Igayo jr
Member
- Jun 25, 2020
- 97
- 98
mnanyooshwaaSi afungue anamtishie nani nyau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnanyooshwaaSi afungue anamtishie nani nyau
Aaghh wapiAhamie ACT Wazalendo, mahali penye ukweli na uwazi, CCM hawamtaki tena, na inaonekana 2025 atakatwa kwenye kura za maoni ubunge CCM !
Ingenoga sana Only if Rule of law ingekuwa inafanya kazi TZMbunge wa CCM, Luhaga Mpina amedhamiria kweli kweli, anasema anafungua kesi ila naomba nimkumbushe kesi hizi zikawe na maslahi kwa Taifa na sio political mileage yake!
Naona wakulima WA miwa waligoma ili kumuunga mkono kimtindo, moshi unaofuka huko chini ni zaidi ya volcano hai.
View attachment 3056498
Luhaga Mpina anatumika tu na Super Doll kama mdoliMental case, labda iwe vinginevyo, labda iwe aina tofauti ya maombi mahakamani, lakini serikali hushtakiwa baada ya kutoa notisi ya siku 90 kwa mujibu wa Government Proceedings Act, namsikia anataja kushitaki Bunge, sijui Bodi ya Sukari, Waziri/Wizara
Safi luhanga mpina pigana hukohukoTaarifa yake hii hapa
===
“Niliahidi kwenda Mahakamani, naomba kutoa taarifa kwamba ndani ya Saa 24 nitakuwa nimeshafungua kesi zote zinazohitajika kama ifuatavyo, kesi dhidi ya kupingwa kufukuzwa Bungeni, kesi ya pili itakuwa dhidi ya Hussen Bashe, Mwigulu Nchemba, kamishna ya TRA na bodi ya Sukari” Luhaga Mpina
“Waziri wa kilimo Hussein Bashe, Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba, bodi ya Sukari na TRA, makampuni yasikuwa na viwanda vya sukari wote kwa pamoja walikula njama na kuisababishia Serikali hasara ya shilingi Trillion 1.54”
Wapo baadhi ya wananchama wa CCM wameingiwa na wasiwasi kwamba nitahama CCM, mimi ni mwanaccm sio wa kuandikishwa bali ni wa kuzaliwa ninachosimamia Bungeni ni msingi imara ya Chama cha Mapinduzi
Sitafukuzwa CCM nadhani kule CCM nitakwenda kuvikwa nishani kwa sababu haya ninayoyaongea ndio ya CCM yenyewe ili iweze kuleta maendeleo kwa watu, kukomesha dhuruma na kutekeleza ilani”
"UKIMUNG'UNYA NCHALE UKITEMA NCHALE"
Wewe kwenu wapi?Zenjbar = Zenjibar?
Historia ya Zenjibar ya nini tena enzi hizi? Hiyo 'nostalgia' inayo wasumbua nyinyi kwa wengine haina maana yoyote.
Acha upotoshaji weZao la Muwa halijawacha kuwa zao la kisiasa, duniani. Siyo Tanzania tu.
"cartel" wakishirikiana na team sukuma wanamtumia huyo poyoyo.
Yeah, ingekua bonge la kesiIngenoga sana Only if Rule of law ingekuwa inafanya kazi TZ
Ila kweli ujueHuwezi kupambana na Shetani ukiwa kwenye ngome yake! Huwezi kufanikiwa.
Chama pendwa ni Shetani.
Ile Timu yenu, Timu Msoga imesambaratishwa.Hapo ndiyo harudi tena bungeni.