Pre GE2025 Luhaga Mpina kufungua Kesi zote ndani ya masaa 24

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ngoja..🙄🙄
 
Maelezo yake ya safari hii ni marefu sana.Lakini naomba text ili niyasome kwa raha zangu
 
Najua sasa unaweweseka kwani umeshatonywa kuwa Ubunge mwakani haupo tena hivyo unajifanya tu Kuhangaika na Vitisho vyako na Mikwara yako Mbuzi. Hivi Wewe unaweza kweli Kushindana na CCM ambayo pia imeikamata System yote ya nchi? Hamia zako tu huko Upinzani kwani tumeshachoka Kutwa tu kuona Vitisho vyako. Halafu nakusihi tu uwe makini mno kwani hata Horace Kolimba nae aliambiwa hivi hivi ila akawaona Washauri hawana Akili na hatimaye Watu wakamaliza Shughuli katika Podium pale Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…