tu, A isiyoweza kuwa reflected kwa mtu ni A ya aina gani hiyo si bora Zero kama ina content?
A Ina mashiko kuonyesha reflection ya kile mtu alichonacho kuliko SIFURI isiyo na kitu ndani yake (kapu tupu)

Nikuulize swali dogo:

Ukipewa watu wawili mmoja ana uwezo 100 na mwingine ana uwezo 0

Let say kazi wanayotakiwa kufanya ni kuendesha gari mmoja ana uwezo 100 (A) wa kuendesha gari Ila mwingine ana uwezo 0 (F) wa kuendesha gari

Utafanya kazi na yupi kati ya hao wawili mwenye A au mwenye F?
 
Mh.dr. Mwigulu songa mbele, pigana miradi iishe kama nilivyowahi kusema kuna Vita wako wasiopenda miradi hii iishe! aidha wanaumia wakiona jinsi inavyotekelezwa kwa kasi, Mbona kwenye awamu ya tano hawakuthubutu kuhojihoji!
Miradi gani Mkuu hebu itaje tuelewe!
 
A Ina mashiko kuonyesha reflection ya kile mtu alichonacho kuliko SIFURI isiyo na kitu ndani yake (kapu tupu)

Nikuulize swali dogo:

Ukipewa watu wawili mmoja ana uwezo 100 na mwingine ana uwezo 0

Let say kazi wanayotakiwa kufanya ni kuendesha gari mmoja ana uwezo 100 (A) wa kuendesha gari Ila mwingine ana uwezo 0 (F) wa kuendesha gari

Utafanya kazi na yupi kati ya hao wawili mwenye A au mwenye F?
Nikuulize na mimi swali kama unavyouliza hapa, samaki na swala nani ana mbio zaidi ya mwenzake?
Unauliza maswali yanayokosa context...Mtu kupata zero ni subject to marking scheme ya msahihishaji. Mfano, aliyesema dunia ni duara wakati ule ambapo dunia yote inajua ni mstatili kwenye mtihani wa wakati huo nani angepata 100 na nani angepata sifuri?

Hapo sasa nikulize ungependa kufanya kazi na yupi?
 
Back
Top Bottom