mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Marhaba kijana
Una uhakika na kauli yako??
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marhaba kijana
ShukraniKaa kwa kutulia
Tulambe asali sisi
Pambana na hali yenu
Hakuna uchunguzi utakaofanyika hapa
Nenden mkanywe sumu sasa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hizo ni hearsay, hazina ukweli wala ushahidi.Kwenye kifo bosi huwa hatuleti utani aisee, yaani useme eti unamshukuru mungu umepata urais kwa kudra za mwenyezi mungu??? Maana yake umemuua mwenzako uwe rais????
Sisi ndio wapiga kura, Magufuli hakujiweka kitini. Huyo Mpina alifikiri Magufuli hawezi kufariki?A
Ametumwa na wapiga kura wake wewe macho kodo kwenye ugali 😂😂😂😂
Nishakusamehembarika nisamehe saba mara sabini.
Mkuu Mpina ni kiongozi.Tusiweweseke tumwache aseme, huenda yapo mengi mazito, tukimshambulia kwa maneno ni ishara tosha kuwa kuna jambo linafichwa
Nihusike vipi mkuu, namshangaa tu huyo ndugu yako toka Mwamashiba, kakomaa mishipa usoni akikumbuka alivyokuwa akivaa makoti mekundu.Kwani hofu yako ni nini? Ulihusika?
Ni kweli kabisa ni habari za uzushi na uchonganishi, na hata zile za akina bnsaa8 n.k. ni hivyo hivyo yaani wahuni walitumia mwanya wa ukali wa serikali kufanya matukio na ndiyo maana wanasema ukiwa mwanaharakati kwenye serikali yenye ukali uwe makini yaani ni sawa na ugombane na jirani halafu mbaya wako asikie cha kufanya atamuua then atakuwa wa kwanza kutoa taarifa na kusema alikuwa na ugomvi na fulani. Dkt Samia kosa lake kubwa ilikuwa kuanza vijembe vya kifo cha mtangulizi wake, yaani kauli zake zile zilipaswa zitoke kama angekuwa kachaguliwa kwa kura na Dkt Magufuli angekuwepo kama mstaafu lakini siyo kwa mwenzako kufa tena katiba inatambua wewe makamu unakuja kuwa rais kwa kutumia katiba, kwa hiyo chochote utakachoongea cha kumsema vibaya marahemu Dkt Magufuli lazima watanzania wafikiri alimuua ili awe rais kitu ambacho siyo kweli ila ni ushabiki wa siasa ambazo Dkt Samia zitamgharimu. Ana kazi sana tena ngumu kujisafisha maana kila sehemu watanzania wanasema sema sasa sijui nani anaeneza huu uzushi na kibaya Dkt Samia hana wa kumtetea, ni Makonda pekee aliweza ila wengine wanamdidimiza. All in all Dkt Samia is the best president na anajua uongozi na anajua kutumia machinery zake ila chawa sasa hahaha yaani wengine wanampotosha mnoHizo ni hearsay, hazina ukweli wala ushahidi.
Amejituma yeye mwenyewe, Kwani wewe unaonaje?Luhaga Mpina, yule kijana aliyekuwa waziri , haachi ulalamika.
Hajui kuwa dunia inakwenda mbele, hairudi nyuma.
Hakuna anayependa kula matapishi.
Hili la kutaka uchunguzi eti juu ya kifo ch Magufuli, rais aliyekuwa hapandi ndege, rais aliyekungwa pacemaker kwa miaka zaidi ya 10, rais liyekuwa anajulikana kuwa na file Milembe!-Luhaga kakosea tena sana.
Tatizo si kwamba haju, ila anataka kuweka mchanga kwenye utawala wa mama Samia, utawala wa Awamu ya sita.
Hata kama Luhaga mpina ni mwandamizi katika Sukuma Gang, kumpuuza kuna stahili.
Suala ni je, nani kamtuma?
Mkuu kila mtu anachambua mambo kwa jinsi anavyoguswa binafsi.Ni kweli kabisa ni habari za uzushi na uchonganishi, na hata zile za akina bnsaa8 n.k. ni hivyo hivyo yaani wahuni walitumia mwanya wa ukali wa serikali kufanya matukio na ndiyo maana wanasema ukiwa mwanaharakati kwenye serikali yenye ukali uwe makini yaani ni sawa na ugombane na jirani halafu mbaya wako asikie cha kufanya atamuua then atakuwa wa kwanza kutoa taarifa na kusema alikuwa na ugomvi na fulani. Dkt Samia kosa lake kubwa ilikuwa kuanza vijembe vya kifo cha mtangulizi wake, yaani kauli zake zile zilipaswa zitoke kama angekuwa kachaguliwa kwa kura na Dkt Magufuli angekuwepo kama mstaafu lakini siyo kwa mwenzako kufa tena katiba inatambua wewe makamu unakuja kuwa rais kwa kutumia katiba, kwa hiyo chochote utakachoongea cha kumsema vibaya marahemu Dkt Magufuli lazima watanzania wafikiri alimuua ili awe rais kitu ambacho siyo kweli ila ni ushabiki wa siasa ambazo Dkt Samia zitamgharimu. Ana kazi sana tena ngumu kujisafisha maana kila sehemu watanzania wanasema sema sasa sijui nani anaeneza huu uzushi na kibaya Dkt Samia hana wa kumtetea, ni Makonda pekee aliweza ila wengine wanamdidimiza. All in all Dkt Samia is the best president na anajua uongozi na anajua kutumia machinery zake ila chawa sasa hahaha yaani wengine wanampotosha mno
Kwa vile anajia, akashitaki!Amejituma yeye mwenyewe, Kwani wewe unaonaje?
Kuna jamaa humu alipokuwa shule alikuwa anapika chakula akitoka wanamwibia na wezi wake hakuwa anawajua, siku moja akaenda pharmacy akanunua vidonge vya kuharisha akatia kwenye wali wake akaondoka, wezi wakaja wakala, choo zikafunguka, chooni ikawa foleni ya wezi wa wali, muda huo yeye yuko kimya anawachora wanavyopokezana, baadaye wakaona hali ni mbaya wakaamua kwenda kumuuliza "eti ndugu leo ulitia nini kwenye sufuria yako?"Tatizo si kwamba haju, ila anataka kuweka mchanga kwenye utawala wa mama Samia, utawala wa Awamu ya sita.
Hata kama Luhaga mpina ni mwandamizi katika Sukuma Gang, kumpuuza kuna stahili.
Suala ni je, nani kamtuma?
Kuheshimu mawazo ya mwenzako ni takwa la kikatiba mkuuSisi ndio wapiga kura, Magufuli hakujiweka kitini. Huyo Mpina alifikiri Magufuli hawezi kufariki?
Ana uhakika gani?
Na nimeuliza katumwa na Sukuma Gang?
Bosi mbona hilo linajulikana kabisa kuwa kuna watu waliumia. Kinachotutofautisha na ninyi wauaji wa Dkt Magufuli ni kimoja tu. Mnatetea waharifu na kuwafanya kuwa walionewa, wakti huo huo sasa hivi wizi upo kila sehemu na wananchi wanyonge wanalalamika na ninyi mashabidi ila hamtaki kusema ukweli. Mfano huyo Shamte alikuwa mharifu na alikuwa na makosa tena ya wazi. Au hata ukisema wakwepa kodi wengi yaani ilikuwa kazi. Kuhusu kuporwa hela ni kuwa maduka ya kubadilisha fedha yalitumima kutakatisha hela na wamiliki walifanya hivyo na walijua na ndiyo maana kulikuwa na mfumuko wa bei usiokuwa na kikomo, hivyo uamuzi ukawa kuweka sheria mpya sema ndiyo hivyo wahuni wakalichukua zoezi na kufanya uhalifu ila rais na yeye ha walimdanganya. Mfano jiulize kwa nini Dkt Samia sasa hana mpango wa kushughulika na wizi wa serikalini? Anaogopa, akiwashughulikia tu watasema anaonea na ndivyo tulivyo watanzania, tunalakia mafisadi ila wakikamatwa tunaenda kuwaombea makanisani na misikitini wasitiwe hatiani, kitu ambacho hata kama ningekuwa mimi Dkt Samia ningeacha waendelee kuiba tu mradi mi naendelea na urais wanguMkuu kila mtu anachambua mambo kwa jinsi anavyoguswa binafsi.
Wakati wa Magufuli watu wengi ealiporwa mali zao kwa nguvu ya serikali ya Magufuli, kwa kupitia vyombo kama TRA.
Wengi walibambikwa kesi za uongo ati wahujumu uchumi.
Mzee Shamte wa Mkonge Tanga alifia gerezani kwa kesi za kughushi.
Sasa mama Samia aliposema hilo si sawa na anamuogopa Mungu kumbambika mtu makosa ya kughushi, hilo mwaona anamsimanga Magufuli?
Where is your sense of reason and fairness?
Au ww ndio unahusika na kifo cha Magufuli?? Mbona maneno mengi yasiyo na maana.Luhaga Mpina, yule kijana aliyekuwa waziri , haachi ulalamika.
Hajui kuwa dunia inakwenda mbele, hairudi nyuma.
Hakuna anayependa kula matapishi.
Hili la kutaka uchunguzi eti juu ya kifo ch Magufuli, rais aliyekuwa hapandi ndege, rais aliyekungwa pacemaker kwa miaka zaidi ya 10, rais liyekuwa anajulikana kuwa na file Milembe!-Luhaga kakosea tena sana.
Tatizo si kwamba haju, ila anataka kuweka mchanga kwenye utawala wa mama Samia, utawala wa Awamu ya sita.
Hata kama Luhaga mpina ni mwandamizi katika Sukuma Gang, kumpuuza kuna stahili.
Suala ni je, nani kamtuma?
Tatizo watz wengi wanaangalia hapa... Hawaangalii tunawaweka vizazi vyetu sehemu gani. Uchawa umezidi mpk wamekuwa wapumbavu wa kufikiria hatma ya mbele.Sasa Luhaga Kakosa Nini??? Kasema hela zimetoroshwa na zimeibwa kwanini msijibu hoja?? Kwamba hela hizi hapa hazijaibiwa mnamshambulia binafsi yaani nchi ina watu wajinga sana
MIAKA 7000 HAITASOGEA mbele nyie wanafiki ndio mnaumiza nchi hiyo.
Barabara zimezidiwa mpaka sasa unaweza kutumia saa 10 kutoka Dodoma mpaka Dar kim 425 halafu mtu mpuuzi anasema nchi iko vizuri.Acheni ujinga nyie.
Jamaa upo timamu kweli? kitu gani akili yako inakiita matapishi?Luhaga Mpina, yule kijana aliyekuwa waziri , haachi ulalamika.
Hajui kuwa dunia inakwenda mbele, hairudi nyuma.
Hakuna anayependa kula matapishi.
Hili la kutaka uchunguzi eti juu ya kifo ch Magufuli, rais aliyekuwa hapandi ndege, rais aliyekungwa pacemaker kwa miaka zaidi ya 10, rais liyekuwa anajulikana kuwa na file Milembe!-Luhaga kakosea tena sana.
Tatizo si kwamba haju, ila anataka kuweka mchanga kwenye utawala wa mama Samia, utawala wa Awamu ya sita.
Hata kama Luhaga mpina ni mwandamizi katika Sukuma Gang, kumpuuza kuna stahili.
Suala ni je, nani kamtuma?
Hoja ya akamatwe?, ni upuuzi mtupu, the guy is mwehu.Kwahiyo hapo ndiyo umejibu hoja za mpina?! Bado tuna safari ndefu