Luhaga Mpina: Kuna watendaji wa Serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania

Kwenze vyama vya siasa ndo pakuanzia huko ndo wahamiaji haramu,vibaka na mafya wapo huko, wanaanzia maeneo ya mipakani mfano unakuta mtu ni mjaluo eti kapewa uenyekiti wa kijiji..halafu tuje serikalini..Kadri miaka inavosonga tutashindwa kulidhibit maana wewe mwenyewe unaenda kufanya hyo operation nawewe unajikuta ni muhamiaji kwahyo inakuwa haina uzito..
 
CDF alipuyanga na Mpina nae mpenda sifa za kijinga za watu wajinga nae anarudia yale yale. Okoa nguvu na muda wataje. Kuverify uraia wa mtu ni kazi rahisi sana sijui huu ujinga mitanganyika utawaisha lini.

Mtu kuwa na asili ya nje hakumfanyi kuwa less of a citizen. Trump kamfanya mhindi mmarekani kuwa director of FBI, Musk mzaliwa wa South Africa kuwa head of Doge nk. Kwa nchi yenye watu wengi wajinga kama TZ wangeongea hadi wakauke mate. Ujinga ni utamaduni bongo.
Kweli wewe ni Bufa 😃
 
Wakuu. Kwa namna ambavyo Mpina ameendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya CCM, nashauri angekuwa na tiketi ya ndege na passport kabisa.

=========================================================

Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza hivi karibuni na vyombo vya habari na wanahabari hivi karibuni amegusia kuwa Tanzania kwa sasa kuna watu ambao wana vyeo vikubwa serikalini na watu hao sio Watanzania

"Kuwepo kwa viongozi na watendaji wa serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania kunachangia kwa sehemu kubwa kukosekana kwa uzalendo na kuchochea ubadhirifu wa fedha za umma na kwakuwa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama CDF. Jenerali Jacob Mkunda alitutolea taarifa kuwa wapo viongozi na watendaji wa serikali ambao sio raia wa nchi hii”.

View attachment 3219836
Watu wasikisia viongozi wasio raia wanawaza warundi, wanyarwanda na waganda.

Hawafikirii kabisa anaweza kuwa Mwarabu, Mhindi, Mzungu
 
aliqezaakuu. Kwa namna ambavyo Mpina ameendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya CCM, nashauri angekuwa na tiketi ya ndege na passport kabisa.

=========================================================

Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza hivi karibuni na vyombo vya habari na wanahabari hivi karibuni amegusia kuwa Tanzania kwa sasa kuna watu ambao wana vyeo vikubwa serikalini na watu hao sio Watanzania

"Kuwepo kwa viongozi na watendaji wa serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania kunachangia kwa sehemu kubwa kukosekana kwa uzalendo na kuchochea ubadhirifu wa fedha za umma na kwakuwa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama CDF. Jenerali Jacob Mkunda alitutolea taarifa kuwa wapo viongozi na watendaji wa serikali ambao sio raia wa nchi hii”.

View attachment 3219836
Huu ni upuuzi, kusema kwamba Mambo yq nchi hii ni mabovu na ufosadi umejaa,eti kisa kuna watu wasio Raia, kwenye hizo nafasi, ni, upuuzi, na ni spinning tu ya kishenzi,
Hv wakati ma ccm wanaiba escrow, Richmond, meremeta, makinikia, Nani hakuwa Raia!?
Wezi, wote wali kuwa ikulu ya kikwete, anawajua, watu walibeba pesa kwenye viroba! Wale wali kuwa Raia wa nchi gani,?
Kutuambia eti nchi haiendelei kisa kuna vuongozi wasio Raia, ni, kutufanya hatuna akili,
Rais wa, TZ anafanya kila kitu, aliweza kumfukuza spika wa bunge,anateua kila mtu, vuongozi wote wa, kisiasa, wanawekwa na ccm, na ccm ni Rais, kwa sasa ni samia,
Juzi, kwenye mkutano wa ccm, Dom, taratibu zimekiukwa, na Samia na Mwinyi wakapitishwa kibabe, hapo sasa aliyefanya huo uamuzi sio mtz?
Huyu mpina nae ni kenge tu, asitake kuhamisha lawama kuwa nchi haiendelei kwa sababu tu kuna watu sio Raia wapo kwenye maamuzi! Hata kama ndio hivyo,taasisi zote zimejaa ma ccm,
Uhwmiaji, takukuru, jwtz, polisi,TOSS, sasa kosa LA Nani? Mshenzi, tu
 
CDF alipuyanga na Mpina nae mpenda sifa za kijinga za watu wajinga nae anarudia yale yale. Okoa nguvu na muda wataje. Kuverify uraia wa mtu ni kazi rahisi sana sijui huu ujinga mitanganyika utawaisha lini.

Mtu kuwa na asili ya nje hakumfanyi kuwa less of a citizen. Trump kamfanya mhindi mmarekani kuwa director of FBI, Musk mzaliwa wa South Africa kuwa head of Doge nk. Kwa nchi yenye watu wengi wajinga kama TZ wangeongea hadi wakauke mate. Ujinga ni utamaduni bongo.
Mtamalizana ccm wenyewe bwana sisi wanyonge hayatuhusu
 
Ni aibu kubwa kama taifa kuendelea kusema uzembe wetu hadharani!!

Wangeshughulika nalo kimya kimya kijasusi kuliko kuja kwa wananchi na kelele kama hizi hii inaonyesha taasisi zifuatazo ni dhaifu!

1.uhamiaji2.Vetting 3. jeshi kwa ujumla yaani typo uchi kabisa!
Vetting ndio taasisi gani Mkuu?
 
Cdf ndio alitakiwa awataje
Mtu ni CDF, eti na ye ye analalamika kuwa kuna watu sio Raia wa nchi hii, na, wapo serikalini!
Una, rasilimali, zote, mpaka intelijensia ya jeshi bado unalalamika! Juzi, na Rais analalamika kuwa Kariakoo ilichomwa ili watu wafiche documents, !
Rais na yeye anashangaa! Hakuna mtu Kalamata, hakuna mashitaka! Ccm mnatuchuliaje aisee! Motherfuckers assholes
 
Wakuu. Kwa namna ambavyo Mpina ameendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya CCM, nashauri angekuwa na tiketi ya ndege na passport kabisa.

=========================================================

Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza hivi karibuni na vyombo vya habari na wanahabari hivi karibuni amegusia kuwa Tanzania kwa sasa kuna watu ambao wana vyeo vikubwa serikalini na watu hao sio Watanzania

"Kuwepo kwa viongozi na watendaji wa serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania kunachangia kwa sehemu kubwa kukosekana kwa uzalendo na kuchochea ubadhirifu wa fedha za umma na kwakuwa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama CDF. Jenerali Jacob Mkunda alitutolea taarifa kuwa wapo viongozi na watendaji wa serikali ambao sio raia wa nchi hii”.

View attachment 3219836
Hilo jinga limechanganyikiwa linaokoteza kila uchafu
 
C
Wengine ni wakubwa sana kule benki kubwaa ya watanganyika

Yule Rais mzilankende aliyevutishwa si alikuwa mrundi

Kwani chui jike ni mtanzania yule?

Yule bibi profesa asiyejua kutema yai

Na huyu anayetaka kuishi muda mrefu mliyemtemesha mzigo juzi

Hapo Umewataja
0. Marehemu jiwe
1. Bwana kuoga pale byotii
2. Bi chakoNiChako
3. Bwana kigoma
 
P
M23 ilianza hivi hivi kwa prejudices za namna hii. Mara makamo sio raia na wengi wengineo. Ukiitaka Kigoma kwenye Tanzania ni lazima uwakubali wenyeji wake pamoja na utamaduni wao.... Vinginevyo kinachotokea Goma sasa hivi ambapo M23 ndio "The new sheriff in town" kinaweza kutokea magharibi ya Tanganyika. 😲
Umeandika point kabisa,tuepuke dhambi hii ya ubaguzi
 
CDF aliyesena kuna viongozi wakubwa serikarini si raia wa nchi hii alikua na ugomvi na nani?
Mpina ana ugomvi na Bashe.
CDF hana ugomvi na mtu.
Lakini CDF anaitwa "Nkunda" halafu yupo Kamanda mmoja maarufu wa Wapiganaji wa msituni Zaire naye pia alikuwa anaitwa "Nkunda" au jina kama hilo.
Sasa akili kichwani kwako bwana.
Put two and two together.
 
Kwa hiyo ajenda ya raia feki kushika dola ya Tanzania inasukwa mpaka jeshini kwa ukamilifu ....ni kweli ajenda ya raia feki kushika nchi yetu dhidi ya wazawa ni REAL ...na tunako kwenda kutakuwa kubaya zaidi ..bungeni kuliwai kuwa hadi na singasinga kaingizwa na genge la raia feki ...kitu pekee ambacho kilikuwa bado kudhibitiwa kikamilifu ni jeshi letu ambalo ajenda ya raia feki imefanikiwa kwa asilimia 10% jeshini
 
Wakuu. Kwa namna ambavyo Mpina ameendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya CCM, nashauri angekuwa na tiketi ya ndege na passport kabisa.

=========================================================

Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza hivi karibuni na vyombo vya habari na wanahabari hivi karibuni amegusia kuwa Tanzania kwa sasa kuna watu ambao wana vyeo vikubwa serikalini na watu hao sio Watanzania

"Kuwepo kwa viongozi na watendaji wa serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania kunachangia kwa sehemu kubwa kukosekana kwa uzalendo na kuchochea ubadhirifu wa fedha za umma na kwakuwa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama CDF. Jenerali Jacob Mkunda alitutolea taarifa kuwa wapo viongozi na watendaji wa serikali ambao sio raia wa nchi hii”.

View attachment 3219836
CCM ndio imeleta watu wote hao,CCM ni kifo cha Taifa letu,NI CHAMA CHA KIHUNI HUNI sana.CCM tuipumzishe tena chini ya huyu mama mwenye dharau ni kabisa CCM imebaki kama choo tu.
 
C

Hapo Umewataja
0. Marehemu jiwe
1. Bwana kuoga pale byotii
2. Bi chakoNiChako
3. Bwana kigoma
Mtu anaweza kuwa siyo raia wa Tanzania ila akawa ni kiongozi mzalendo kwa tanzania ila hapa tunawazungumzia raia feki wasio wazalendo wenye ajenda ovu na nchi yetu.
 
Back
Top Bottom