Luhaga Mpina kudaiwa kudhulumu ardhi ya Kijiji ekari 1000 Morogoro, Wizara ya Ardhi iingilie kati

Jibuni hoja za Mpina acheni kuweweseka.
 
Wananchi wanatabia ya kuuza mapori yao ,mengi mamiti makubwa,ukinunua ukisafishwa likapendeza ,unaona wanaanza kuleta pua zao
 
Chawa kama nyie ndio mnafanya ndugu yenu makamba aendelee kuchukiwa....

Badala ya kujibu hoja mnaleta mijadala mingine kabisa ili kuhamisha upepo... Mpeni majibu mpina..

Sisiemu mnakera sana sometimes.
 
Unaposema wizara ichunguze na kuchukua hatua za kurudisha ardhi kwa wanakijiji ni kwamba unatoa maelekezo kwa tume au unatoa ripoti ya uchunguzi.
 
Mtakuja wetlands - Duthumi Morogoro, hadi Mama Samia tumelima nae mpunga uko kitambo, kuna mfereji wa maji unaitwa wa mpina.
 
Chawa kama nyie ndio mnafanya ndugu yenu makamba aendelee kuchukiwa....

Badala ya kujibu hoja mnaleta mijadala mingine kabisa ili kuhamisha upepo... Mpeni majibu mpina..

Sisiemu mnakera sana sometimes.
Nani kamuongelea makamba hapa
 


Mmeshajibu hoja ya Mpina mkuu
 
Mlikuwa wapi enyi team kigogo?

Ebu kwanza mjibu hoja za msingi za mpina zenye maslahi ya kitaifa badala ya Personal attacks.

Tunajua kazi ya Ridhiwani pale ardhi baada ya kumuondoa kwa hila zenu mzee LUKUVI.
 
Mpumbavu huwa hajibiwi, kwa hiyo Mpina naye mpumbavu, haina haja ya kumjibu

Mpumbavu kwako…amehoji maswala ya msingi kwa taifa na sisi watanzania tunahitaji majibu…

Na sisi tunakupuuza maana huna msaada kwa taifa hili na wananchi, umekalia majungu tu….jibu hoja sio kufukua mafile yasiohusika kwenye hoja husika….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…