Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ni yeye kwani Wewe ni Nani?Yote Kheri kwani yeye ni Nani?
Mimi ni Mimi kwani wewe ni nani?Yeye ni yeye kwani Wewe ni Nani?
Unauliza Jibu au Unauliza Swali?Mimi ni Mimi kwani wewe ni nani?
visiwani wanatuzidi akili wanaiba mali zetu wanapeleka kwaoTanganyika Vs Visiwani 😂😂😂
Kwa hiyo ndio wanamkimbia a.k.a kumtengavisiwani wanatuzidi akili wanaiba mali zetu wanapeleka kwao
Hatuna akili kabisa, huwezi kuona mali za umma zinaenda kuijenga Zanzibar asee huku tunaachwa masikiniKwa hiyo ndio wanamkimbia a.k.a kumtenga
Subiria inyeshe Who is next after this one?Mchungaji anasema huko alikoenda ni safi mwingine huyu anatoka huko tena kwa kuacha Ubunge anasema sio Safi.
Hapa kuna mmoja muongo
Mchungaji apewe huu UbungeSubiria inyeshe Who is next after this one?
Mavi yakoMchungaji apewe huu Ubunge
Unawashwa tu na kutaka niache mengine nikushughulikie kwa ujinga huu unaoweka hapa.Hoja imekuingia, mabwana wakubwa zako wa Kijerumani ndiyo walikuita Mtanganyika.
Kama mababu zako walikuwepokabla ya Tanganyika utakuwa ni mzenhbar.
Lakini nnamashaka sana, wewqe itakuwa babu zako walikuja kama manamba wakati wa Muingereza.
kama unabisha sema kwenu wapi na kuna historia ipi?
Atajisafishaje yeye mwenyewe?Hii ni nafasi nzuri kwa rais Samia kuendelea kusafisha wale wasiofaa ndani ya serikali yake.
Naiomba mihimili husika (mahakama,takukuru,Tiss) kumsaidia rais Samia
Nimejibu swali,,na kuuliza swali.Unauliza Jibu au Unauliza Swali?
Sukuma watakusumuka hio .....umaZao la Muwa halijawacha kuwa zao la kisiasa, duniani. Siyo Tanzania tu.
"cartel" wakishirikiana na team sukuma wanamtumia huyo poyoyo.