Pre GE2025 Luhaga Mpina kufungua Kesi zote ndani ya masaa 24

Pre GE2025 Luhaga Mpina kufungua Kesi zote ndani ya masaa 24

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mi ningekuwa rais ningemuua mpina ili asitupotezee muda. Wengine tuko busy na maendeleo kwa kufanya kazi yeye anaendekezq ufisadi wa wanaomtuma. Ukiwa vitani na askari mmoja akaasi shoot risasi tu mana haiwezekana watu wengi wafu kwa sababu ya ka mtu kamoja..............jpm voice. Baada ya hapo lisu akala mvua za lisasi

Mmmmmhhhh mambo ya kuuana tena kisa mawazo mbadala [emoji15][emoji15][emoji15] siyo sawa na naomba waTZ tuwe wa tofauti kwa hoja kama hizo
 
Huyu nae afanye ishu zingine this is getting tiresome.
Unaweza kuchoka na kitu ambacho hushughuliki nacho? Huu nao ni ugonjwa wa afya akili. Mpina kuongea na media kwenda mahakamani wewe kinachokuchosha nini? umepungikiwa nini?
 
Taarifa yake hii hapa
===

“Niliahidi kwenda Mahakamani, naomba kutoa taarifa kwamba ndani ya Saa 24 nitakuwa nimeshafungua kesi zote zinazohitajika kama ifuatavyo, kesi dhidi ya kupingwa kufukuzwa Bungeni, kesi ya pili itakuwa dhidi ya Hussen Bashe, Mwigulu Nchemba, kamishna ya TRA na bodi ya Sukari” Luhaga Mpina

“Waziri wa kilimo Hussein Bashe, Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba, bodi ya Sukari na TRA, makampuni yasikuwa na viwanda vya sukari wote kwa pamoja walikula njama na kuisababishia Serikali hasara ya shilingi Trillion 1.54”

Wapo baadhi ya wananchama wa CCM wameingiwa na wasiwasi kwamba nitahama CCM, mimi ni mwanaccm sio wa kuandikishwa bali ni wa kuzaliwa ninachosimamia Bungeni ni msingi imara ya Chama cha Mapinduzi

Sitafukuzwa CCM nadhani kule CCM nitakwenda kuvikwa nishani kwa sababu haya ninayoyaongea ndio ya CCM yenyewe ili iweze kuleta maendeleo kwa watu, kukomesha dhuluma na kutekeleza ilani”

"UKIMUNG'UNYA NCHALE UKITEMA NCHALE"

- Luhaga Mpina amshukia Waziri Bashe, adai amelidanganya Bunge, awataja Magufuli, Rais Samia
Kabisa ,CCM watamfukuzaje mtu ambaye anatetea maslahi ya taifa? Mtu ambae anapinga wizi ,rushwa ,ufisadi?

Tupo pamoja mpini shikilia hapo hapo mpaka wateme ndoano....Waziri anakutwa na 80B kwenye account.
 
Hii ni nafasi nzuri kwa rais Samia kuendelea kusafisha wale wasiofaa ndani ya serikali yake.
Naiomba mihimili husika (mahakama,takukuru,Tiss) kumsaidia rais Samia
 
Kuna watu wana risi nyumba alafu kuna mim hapa na nimerisi dushe refu alafu kuna mama abdu amerisi.......!!
 
Mpina anatafuta political mileage tu, mfano alimshambulia makamba kwa kutokudai mabilion ambayo mkandarasi alipaswa kulipa kwa kuchelewesha mradi wa JNHEPP. Cha ajabu waziri kwa sasa ni Biteko ila sisikii akisemea hilo jambo tena au kuliita ufisadi.

Kwa mtu mwenye akili utaona kabisa ana political motivations tu sio uzalendo coz why ufisadi ukifanywa na Biteko anapotezea? Huyu ni mnafiki tu, natamani tu Mama ampatie uwaziri ili tuone rangi yake halisi.
Mnafiki sana huyu mpiina. Hata kwenye Serikali YA DHALIMU wa Chato alikuwa mbele sana kuchoma nyavu za wavuvi
 
Wewe kwenu wapi?

Kama ni Mtanganyika basi wewe ulipachikwa Utanganyika na bwana mkubwa wako wa Kijerumani. Kabla hajakupachika jina hilo la ajabu ulikuwa ni Mzenjbar.
Huu ujinga wa kupotezeana muda hapa kaa nao mwenyewe.
 
Kama sukari iliingizwa nchini bila kulipiwa kodi. Je kwanini tunanunua sukari Tshs.3,000 kwa kilo?. Sukari bila kodi ingefaa kuuzwa kwa T.shs.1,500 kwa kilo.
 
Huu ujinga wa kupotezeana muda hapa kaa nao mwenyewe.
Hoja imekuingia, mabwana wakubwa zako wa Kijerumani ndiyo walikuita Mtanganyika.
Kama mababu zako walikuwepokabla ya Tanganyika utakuwa ni mzenhbar.

Lakini nnamashaka sana, wewqe itakuwa babu zako walikuja kama manamba wakati wa Muingereza.

kama unabisha sema kwenu wapi na kuna historia ipi?
 
Back
Top Bottom