Wakuu. Kwa namna ambavyo Mpina ameendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya CCM, nashauri angekuwa na tiketi ya ndege na passport kabisa.
=========================================================
Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza hivi karibuni na vyombo vya habari na wanahabari hivi karibuni amegusia kuwa Tanzania kwa sasa kuna watu ambao wana vyeo vikubwa serikalini na watu hao sio Watanzania
"Kuwepo kwa viongozi na watendaji wa serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania kunachangia kwa sehemu kubwa kukosekana kwa uzalendo na kuchochea ubadhirifu wa fedha za umma na kwakuwa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama CDF. Jenerali Jacob Mkunda alitutolea taarifa kuwa wapo viongozi na watendaji wa serikali ambao sio raia wa nchi hii”.
View attachment 3219836
Nilisha sema hapa sana ...si vyama vya upinzani wala ccm walio nizingatia...
Nilionya kuhusu kanuni mbovu naza kimpumbavu za uraia tunazo tumia Tanzania lakini si ccm wala wapinzani wame chukua hili jambo ...nilionya kuwa, kuwa na daraja moja la URAIA HAKUFAI..... NIKASEMA HAPA KUWA NI HATARI SANA KUFANYA HIVYO, TAIFA LITAZAMA KWENYE MIKONO YA RAIA FEKI WENYE AJENDA OVU ...unampaje mkimbizi uraia leo kisha anakuwa na haki hadi yakuwa Rais au waziri au kushika vyeo vya juu majeshini ...mfano 👉 simara moja wala mbili tumesikia wakimbizi na wachezaji mpira wamepewa uraia ....sasa kituko ni kuwa na uraia unao wawezesha kuwa hadi wanasiasa au viongozo wa juu ...
KINACHO TAKIWA TANZANIA NI KUWA NA DARAJA 3 ZA URAIA ZENYE MIPAKA TOFAUTI
...hapa hata hoja ya tuwe na uraia pacha itajibiwa vizuri kabisa kama tukiwa na daraja hizo 3 ...mfano mtanzania aliye chukua uraia pacha ana baki na URAIA WA TANZANIA WA DARAJA LA 2 ambao haki yake itakuwa kupiga kura tu kwenye chaguzi na asiruhusiwe kuwa na cheo cha siasa wala kuwa mgombea wa kiserikali kwenye siasa yaani... udiwani...ubunge uraisi ...uwaziri nk...
Na wale wenye URAIA DARAJA YA 3
wasiruhusiwe hata kuwa wanasiasa wala wafadhiri wa kisiasa wala kuwa na vyeo vya juu vya kiserikali wala kuwa wapiga kura nchini isipokuwa watoto wao watakao wazaa wapewe DARAJA YA 2 ya uraia....
KITU KINGINE KIKUBWA SANA KINACHO PUUZWA NA WAPUMBAVU NANI KITU CHA MUHIMU SANA 👉 ni kosa la kuruhusu wanasiasa kuwa wapigq kura wa chaguzi za kiserikali ....hiki ni kitu kibaya sana kwa taifa lolote..mfano wakenya wanashangaa kwanini wameunda katiba wanayo amini ni nzuri ila mambo yapo vibaya vilevile kwenye nchi yao. SABABU NI KWAMBA KATIBA YA KENYA NI KAMA GARI ZURI LISILO KUWA NA PETROL NA PETROL NI KUZUIA WANASIASA KUWA WAPIGA KURA KWENYE CHAGUZI ZA KISERIKALI....hata kama utaandika katiba nzuri kiasi gani ila ukaruhusu wanasiasa kuwa wapiga kura basi katiba yote uliyo uliyo iandika inakuwa ni UPUMBAVU MTUPU .....
💥💥WATANZANIA WOTE KATAENI WANASIASA KUWA WAPIGA KURA WA CHAGUZI ZA KISERIKALI 💥💥 ...
Faida ya kufanya hivi ni nyingi mno na kuu mno kuliko kitu chochote ...kama katiba hii hii mbovu tuliyo nayo tukiweka katazo tu la wanasiasa kuwa wapiga kura basi katiba hii hii mbovu itakuwa ni bora kuliko katiba yoyote barani africa na hata ulaya ...madhara ya wanasiasa kupiga kura kwenye chaguzi za kiserikali yana onekaha hadi marekani .....baadhi ya madhara ni haya hapa
1) uchawa
2)siasa kuwa pango la wapumbavu na watu wenye akili finyu
3)kupata viongozi wa kiserikali wenye akili ndogo
4)kupata viongozi wanaotokana na bidii yao ya umalaya serikali..yaani wanatumia tobo zao mbili za chini au mashine zao kama bwana "egonga".. watu awajui kwanini Egonga alikuwa anatembea hadi na wake wa viongozi wakubwa ile ilikuwa ni mekanizimu kubwa sana ya kumlinda na kumfanya awe mkuu na mwenye nguvu serikali...hata ingeweza kumsaidia kupata Urais kabisa...hatari sana
5) wapiga kura kueshimika na hoja zao kusikilizwa maana wasingekuwa wanasiasa.
6)kunge punguza mauaji kwenye siasa maana wapigakura wasinge kuwa na vyama vya siasa
7) kusinge kuwa na uchafuzi wa pesa za nchi zinazo chezewa kisiasa kama sasa maana vyama vya siasa vingekuwa na wanachama wachache wasiozidi elfu 20000
8)kinge ondoa mfumo wa kokoro kwenye siasa za nchi ambao ndiyo unaosababisha madhara makubwa sana unakuta ndani ya siasa kuna wahalifu wa kila namna kwa sababu siasa imekuwa ni kokoro la kuzoa uchafu wote na mwingi kuliko usafi
9) kunge fanya viongozi kutumikia wananchi wote siyo kutumikia wanachama wao wa vyama vyao tu ...kama sasa mikopo wanapewa wanachama wa ccm tena ya masharti nafuu badala ya mikopo kutolewa kwa wananchi wote kwa haki
10) kinge ondoa kiburi cha vyama tawala kuwa wamechaguliwa na wanachama wao ...hii inafanya chama tawala kujali wanachama wao zaidi ya wananchi wote...
11)kinge ondoa udini na ukabila
Faida ni nyingi sana pamoja na kupunguza siasa kuwa kichaka cha wahalifu yani (even peace ) leo hii wauza madawa ya kulevya wanagombea kadi za ccm ...majambazi hivyo hivyo ...mafisadi ...mitume feki wanafanya utapeli kwa kiburi ya kadi ya ccm ...leo hii kuwa na kadi ya ccm imekuwa kama hirizi ya kufanikiwa kwenye mambo maovu atendayo mtu .
Tunacho takiwa watanzania kukifanya ni mambo matatu makuu yanayo zidi hata hoja ya katiba mpya nayo ni...
1) KUWEKA DARAJA 3 ZA URAIA
2)KUZUIA WANASIASA KUWA WAPIGA KURA WA CHAGUZI ZA KISERIKALI
3)KUWE NA RESENI YA SIASA AMBAYO MTU ATATAKIWA KUILIPIA JAPO SH MIL 2 KILA BAADA YA MIAKA 5.
Kabla ya mtu kujiunga na chama chochote cha siasa ni laziwa awe na hiyo RESENI KWANZA ...hii itapunguza waganga njaa kwenye siasa na kufanya vijana wafanye kazi za kujenga taifa na kusoma badala ya kuwa machawa hadi mavyuoni.