“Niliahidi kwenda Mahakamani, naomba kutoa taarifa kwamba ndani ya Saa 24 nitakuwa nimeshafungua kesi zote zinazohitajika kama ifuatavyo, kesi dhidi ya kupingwa kufukuzwa Bungeni, kesi ya pili itakuwa dhidi ya Hussen Bashe, Mwigulu Nchemba, kamishna ya TRA na bodi ya Sukari” Luhaga Mpina
“Waziri wa kilimo Hussein Bashe, Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba, bodi ya Sukari na TRA, makampuni yasikuwa na viwanda vya sukari wote kwa pamoja walikula njama na kuisababishia Serikali hasara ya shilingi Trillion 1.54”
Wapo baadhi ya wananchama wa CCM wameingiwa na wasiwasi kwamba nitahama CCM, mimi ni mwanaccm sio wa kuandikishwa bali ni wa kuzaliwa ninachosimamia Bungeni ni msingi imara ya Chama cha Mapinduzi
Sitafukuzwa CCM nadhani kule CCM nitakwenda kuvikwa nishani kwa sababu haya ninayoyaongea ndio ya CCM yenyewe ili iweze kuleta maendeleo kwa watu, kukomesha dhuluma na kutekeleza ilani”
“Niliahidi kwenda Mahakamani, naomba kutoa taarifa kwamba ndani ya Saa 24 nitakuwa nimeshafungua kesi zote zinazohitajika kama ifuatavyo, kesi dhidi ya kupingwa kufukuzwa Bungeni, kesi ya pili itakuwa dhidi ya Hussen Bashe, Mwigulu Nchemba, kamishna ya TRA na bodi ya Sukari” Luhaga Mpina
“Waziri wa kilimo Hussein Bashe, Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba, bodi ya Sukari na TRA, makampuni yasikuwa na viwanda vya sukari wote kwa pamoja walikula njama na kuisababishia Serikali hasara ya shilingi Trillion 1.54”
Wapo baadhi ya wananchama wa CCM wameingiwa na wasiwasi kwamba nitahama CCM, mimi ni mwanaccm sio wa kuandikishwa bali ni wa kuzaliwa ninachosimamia Bungeni ni msingi imara ya Chama cha Mapinduzi
Sitafukuzwa CCM nadhani kule CCM nitakwenda kuvikwa nishani kwa sababu haya ninayoyaongea ndio ya CCM yenyewe ili iweze kuleta maendeleo kwa watu, kukomesha dhuruma na kutekeleza ilani”
Mental case, labda iwe vinginevyo, labda iwe aina tofauti ya maombi mahakamani, lakini serikali hushtakiwa baada ya kutoa notisi ya siku 90 kwa mujibu wa Government Proceedings Act, namsikia anataja kushitaki Bunge, sijui Bodi ya Sukari, Waziri/Wizara. Yeye anataka kushitaki ndani ya saa 24!