zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mpina anatafuta political mileage tu, mfano alimshambulia makamba kwa kutokudai mabilion ambayo mkandarasi alipaswa kulipa kwa kuchelewesha mradi wa JNHEPP. Cha ajabu waziri kwa sasa ni Biteko ila sisikii akisemea hilo jambo tena au kuliita ufisadi.Mpina amewakamata mafisadi vizuri sana, watanganyika tumeiona nia yake, japo inawezekana kabisa mahakamani akashindwa kama alivyoshindwa bungeni, kwasababu kote huko kunaongozwa na vibaraka wa Samia.
Kwa mtu mwenye akili utaona kabisa ana political motivations tu sio uzalendo coz why ufisadi ukifanywa na Biteko anapotezea? Huyu ni mnafiki tu, natamani tu Mama ampatie uwaziri ili tuone rangi yake halisi.