Luhaga Mpina katumwa na nani?

Luhaga Mpina katumwa na nani?

Shikamoo mbarika nisamehe kama nimekukera mbarika, mimi ni mjumbe tu mtoa taarifa ambazo zipo kila sehemu juu ya wauaji wa Dkt Magufuli na marope ni moja ya wahusika kwa kauli yake aliyoitamka kuwa wazuri hawafi na wazee walichoka hivyo wakamuua Dkt Magufuli.
Marhaba kijana
Una uhakika na kauli yako??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye kifo bosi huwa hatuleti utani aisee, yaani useme eti unamshukuru mungu umepata urais kwa kudra za mwenyezi mungu??? Maana yake umemuua mwenzako uwe rais????
Hizo ni hearsay, hazina ukweli wala ushahidi.
 
A
Ametumwa na wapiga kura wake wewe macho kodo kwenye ugali 😂😂😂😂
Sisi ndio wapiga kura, Magufuli hakujiweka kitini. Huyo Mpina alifikiri Magufuli hawezi kufariki?
Ana uhakika gani?
Na nimeuliza katumwa na Sukuma Gang?
 
Tusiweweseke tumwache aseme, huenda yapo mengi mazito, tukimshambulia kwa maneno ni ishara tosha kuwa kuna jambo linafichwa
Mkuu Mpina ni kiongozi.
Kiongozi huwezi kusema tuhuma usizokuwa na ushahidi nazo.
Thats irresponsible.
 
Kwani hofu yako ni nini? Ulihusika?
Nihusike vipi mkuu, namshangaa tu huyo ndugu yako toka Mwamashiba, kakomaa mishipa usoni akikumbuka alivyokuwa akivaa makoti mekundu.
 
Hizo ni hearsay, hazina ukweli wala ushahidi.
Ni kweli kabisa ni habari za uzushi na uchonganishi, na hata zile za akina bnsaa8 n.k. ni hivyo hivyo yaani wahuni walitumia mwanya wa ukali wa serikali kufanya matukio na ndiyo maana wanasema ukiwa mwanaharakati kwenye serikali yenye ukali uwe makini yaani ni sawa na ugombane na jirani halafu mbaya wako asikie cha kufanya atamuua then atakuwa wa kwanza kutoa taarifa na kusema alikuwa na ugomvi na fulani. Dkt Samia kosa lake kubwa ilikuwa kuanza vijembe vya kifo cha mtangulizi wake, yaani kauli zake zile zilipaswa zitoke kama angekuwa kachaguliwa kwa kura na Dkt Magufuli angekuwepo kama mstaafu lakini siyo kwa mwenzako kufa tena katiba inatambua wewe makamu unakuja kuwa rais kwa kutumia katiba, kwa hiyo chochote utakachoongea cha kumsema vibaya marahemu Dkt Magufuli lazima watanzania wafikiri alimuua ili awe rais kitu ambacho siyo kweli ila ni ushabiki wa siasa ambazo Dkt Samia zitamgharimu. Ana kazi sana tena ngumu kujisafisha maana kila sehemu watanzania wanasema sema sasa sijui nani anaeneza huu uzushi na kibaya Dkt Samia hana wa kumtetea, ni Makonda pekee aliweza ila wengine wanamdidimiza. All in all Dkt Samia is the best president na anajua uongozi na anajua kutumia machinery zake ila chawa sasa hahaha yaani wengine wanampotosha mno
 
Luhaga Mpina, yule kijana aliyekuwa waziri , haachi ulalamika.
Hajui kuwa dunia inakwenda mbele, hairudi nyuma.
Hakuna anayependa kula matapishi.

Hili la kutaka uchunguzi eti juu ya kifo ch Magufuli, rais aliyekuwa hapandi ndege, rais aliyekungwa pacemaker kwa miaka zaidi ya 10, rais liyekuwa anajulikana kuwa na file Milembe!-Luhaga kakosea tena sana.

Tatizo si kwamba haju, ila anataka kuweka mchanga kwenye utawala wa mama Samia, utawala wa Awamu ya sita.
Hata kama Luhaga mpina ni mwandamizi katika Sukuma Gang, kumpuuza kuna stahili.
Suala ni je, nani kamtuma?
Amejituma yeye mwenyewe, Kwani wewe unaonaje?
 
Mkuu kila mtu anachambua mambo kwa jinsi anavyoguswa binafsi.
Wakati wa Magufuli watu wengi ealiporwa mali zao kwa nguvu ya serikali ya Magufuli, kwa kupitia vyombo kama TRA.
Wengi walibambikwa kesi za uongo ati wahujumu uchumi.
Mzee Shamte wa Mkonge Tanga alifia gerezani kwa kesi za kughushi.
Sasa mama Samia aliposema hilo si sawa na anamuogopa Mungu kumbambika mtu makosa ya kughushi, hilo mwaona anamsimanga Magufuli?

Where is your sense of reason and fairness?
 
Tatizo si kwamba haju, ila anataka kuweka mchanga kwenye utawala wa mama Samia, utawala wa Awamu ya sita.
Hata kama Luhaga mpina ni mwandamizi katika Sukuma Gang, kumpuuza kuna stahili.
Suala ni je, nani kamtuma?
Kuna jamaa humu alipokuwa shule alikuwa anapika chakula akitoka wanamwibia na wezi wake hakuwa anawajua, siku moja akaenda pharmacy akanunua vidonge vya kuharisha akatia kwenye wali wake akaondoka, wezi wakaja wakala, choo zikafunguka, chooni ikawa foleni ya wezi wa wali, muda huo yeye yuko kimya anawachora wanavyopokezana, baadaye wakaona hali ni mbaya wakaamua kwenda kumuuliza "eti ndugu leo ulitia nini kwenye sufuria yako?"
 
Sisi ndio wapiga kura, Magufuli hakujiweka kitini. Huyo Mpina alifikiri Magufuli hawezi kufariki?
Ana uhakika gani?
Na nimeuliza katumwa na Sukuma Gang?
Kuheshimu mawazo ya mwenzako ni takwa la kikatiba mkuu
 
Mkuu kila mtu anachambua mambo kwa jinsi anavyoguswa binafsi.
Wakati wa Magufuli watu wengi ealiporwa mali zao kwa nguvu ya serikali ya Magufuli, kwa kupitia vyombo kama TRA.
Wengi walibambikwa kesi za uongo ati wahujumu uchumi.
Mzee Shamte wa Mkonge Tanga alifia gerezani kwa kesi za kughushi.
Sasa mama Samia aliposema hilo si sawa na anamuogopa Mungu kumbambika mtu makosa ya kughushi, hilo mwaona anamsimanga Magufuli?

Where is your sense of reason and fairness?
Bosi mbona hilo linajulikana kabisa kuwa kuna watu waliumia. Kinachotutofautisha na ninyi wauaji wa Dkt Magufuli ni kimoja tu. Mnatetea waharifu na kuwafanya kuwa walionewa, wakti huo huo sasa hivi wizi upo kila sehemu na wananchi wanyonge wanalalamika na ninyi mashabidi ila hamtaki kusema ukweli. Mfano huyo Shamte alikuwa mharifu na alikuwa na makosa tena ya wazi. Au hata ukisema wakwepa kodi wengi yaani ilikuwa kazi. Kuhusu kuporwa hela ni kuwa maduka ya kubadilisha fedha yalitumima kutakatisha hela na wamiliki walifanya hivyo na walijua na ndiyo maana kulikuwa na mfumuko wa bei usiokuwa na kikomo, hivyo uamuzi ukawa kuweka sheria mpya sema ndiyo hivyo wahuni wakalichukua zoezi na kufanya uhalifu ila rais na yeye ha walimdanganya. Mfano jiulize kwa nini Dkt Samia sasa hana mpango wa kushughulika na wizi wa serikalini? Anaogopa, akiwashughulikia tu watasema anaonea na ndivyo tulivyo watanzania, tunalakia mafisadi ila wakikamatwa tunaenda kuwaombea makanisani na misikitini wasitiwe hatiani, kitu ambacho hata kama ningekuwa mimi Dkt Samia ningeacha waendelee kuiba tu mradi mi naendelea na urais wangu
 
Luhaga Mpina, yule kijana aliyekuwa waziri , haachi ulalamika.
Hajui kuwa dunia inakwenda mbele, hairudi nyuma.
Hakuna anayependa kula matapishi.

Hili la kutaka uchunguzi eti juu ya kifo ch Magufuli, rais aliyekuwa hapandi ndege, rais aliyekungwa pacemaker kwa miaka zaidi ya 10, rais liyekuwa anajulikana kuwa na file Milembe!-Luhaga kakosea tena sana.

Tatizo si kwamba haju, ila anataka kuweka mchanga kwenye utawala wa mama Samia, utawala wa Awamu ya sita.
Hata kama Luhaga mpina ni mwandamizi katika Sukuma Gang, kumpuuza kuna stahili.
Suala ni je, nani kamtuma?
Au ww ndio unahusika na kifo cha Magufuli?? Mbona maneno mengi yasiyo na maana.
 
Sasa Luhaga Kakosa Nini??? Kasema hela zimetoroshwa na zimeibwa kwanini msijibu hoja?? Kwamba hela hizi hapa hazijaibiwa mnamshambulia binafsi yaani nchi ina watu wajinga sana
MIAKA 7000 HAITASOGEA mbele nyie wanafiki ndio mnaumiza nchi hiyo.

Barabara zimezidiwa mpaka sasa unaweza kutumia saa 10 kutoka Dodoma mpaka Dar kim 425 halafu mtu mpuuzi anasema nchi iko vizuri.Acheni ujinga nyie.
Tatizo watz wengi wanaangalia hapa... Hawaangalii tunawaweka vizazi vyetu sehemu gani. Uchawa umezidi mpk wamekuwa wapumbavu wa kufikiria hatma ya mbele.
 
Luhaga Mpina, yule kijana aliyekuwa waziri , haachi ulalamika.
Hajui kuwa dunia inakwenda mbele, hairudi nyuma.
Hakuna anayependa kula matapishi.

Hili la kutaka uchunguzi eti juu ya kifo ch Magufuli, rais aliyekuwa hapandi ndege, rais aliyekungwa pacemaker kwa miaka zaidi ya 10, rais liyekuwa anajulikana kuwa na file Milembe!-Luhaga kakosea tena sana.

Tatizo si kwamba haju, ila anataka kuweka mchanga kwenye utawala wa mama Samia, utawala wa Awamu ya sita.
Hata kama Luhaga mpina ni mwandamizi katika Sukuma Gang, kumpuuza kuna stahili.
Suala ni je, nani kamtuma?
Jamaa upo timamu kweli? kitu gani akili yako inakiita matapishi?

Hakika ngozi hii ina laana , kama mtu anaweza waza ujinga , haitoshi ujinga wake akaona hapaswi kuufanya kua siri.
 
Back
Top Bottom