milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Oman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na CDF pia?Mpina ni wa kupigwa pini haraka vinginevyo akichekewa ataleta shida kwenye amani ya nchi hii. Vyombo vinavyohusika vimshughulikie.
Yeye mwenyewe mwenye kuwataja anatokea ujombani huko hana uchungu nasiWakuu. Kwa namna ambavyo Mpina ameendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya CCM, nashauri angekuwa na tiketi ya ndege na passport kabisa.
=========================================================
Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza hivi karibuni na vyombo vya habari na wanahabari hivi karibuni amegusia kuwa Tanzania kwa sasa kuna watu ambao wana vyeo vikubwa serikalini na watu hao sio Watanzania
"Kuwepo kwa viongozi na watendaji wa serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania kunachangia kwa sehemu kubwa kukosekana kwa uzalendo na kuchochea ubadhirifu wa fedha za umma na kwakuwa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama CDF. Jenerali Jacob Mkunda alitutolea taarifa kuwa wapo viongozi na watendaji wa serikali ambao sio raia wa nchi hii”.
View attachment 3219836
Wakuu. Kwa namna ambavyo Mpina ameendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya CCM, nashauri angekuwa na tiketi ya ndege na passport kabisa.
=========================================================
Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza hivi karibuni na vyombo vya habari na wanahabari hivi karibuni amegusia kuwa Tanzania kwa sasa kuna watu ambao wana vyeo vikubwa serikalini na watu hao sio Watanzania
"Kuwepo kwa viongozi na watendaji wa serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania kunachangia kwa sehemu kubwa kukosekana kwa uzalendo na kuchochea ubadhirifu wa fedha za umma na kwakuwa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama CDF. Jenerali Jacob Mkunda alitutolea taarifa kuwa wapo viongozi na watendaji wa serikali ambao sio raia wa nchi hii”.
View attachment 3219836
Sasa mbona huwataji unabaki tu kusema wapo kibao😎Kuna wanyarwanda na warundi kibao ndani ya Serikali yetu - kuna siku tutalia na kusaga meno.
WanawaogopaNani? Watajeni.
Mbona hata mkuu wa majeshi alishalisema hili?Mpina ni wa kupigwa pini haraka vinginevyo akichekewa ataleta shida kwenye amani ya nchi hii. Vyombo vinavyohusika vimshughulikie.
mkuu usiandike ujinga kisa humpendi Mpina. endelea kuwa mtumwa.CDF alipuyanga na Mpina nae mpenda sifa za kijinga za watu wajinga nae anarudia yale yale. Okoa nguvu na muda wataje fulani na fulani. Kuverify uraia wa mtu ni kazi rahisi sana sijui huu ujinga mitanganyika utawaisha lini.
Mtu kuwa na asili ya nje hakumfanyi kuwa less of a citizen. Trump kamfanya mhindi mmarekani kuwa director of FBI, Musk mzaliwa wa South Africa kuwa head of Doge nk. Kwa nchi yenye watu wengi wajinga kama TZ wangeongea hadi wakauke mate. Ujinga ni utamaduni bongo.
Kuna watu tiss wako loyal na nchi hawakubaliani na yanayoendelea ila hawana nguvu ya kupindua meza naona wameamua kumpa mpina declassified files zote
mkuu usiandike ujinga kisa humpendi Mpina. endelea kuwa mtumwa.
Hii ni repeatedWakuu. Kwa namna ambavyo Mpina ameendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya CCM, nashauri angekuwa na tiketi ya ndege na passport kabisa.
=========================================================
Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza hivi karibuni na vyombo vya habari na wanahabari hivi karibuni amegusia kuwa Tanzania kwa sasa kuna watu ambao wana vyeo vikubwa serikalini na watu hao sio Watanzania
"Kuwepo kwa viongozi na watendaji wa serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania kunachangia kwa sehemu kubwa kukosekana kwa uzalendo na kuchochea ubadhirifu wa fedha za umma na kwakuwa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama CDF. Jenerali Jacob Mkunda alitutolea taarifa kuwa wapo viongozi na watendaji wa serikali ambao sio raia wa nchi hii”.
View attachment 3219836
Je mkuu wa majeshi naye mtamshughulikia maana naye alisema hivyo hivyo. Au mkuu wa majeshi ndipo ilipo roho yenu ya kukaa madarakani kwa shuruti?Mpina ni wa kupigwa pini haraka vinginevyo akichekewa ataleta shida kwenye amani ya nchi hii. Vyombo vinavyohusika vimshughulikie.
🤔 🤔 🤔 💭Kuna watu tiss wako loyal na nchi hawakubaliani na yanayoendelea ila hawana nguvu ya kupindua meza naona wameamua kumpa mpina declassified files zote
Dola ndio inamuweka Rais madarakani na kiusalama Raid ni mtu mdogo sana anaongozwa TU!Kuna watu tiss wako loyal na nchi hawakubaliani na yanayoendelea ila hawana nguvu ya kupindua meza naona wameamua kumpa mpina declassified files zote
Regardless, all non-citizens should be both removed from power and evacuated from our country.This is an echo chamber of fear and warmongering, coming at a time when the entire regional security architecture is too delicate. And Mpina is politicking and stocking flames of hate for political expediency.
Tutsis have been living in Tanzania even before the coming of Paul Kagame. Some of them are loyal citizens, some of them are disloyal.
If we follow this chauvinistic rabbit hole of we'll discover a bitter truth that, even Mkapa was born in Mozambique.