Luhaga Mpina: Kuna watendaji wa Serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania

Wanasiasa wa inchi hii wengi hawana ujuzi au m Inu ya uwasirishaji hoja kwani wengi hudhani kuparuana wao kwa wao au hata kwa wengine kwa maneno makari au yakuumizana ndiyo suruhisho, hapa Mimi Nashauri rugha sanifu itumike zaidi hasa linapo kuja suara la masilahi mkubwa ya Taifa. Unaposema eti kunaviongozi na watendaji ambao sio raia wa inchi hii wananafasi kubwa serikalini, ujue unaitangaza vibaya inchi Yako mwenyewe kubwa haiko vizuri katka kushughurikia masuara ya uraia na uhamiaji! wakati "in deep" ukweli nitofauti. Tujisahihishe.
 
Vetting inatakiwa iwe imara.mtu kama hakuzaliwa Tanzania kutoka kwa mzazi mtanzania ( mama au baba aliyezaliwa Tanzania) asipewe uteuzi au nafasi nyeti!!
Baba na Mama haitoshi. Tuangalie mpaka bibi yake wa 4 awe amezaliwa Tz
 
Hapo katika kupigwa Pini / Ashughulikiwe unamaanisha kuwa Auliwe, apewe Ulemavu au awekewe Gerezani? Tunasubiria mrejesho wako kwani unaonekana si tu una Roho Mbaya au Mkatili ila pia una Characters zote za Mtu Mchawi / Jini.
Popoma post zako za Simba zimeisha saivi umekuwa mpole kama paka aliyemwagiwa maji hahahhaha
 
Hii nchi tukianza kuhukumiana kwa issue za uraia,tutajikuta wote sio Raia halali wa hii nchi,Wenye nchi yao ni wahandzabe pekee.
 
Wewe ni miongoni mwa watu wapumbavu sana kuwahi kuwepo nchini Tanzania.

Yani mbunge, tena kwa sasa the most popular legislator in the country, kasema kitu ambacho Mkuu wa Majeshi nae alishakisema.

Wewe unasema mbunge "ashughulikiwe." Unahofia mamemo ya mtu mmoja yatazamisha nchi.

Na CDF nae ashughulikiwe ?

Mtu anaeshauri Mbunge "ashughulikiwe" huyo ni raia primitive, ignorant and illiterate. Kichwa chako ni kibovu kupindukia.
 
Mtamalizana ccm wenyewe bwana sisi wanyonge hayatuhusu

Watanganyika kweli wanyonge ndo maana JPM alikua anawaita wanyonge. Unyonge na ujinga vinaenda sambamba, sio sifa nzuri. Endeleeni kukumbatia ujinga.
 
Wewe ni m- Tutsi
 
Wewe ni m- Tutsi
Hata kama ni hivyo lakini ameandika Ukweli !
Kwanza tukumbushane enzi zile za Deutsch Ostafrika ( Germany east Africa)
Burundi Rwanda Tanganyika !
Mpaka hapo huoni kwamba Watu wa Nchi hizi ni Dugu moja ??!
Hii mipaka ilitengenezwa na Wazungu tu !
Wamasai wapo Kenya na wapo Tanzania pia !
Wamakonde wapo Ntwara na wapo pia Nchumbiji Mocimboa da praia mpaka Pemba !!
Muhimu wafuate sheria tu !
Kama wapo kisheria sioni kama iko shida yeyote !
Tusianzishe kama ya Trump eti anawaondosha wahamiaji haramu huko Amerika ilihali hata yeye na Wenzie wote huko ni wahamiaji haramu !
Amerika ni ya Native Americans ( Red Indians) wengine wote ni watu wa kuja tu pale Amerika tena waliingia kwa mabavu !!
 
Shida unafoka tuu hujui azma ya hawa wa Tutsi ni ipi na lengo lao kuu ni kutawala nchi zote maziwa makuu na kuwaona watu wengine ni underdog, hebu imagine wewe unaweza kupata ardhi Rwanda Kama wao wanavyojitwalia maeneo mikoa ya kagera na kigoma??? Acha kushupaza shingo wenzetu wapo mbele ya mda na siku zote wanaamini race Yao ni bora kuliko wengine na ndio maana wanata kutawala
 
Shida sio mipaka shida ni hawa wa Tutsi kujiona wao ndio wana mamlaka ya kuongoza wengine na sio wao kuongozwa
 
kwanini tanganyika iongozwe na mzanzibar mwanamke?
ni sawa na kuwapa mbwa chakula cha watoto wako
 
Wengine ni wakubwa sana kule benki kubwaa ya watanganyika

Yule Rais mzilankende aliyevutishwa si alikuwa mrundi

Kwani chui jike ni mtanzania yule?

Yule bibi profesa asiyejua kutema yai

Na huyu anayetaka kuishi muda mrefu mliyemtemesha mzigo juzi
Huko BOT namfahamu mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…