Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi iendelee.Ile Timu yenu, Timu Msoga imesambaratishwa.
Tuliwaambia kwamba mtarudi tu Kwa Timu Jiwe. Mjomba wako tajiri wa meno ya Tembo ndo hivyo Tena!!
Na Kwa taarifa yako, Bashe pia tunamla kichwa wiki HII!! Dadadeki
Huyu ni tofauti na wengine, alikuwa hivyo hata kablaKikifika kipindi cha uchaguzi wanasiasa wanakuwa Kama wamechanganyikiwa vile......
Kwetu ardhini ule udongo Nyerere aliufanyia mixa,,,siwezi nikajivunia taifa la mwarabu wala mzunguUnafahamu kuwa Somalia ilikuwa Zenjibar?
Wewe kwenu wapi?
Utakuta watu kama wewe hauna historia kabisa na ardhi hii ya Zenjbar.
lakin wao wenyewe akitoa statement baloz ami mpungwe amesema kwanin muwaite cartel?? hilo jina wao walikataa kwenye official statement yao chama cha wazalisha sukar.Zao la Muwa halijawacha kuwa zao la kisiasa, duniani. Siyo Tanzania tu.
"cartel" wakishirikiana na team sukuma wanamtumia huyo poyoyo.
Mawazo ya hofu isiyo na maana yoyote, siasa siku zote huendeshwa na watu sio mawe, hivyo lazima iwe complex bila kujali wakati.Sijui kwanini Kila Uchaguzi Mkuu ukikaribia lazima CCM italeta drama za hivi ili kuwaruhusu members zao waende upinzani halafu baada ya Uchaguzi Mkuu, wanarudi zao tena CCM 🙌
Wapinzani wawe macho, hasa CDM
Huyu ni chambo kwenye ndoana
Anha,ok nimeelewa cuteHuyu ni tofauti na wengine, alikuwa hivyo hata kabla
Hii ilikuwa ni kazi ya TLSMbunge wa CCM, Luhaga Mpina amedhamiria kweli kweli, anasema anafungua kesi ila naomba nimkumbushe kesi hizi zikawe na maslahi kwa Taifa na sio political mileage yake!
Naona wakulima WA miwa waligoma ili kumuunga mkono kimtindo, moshi unaofuka huko chini ni zaidi ya volcano hai.
View attachment 3056498
Hii nchi ukiwa upande wa haki kifo kipo nje nje kwakoTatizo lipo palepale kama Nyumbu wanavyoshuhudia mwenzao akiliwa wanadhani wao wapo salama kumbe ni jambo la muda tu.
Hawa jamaa watatu wanashambuliwq na kupondwa na kundi moja lakini nadhani huwa wana nia njema ya kulikomboa Taifa watu hawa ni Marehemu Mwenda zake,na yule kijana wa Arusha anayedaiwa kupewa Sumu na huyu Jamaa aliyefukuzwa Bungeni kwasababu za kisheria kilichotungwa kwaajili ya kukomoa badala ya kutoa nafuu kwa watu au kurekebisha.
Mwakani watamfuta kwenye chamaHuwezi kupambana na Shetani ukiwa kwenye ngome yake! Huwezi kufanikiwa.
Chama pendwa ni Shetani.
Tumuombee Tu kwa kweli! Wacha inyeshe tujue panapovujaAtatoboa kweli?
Una points muhimu sana ila ni ngumu, huyu very soon watamtimuaHii vita apigane akiwa huko huko CCM akiwa nje watamshughulikia mapema sana na hata wale waliokuwa wanamuunga mkono ndani ya CCM watamkimbia atajikuta yuko peke yake kabisa na watampa kila aina ya kesi kwani na yeye ana vimeo vyake.
That's the pointMawazo ya hofu isiyo na maana yoyote, siasa siku zote huendeshwa na watu sio mawe, hivyo lazima iwe complex bila kujali wakati.
Mpina juzi amegombea ujumbe wa NEC wakamtosa, kama angekuwa ni mtu wao wasingemkataa.
Sema CCM ni genge flani hiviMpina amewakamata mafisadi vizuri sana, watanganyika tumeiona nia yake, japo inawezekana kabisa mahakamani akashindwa kama alivyoshindwa bungeni, kwasababu kote huko kunaongozwa na vibaraka wa Samia.
KWELI Kabisa ila bado ni MTU muhimu sanaHapo ndiyo harudi tena bungeni.