Pre GE2025 Luhaga Mpina kufungua Kesi zote ndani ya masaa 24

Pre GE2025 Luhaga Mpina kufungua Kesi zote ndani ya masaa 24

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
2024 CCM itafarakana pakubwa

Na ife tu, maana haina msaada kwa nchi, imejaa mafisadi na matapeli

2014 isiishie kufarakana tu, bali hata hao wanywa damu za watu nao Lusifa mtoa roho awatembelee

Kwa sasa najaribu kumwamininsana Rais kwa kuanza kuwaondoa wote wenye sifa hizo na amuunge mkono Mpina

Watanzania tuseme, wizi sasa basi
 
Kumekuchaaaa
IMG-20240730-WA0031.jpg
 
Hoja imekuingia, mabwana wakubwa zako wa Kijerumani ndiyo walikuita Mtanganyika.
Kama mababu zako walikuwepokabla ya Tanganyika utakuwa ni mzenhbar.

Lakini nnamashaka sana, wewqe itakuwa babu zako walikuja kama manamba wakati wa Muingereza.

kama unabisha sema kwenu wapi na kuna historia ipi?
Unawashwa tu na kutaka niache mengine nikushughulikie kwa ujinga huu unaoweka hapa.
'Psychology' yako ni ndogo sana. Ukishabanwa kwenye mambo ya msingi huwa unatafuta sehemu ya kupotezea lengo, kama hivi unavyo fanya hapa.
Hata hivyo, unaelewa wazi, ukililia kukunwa, muda maalum utatengwa kwa ajili yako.
Sasa chagua mwenyewe.
 
Hii ni nafasi nzuri kwa rais Samia kuendelea kusafisha wale wasiofaa ndani ya serikali yake.
Naiomba mihimili husika (mahakama,takukuru,Tiss) kumsaidia rais Samia
Atajisafishaje yeye mwenyewe?
 
Back
Top Bottom