GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hovyoooooo........!!Merry new year POPOMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hovyoooooo........!!Merry new year POPOMA
Wanasiasa wa inchi hii wengi hawana ujuzi au m Inu ya uwasirishaji hoja kwani wengi hudhani kuparuana wao kwa wao au hata kwa wengine kwa maneno makari au yakuumizana ndiyo suruhisho, hapa Mimi Nashauri rugha sanifu itumike zaidi hasa linapo kuja suara la masilahi mkubwa ya Taifa. Unaposema eti kunaviongozi na watendaji ambao sio raia wa inchi hii wananafasi kubwa serikalini, ujue unaitangaza vibaya inchi Yako mwenyewe kubwa haiko vizuri katka kushughurikia masuara ya uraia na uhamiaji! wakati "in deep" ukweli nitofauti. Tujisahihishe.Wakuu. Kwa namna ambavyo Mpina ameendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya CCM, nashauri angekuwa na tiketi ya ndege na passport kabisa.
=========================================================
Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza hivi karibuni na vyombo vya habari na wanahabari hivi karibuni amegusia kuwa Tanzania kwa sasa kuna watu ambao wana vyeo vikubwa serikalini na watu hao sio Watanzania
"Kuwepo kwa viongozi na watendaji wa serikali katika ngazi za maamuzi ambao sio raia wa Tanzania kunachangia kwa sehemu kubwa kukosekana kwa uzalendo na kuchochea ubadhirifu wa fedha za umma na kwakuwa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama CDF. Jenerali Jacob Mkunda alitutolea taarifa kuwa wapo viongozi na watendaji wa serikali ambao sio raia wa nchi hii”.
View attachment 3219836
Baba na Mama haitoshi. Tuangalie mpaka bibi yake wa 4 awe amezaliwa TzVetting inatakiwa iwe imara.mtu kama hakuzaliwa Tanzania kutoka kwa mzazi mtanzania ( mama au baba aliyezaliwa Tanzania) asipewe uteuzi au nafasi nyeti!!
Popoma post zako za Simba zimeisha saivi umekuwa mpole kama paka aliyemwagiwa maji hahahhahaHapo katika kupigwa Pini / Ashughulikiwe unamaanisha kuwa Auliwe, apewe Ulemavu au awekewe Gerezani? Tunasubiria mrejesho wako kwani unaonekana si tu una Roho Mbaya au Mkatili ila pia una Characters zote za Mtu Mchawi / Jini.
Ila umetimiza Hadi yako ulisema utapost Tena issues za Simba humu na kweli umeweza Mimi ni gusa achiaPopoma post zako za Simba zimeisha saivi umekuwa mpole kama paka aliyemwagiwa maji hahahhaha
Wewe ni miongoni mwa watu wapumbavu sana kuwahi kuwepo nchini Tanzania.
Mtamalizana ccm wenyewe bwana sisi wanyonge hayatuhusu
Tuwashukuru sanaKuna watu tiss wako loyal na nchi hawakubaliani na yanayoendelea ila hawana nguvu ya kupindua meza naona wameamua kumpa mpina declassified files zote
Wewe ni m- TutsiThis is an echo chamber of fear and warmongering, coming at a time when the entire regional security architecture is too delicate. And Mpina is politicking and stocking flames of hate for political expediency.
Tutsis have been living in Tanzania even before the coming of Paul Kagame. Some of them are loyal citizens, some of them are disloyal.
If we follow this chauvinistic rabbit hole of we'll discover a bitter truth that, even Mkapa was born in Mozambique.
Hata kama ni hivyo lakini ameandika Ukweli !Wewe ni m- Tutsi
Shida unafoka tuu hujui azma ya hawa wa Tutsi ni ipi na lengo lao kuu ni kutawala nchi zote maziwa makuu na kuwaona watu wengine ni underdog, hebu imagine wewe unaweza kupata ardhi Rwanda Kama wao wanavyojitwalia maeneo mikoa ya kagera na kigoma??? Acha kushupaza shingo wenzetu wapo mbele ya mda na siku zote wanaamini race Yao ni bora kuliko wengine na ndio maana wanata kutawalaacheni upumbavu, Africa is for Africans,mnataka wakaishi wapi?haki mojawapo ya kila mwanadamu ni kuishi,mnataka yanayotokea US yatokee Africa?mnataka kuchochea xenophobia?Dunia imekuwepo tumeikuta na tutaiacha.Toka enzi na enzi watu wamekuwa wakihama kutoka mahala Fulani kwenda mahala Fulani kwa sababu mbali mbali zilizo nje ya uwezo wao Hata Huyo Mpina hajui asili yake ni wapi ila amejikuta amezaliwa na hajui mababu zake walitoka pande Gani.Ifike mahala somo la uraia lipewe mkazo sana.Afrika ni Moja na Waafrika ni Wamoja..Hizi aina za siasa majitaka zimepitwa na wakati..
Shida sio mipaka shida ni hawa wa Tutsi kujiona wao ndio wana mamlaka ya kuongoza wengine na sio wao kuongozwaHata kama ni hivyo lakini ameandika Ukweli !
Kwanza tukumbushane enzi zile za Deutsch Ostafrika ( Germany east Africa)
Burundi Rwanda Tanganyika !
Mpaka hapo huoni kwamba Watu wa Nchi hizi ni Dugu moja ??!
Hii mipaka ilitengenezwa na Wazungu tu !
Wamasai wapo Kenya na wapo Tanzania pia !
Wamakonde wapo Ntwara na wapo pia Nchumbiji Mocimboa da praia mpaka Pemba !!
Muhimu wafuate sheria tu !
Kama wapo kisheria sioni kama iko shida yeyote !
Tusianzishe kama ya Trump eti anawaondosha wahamiaji haramu huko Amerika ilihali hata yeye na Wenzie wote huko ni wahamiaji haramu !
Amerika ni ya Native Americans ( Red Indians) wengine wote ni watu wa kuja tu pale Amerika tena waliingia kwa mabavu !!
Huko BOT namfahamu mmoja.Wengine ni wakubwa sana kule benki kubwaa ya watanganyika
Yule Rais mzilankende aliyevutishwa si alikuwa mrundi
Kwani chui jike ni mtanzania yule?
Yule bibi profesa asiyejua kutema yai
Na huyu anayetaka kuishi muda mrefu mliyemtemesha mzigo juzi
Hiyo ni shida kweli !Shida sio mipaka shida ni hawa wa Tutsi kujiona wao ndio wana mamlaka ya kuongoza wengine na sio wao kuongozwa