Luhaga Mpina: Mfumuko wa bei umetengenezwa. Ataka uchunguzi kilichojificha Symbion na mikataba mibovu ikafutwe bungeni

Luhaga Mpina: Mfumuko wa bei umetengenezwa. Ataka uchunguzi kilichojificha Symbion na mikataba mibovu ikafutwe bungeni

Magufuli ndio hivyo tena alisema lazima nchi tuwalinde wastaafu hata kama ni mafisadi kiasi gani.
Tunaotetea legacy yake tumsaliti kwenye hili?
Hapo sasa ndipo unaiona ile wanaiitaga wataalam "DOUBLE STANDARD" kwa kweli bado tupo mbali sana kutoka kwenye kutenda haki!!
 
Bilion sabini zimepigwa wizara ya nishati
Angeulizwa Mwendazake na Kalemani maana wao ndio waliotangaza hiyo tenda na kutoa award kwa hao wahindi. Samia na January waliendeleza utekelezaji tu. Ila sjui kwanini January hakutoa maelezo yaliyonyooka kwa jambo hili tangu mwanzo.
 
Anacheza maigizo, hiyo mikataba mibovu iko toka enzi za Mungu wake, mbona hawakuivunja na kuwachukulia hatua wahusika?
Ilishavunjwa Unaijua Agreco na Symbion hizi kampuni zilikuwa zinaiuzia umeme tanesco unit sh 500, zilikuwa zimefunga majenerator makubwa kama kontena la ft 40 Dikteta alivyoingia akawatimua wote naona sasa wanarudi Kwa kutumia dirisha Dogo
 
Haya angeyasema lissu ungekuja kusema "mwanasheria msomi katapika nondo" kwakuwa ni mtu ambaye humpendi ata kama kaongea jambo la maana unadhiaki, ndo maana chadema mmepoteza ushawishi kwa wananchi.
Umempa kubwa kuliko sipendi Watu wanajikita kwenye ushabiki wa vyama badala kuweka mbele maslahi ya Taifa
 
Hauna akili wakat was JPM Kulikua na mfumuko Huu wa Maisha ? Ulisikia chokochoko za symbion??..

Tunakoelekea ,mtashangalia hata Hawa walozuiliwa mchanga madini, nao walipwe.


Tatizo Moja Tanzania, ni kukoswa watu wazalendo, Wenye uchungu na wafia nchi.


Mtu kama wewe, Hupaswi kupewa nafasi yoyote ile ya Kiongozi hata KAZINI kwako !!.

Maana Hautakua Productivity yoyote.
Asante mkuu umempa facts
 
Na huko Kenya, France, Marekani, UK n.k ambako kunaripotiwa mfumuko wa bei mkubwa kuwahi kushuhudiwa toka 2008, pia huo mfumuko umetengenezwa?

Vipi kuhusu wananchi Ulaya kutoruhusiwa kununua mafuta ya kula zaidi ya chupa moja nako kumetengenezwa na January Makamba na washirika wake?

Huyu mpuuzi Mpina si ndio inasemekana aliharibu maisha ya wavuvi wengi na kujimilikisha ekari nyingi kinyume na sheria hapo Morogoro? Huu uchungu na wananchi ameutoa wapi ghafla bin vuu? Asifikiri anaweza kugombanisha wananchi na serikali halafu arukie kwenye hicho chama chao cha Umoja Party! Huyu mjinga better he is reminded waliopo madarakani saivi wamekulia kwenye corridors of power. Wanajua mchezo wake wa mbuni kuficha kichwa chini huku kiwiliwili kikiwa nje!

View attachment 2217827
Kajinyonge tu huna point za kujibu hoja za Mpina. Unatumia historia za kukariri
 
Nasisitiza ni wanafiki tu hao .Huyu kuna kitu anakitafuta, akipata atakaa kimya kama wenzake.
Kwa maana hiyo Chadema tusiwasikilize Tena kwasababu walitudanganya Lowassa ni fisadi kwa miaka 8 na wakasema wana ushahidi wa Ufisadi wake nawakaja kumpokea huyo waliomwita fisadi kuwa mgombea wao wa Uraisi na wakabadilisha kauli wakawa wanasema ni msafi
Carlos The Jackal
thetallest
 
Hatuna muda wa kujiunga na wazalendo wakatili. Mikataba ya manunuzi ya ndege iko wazi? Ujenzi wa reli, bwawa iko wazi? Hatuingi mkono wizi ndani ya nchi yetu, lakini hatuungani na wanafiki walioshiriki uovu wa Magufuli dhidi yetu.
Kama uungi mkono unafiki kama unavyosema mbona chadema walisema Lowassa ni fisadi kwa miss wa miaka 8 lakini hao hao wakajakumpokea kuwa mgombea wao wa Uraisi pamoja na hivyo mbona mpaka Leo still unawasikiliza viongozi wa chadema
Vip mbona huishi kwenye maneno yako?
Carlos The Jackal
 
Na huko Kenya, France, Marekani, UK n.k ambako kunaripotiwa mfumuko wa bei mkubwa kuwahi kushuhudiwa toka 2008, pia huo mfumuko umetengenezwa?

Vipi kuhusu wananchi Ulaya kutoruhusiwa kununua mafuta ya kula zaidi ya chupa moja nako kumetengenezwa na January Makamba na washirika wake?

Huyu mpuuzi Mpina si ndio inasemekana aliharibu maisha ya wavuvi wengi na kujimilikisha ekari nyingi kinyume na sheria hapo Morogoro? Huu uchungu na wananchi ameutoa wapi ghafla bin vuu? Asifikiri anaweza kugombanisha wananchi na serikali halafu arukie kwenye hicho chama chao cha Umoja Party! Huyu mjinga better he is reminded waliopo madarakani saivi wamekulia kwenye corridors of power. Wanajua mchezo wake wa mbuni kuficha kichwa chini huku kiwiliwili kikiwa nje!

View attachment 2217827
Nchi hii kuna watu wanauelewa mdogo sana wa mambo haya na watakuja watu watamuunga mkono tu. Huwezi kutengeneza inflation dunia nzima kuna imbalance kubwa kati ya supply na demand mpaka kwenye shipping kuna ongezeko la bei kubwa sana. Hili ni janga la dunia nzima kuna nchi tajiri duniani kama USA, UK, India mpaka UAE kwa uchache tu wameongeza interest rates kupunguza hii hali. Sasa angesema nani aliyepanga na nia ni nini na pija na solution kuondoka hii inflation. Sijasikia hata mbunge mmoja au serikali kusema hebu tusimamishe export ya vyakula kidogo nje na mpaka nyama wanapeleka sana nje ili kuongeza supply kidogo nchini ku balance extra wauze. Mafuta ya kula bei zimeanza kupanda duinia nzima toka mwaka jana haya ni majanga ya Covid hii ni gharama za lockdown tunaziona leo lakini siku biashara iki balance tu bei zatarudi. China ana containers empty kibao kwake huko na hii imeleta upungufu mkubwa na kusababisha shipping bei kupanda. Kwenye ngano inajulikana Russia na Ukraine ni supply wakubwa duniani kwa maana mwakani tujipange Ukraine hawajalima wako vitani demand kubwa supply chini. Mafuta bei zinapanda kwa speculation hali ikiwa sio stable bei juu hakuna uhakika wakupata mafuta kesho sababu ya shipping haina uhakika kila mtu anabana alichokuwa nacho lakini production ni ileile sababu Russia still ana produce shida ni bei inaamuliwa na madadali huko stock exch market.
ninacho pinga ni mbunge kuja kusema imepangwa huu ni ujinga na aseme nani kapanga kwa madhumuni gani?
 
Wwe ndio mnafiki unaekataa ukweli huku umeelewa.
Mfumuko wa bei nchini umechangiwa na kukosekana uadilifu na usimamizi.
We muulize swali dogo tu uone kama atakujibu yeye mbona mpaka Leo anawasikiliza viongozi wa chadema wakati viongozi wake waliwahi kusema Lowassa ni fisadi na ushahidi wanao lakini hao hao wakampa ugombea wa Uraisi Lowassa na wakasema ni msafi Huu nao tuna uwitaje
 
Akichangia hotuba ya waziri wa viwanda na biashara, mbunge Kisesa, Luhaga Mpina ameongelea mambo mbalimbali ikiwemo uhusiano kati ya sekta binafsi na umma, mikataba mibovu ukiwemo wa Tanesco na Symbion, bilioni 70 za mkataba wa maendeleo ya tehama Tanesco na Mahindra ya India, mkataba mpya unaokuja TPA, bei ya mafuta nchini na mfumuko wa bei.

=======

Luhaga Mpina: Suala la uwekezaji wa Serikali na sekta binafsi linahitaji kuangaliwa kwa makini sana, mikataba mingi tuliyoingia inanyonya mapato ya nchi, uchumi wa nchi, inahamisha rasilimali, inapora ajira za watanzania.

Sasa hivi TPA nae ameanza kutafuta mbia, mikataba ya namna hii lakini ipo mikataba inayotusumbua mpaka sasahivi ya TRA na sicpa. Ipo mikataba tumeingia majuzi ya India Mahindra na Tanesco zaidi ya bilioni 70 kwaajili ya kuendeleza mifumo ya Tehama wakati wataalamu wa tehama tunao hapa wa kila aina wanaoweza kudevelop mifumo ya Tehama. Vijana wetu wamedevelop mifumo kama GPG, POS na hata Maxmalipo, leo unaenda kutafuta mfumo India kwaajili ya kufanya nini?

Sasa hivi naskia symbion wanapigiwa chapuo tuilipe bilioni 356 lakini inapigiwa hili chapuo wakati huohuo hatuambiwi alieingia mkataba huo na kutusababisha tuwe na mkataba ambao hatuwezi ku-exit hata kama mkataba unatuingizia hasara, amechukuliwa hatua gani?

Wabunge tukataeni mikataba ya namna hii lakini tukataeni hata kulipa hizi fedha, uchunguzi ufanyike kilichojificha nyuma ya Symbion.

Mikataba yote ambayo tunaitambulisha kama mikataba mibovu iitishwe hapa bungeni tuweze kuifuta.

Mwisho Luhaga Mpina ameongelea mfumuko wa bei nchini na kusema pamoja na Covid na vita lakini mfumuko umechangiwa na kukosekana uadilifu na usimamizi makini.

Mpina amesema upangaji holela wa bei kinachoshangaza kwanini wahusika hawajachukuliwa hatua. Amedai waziri anawajua waagizaji wa mafuta nje ya nchi, ngano na anawajua wazalishaji wa ndani ya nchi.

View attachment 2217807
Huyu ameamua kupiga kelele ili ainekane. Maana kina Nape nao walianza hivyo.
 
Mbona hakumsema JPM wakati anaipokonya max malipo tender mpaka watu wamehamia sijui Zambia huko. India inajulikana mpaka hao USA wanapeleka project zao huko wanatengenezewa. Kama tender ilitoka inatoka kwa wote na kuna evaluation technical na commercial. kama imekuwa sole source hapo unaweza kuuliza kwanini? turudi walisaidia vipi Max Malipo kukuwa?
 
Back
Top Bottom