Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Kwa hio hata aliepata Division Zero darasa la 7 anafaa kua kiongozi km akifanyiwa usaili akapita au sio?Hili la kuteua tu mtu kwa kuangalia alisoma chuo fulani na chuo fulani au alipata A kweye cheti kisha unamteua ndio inafanya tunapata incompetent leaders,lazima tuanze kufanya usaili
[emoji3]Huyu bwana kauli yake ya kusema phd yake "'siyo ya heshima bali ya darasani"
Niliona hiyo kauli kuna watu imewakosea adabu,japo wanauwezo wa kumpa au kumnyima hiyo nafasi ya kuwananga jukwaani.Lakini kwa kuwa nimeliona mimi tuu
naomba tuwe watulivu. tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka.
Hujamulewa,anataka hizo nafasi ziwe zinaombwa au hata kama umesoma vizuri lazima pawepo ushindani baina ya watu kadhaa kwa njia ya usaili ili kupata mtu boraKwa hio hata aliepata Division Zero darasa la 7 anafaa kua kiongozi km akifanyiwa usaili akapita au sio?
Kwa hio Division Zero asiepata A nae atakua included? maana naona imetajwa alama A km kitu kinachowaumiza wasiowahi kupata AHujamulewa,anataka hizo nafasi ziwe zinaombwa au hata kama umesoma vizuri lazima pawepo ushindani baina ya watu kadhaa kwa njia ya usaili ili kupata mtu bora
Nilichomwelewa bwana Madelu anasema yeye PhD yake aliisotea kwa muda na hakupewa km Zawadi tu km zilivyo PhD zingine za akina SSH na JKHuyu bwana kauli yake ya kusema phd yake "'siyo ya heshima bali ya darasani"
Niliona hiyo kauli kuna watu imewakosea adabu,japo wanauwezo wa kumpa au kumnyima hiyo nafasi ya kuwananga jukwaani.Lakini kwa kuwa nimeliona mimi tuu
naomba tuwe watulivu. tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka.
Kwani hajaelewa kweli ama unatafuta ligi tu, A isiyoweza kuwa reflected kwa mtu ni A ya aina gani hiyo si bora Zero kama ina content?Kwa hio Division Zero asiepata A nae atakua included? maana naona imetajwa alama A km kitu kinachowaumiza wasiowahi kupata A
Tueleze wewe, ulitaka samaki wapimwe kwa kifaa gani?Akiwa nje ya Box ndio anaona hayo,alipokua ndani ya system aliwahi kudai hivyo?!!
Huyo ndiye aliyepima "SAMAKI KWA RULA"
Wewe hapa umetoa mchango gani wa maana kwa maandishi haya! Kweli huonyeshi kuwa "umepungukiwa" kuliko hata yeye!Alipokuwa waziri wa Jiwe aliwahi kushari haya.
Huyu mnafiki sana, TENA amepungukiwa akili.
Zumbukuku.
Hawa ndio watu Walipokuwa wanamuabudu Binadamu na si Mungu.
MASIKINI TANZANIA YANGU.
Achana na kujadili mtu ebu ongelea hoja yake ndo la msingiAlipokuwa waziri wa Jiwe aliwahi kushari haya.
Huyu mnafiki sana, TENA amepungukiwa akili.
Zumbukuku.
Hawa ndio watu Walipokuwa wanamuabudu Binadamu na si Mungu.
MASIKINI TANZANIA YANGU.
Penye Ukweli ndio hapo na amegusa penyewe Sasa wewe unapopoma Nini!? KATIBA KATIBA.Alipokuwa waziri wa Jiwe aliwahi kushari haya.
Huyu mnafiki sana, TENA amepungukiwa akili.
Zumbukuku.
Hawa ndio watu Walipokuwa wanamuabudu Binadamu na si Mungu.
MASIKINI TANZANIA YANGU.
A Ina mashiko kuonyesha reflection ya kile mtu alichonacho kuliko SIFURI isiyo na kitu ndani yake (kapu tupu)Kwani hajaelewa kweli ama unatafuta ligi tu, A isiyoweza kuwa reflected kwa mtu ni A ya aina gani hiyo si bora Zero kama ina content?
Miradi gani Mkuu hebu itaje tuelewe!Mh.dr. Mwigulu songa mbele, pigana miradi iishe kama nilivyowahi kusema kuna Vita wako wasiopenda miradi hii iishe! aidha wanaumia wakiona jinsi inavyotekelezwa kwa kasi, Mbona kwenye awamu ya tano hawakuthubutu kuhojihoji!
Nikuulize na mimi swali kama unavyouliza hapa, samaki na swala nani ana mbio zaidi ya mwenzake?A Ina mashiko kuonyesha reflection ya kile mtu alichonacho kuliko SIFURI isiyo na kitu ndani yake (kapu tupu)
Nikuulize swali dogo:
Ukipewa watu wawili mmoja ana uwezo 100 na mwingine ana uwezo 0
Let say kazi wanayotakiwa kufanya ni kuendesha gari mmoja ana uwezo 100 (A) wa kuendesha gari Ila mwingine ana uwezo 0 (F) wa kuendesha gari
Utafanya kazi na yupi kati ya hao wawili mwenye A au mwenye F?