Salaam, Shalom!!
Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi 6 zilizopindua Serikali zao kwa sababu Watawala waliopinduliwa hawakujali sauti na matakwa ya wananchi.
Amedai kuwa RUSHWA ikitamalaki, ukiukwaji wa HAKI za binadamu ukiota mizizi, Wizi wa kura ukitamalaki, wizi wa Raslimali za umma ukitamalaki, dhuluma ikizidi katika JAMII, hakuna njia ingine wananchi wanaweza kufanya zaidi ya kupindua Serikali zao Kwa njia mbalimbali.
Ndugu Mpina ameitaka Serikali ya Rais Samia Kutoa tamko kushauri Nchi hizo zisizuiliwe uanachama katika ushirika wa AU.
Mungu ambariki na kumlinda ndugu Mpina,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
HAKI ikatawale katika Taifa. Amen
Chanzo: Uhondo Tv.
Karibuni 🙏