Shukrani mkuu, ni kweli hawajafika Ila wapo step ahead 🙏🏽Ahsante.
Sikutaka kunyanyua yote uliyo andika kuhusu hiyo nchi uliyotolea mfano. Hatuwezi kujilinganisha, lakini bado wana shida kubwa sana pamoja na kuwa na katiba nzuri. Utekelezaji wake bado una makandokando mengi. Wapo njiani, hawajafika; lakini angalau wao wapo njiani kuliko sisi tuliokwama kwenye kisigino cha hawa wanaotutawala na kutufanya mateka wao.
Litakuja kuondoka lini?Mimi napinga Utawala wa Kijeshi bora hilo Zimwi la CCM tulijualo.
Hakuna kituUtakuja kugundua baadae kuwa ni BIG Mistake.
Tuendelee kuandamana.Hakuna kitu
Tutaiondoa kama ilivyoondoka KANU bila ya Mapinduzi.Litakuja kuondoka lini?
Si kweli. CCM ina watu wa aina tatu tu:Kuna watu wanaodhani kuwa CCM hakuna wasafi,
Mimi nakataa,
Ndani ya CCM wapo wazalendo wengi tu, Mpina ni MMOJA wao.
Tutachelewa snTutaiondoa kama ilivyoondoka KANU bila ya Mapinduzi.
Hakuna Mwanajeshi atakaye tuwahisha wao walinde mipaka.Tutachelewa sn
Kwahiyo CCM waendelee kuiba?Hakuna Mwanajeshi atakaye tuwahisha wao walinde mipaka.
Sisi Wananchi ndio tunawaacha waendelee kuiba tukichoka hawatoiba tena.Kwahiyo CCM waendelee kuiba?
Sawa mkuu.Huwezi kuniambia kuwa mimi ni rafiki wako wa damu wakati umenifuma laivu na mke wako hata kama nikupe pesa shilingi ngapi kama wewe si mjinga,Ila kama kuna kaujinga fulani utanisamehe na mke wako utamsamehe na maisha yakiendelea huku ukiendelea kuugulia moyoni.Uchambuzi wako juu ya makundi hayo ni hafifu sana.
Wazalendo ndani ya CCM huwezi kuwatia wajinga.
Mfano huo pia ni BATILI🤔Sawa mkuu.Huwezi kuniambia kuwa mimi ni rafiki wako wa damu wakati umenifuma laivu na mke wako hata kama nikupe pesa shilingi ngapi kama wewe si mjinga,Ila kama kuna kaujinga fulani utanisamehe na mke wako utamsamehe na maisha yakiendelea huku ukiendelea kuugulia moyoni.
Zitto huyu huyu ninayemfahamu mimi ulimpa nyota?Huyu nimempandisha vyeo, nyota moja nimeitoa kwa Zito nampachika L. Mpima mabegani
Kipenda roho.Mfano huo pia ni BATILI🤔
Mfaidika na mfumo mpuuzi mmojaWanaodai Katiba Mpya ndio hao hao wanatumia Rushwa na ngumu kuchaguana ,mpaka hapo hao wanataka madaraka ya Umma Kwa malengo binafsi.
Mwisho Katiba Mpya haijawahi leta ugali walakutatua shida za watu ila ni njia ya Wanasiasa walioko Nje ya serikali kuingia humo wapate ulaji
Yuko sahihi.Salaam, Shalom!!
Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi 6 zilizopindua Serikali zao kwa sababu Watawala waliopinduliwa hawakujali sauti na matakwa ya wananchi.
Amedai kuwa RUSHWA ikitamalaki, ukiukwaji wa HAKI za binadamu ukiota mizizi, Wizi wa kura ukitamalaki, wizi wa Raslimali za umma ukitamalaki, dhuluma ikizidi katika JAMII, hakuna njia ingine wananchi wanaweza kufanya zaidi ya kupindua Serikali zao Kwa njia mbalimbali.
Ndugu Mpina ameitaka Serikali ya Rais Samia Kutoa tamko kushauri Nchi hizo zisizuiliwe uanachama katika ushirika wa AU.
Mungu ambariki na kumlinda ndugu Mpina,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
HAKI ikatawale katika Taifa. Amen
Chanzo: Uhondo Tv.
Karibuni 🙏
huyo mshamba wa kisukuma mbona hakuyasema hayo wakati yule mshamba mwenzake maana ndiyo kipindi ukiukwaji wa haki za binadamu ulikuwa wa kupindukia. Uwaziri haulazimishwi kwa upumbavu wake huo. Atulize tako naona amechanganyikiwa kiasi sijui km anaweza kutibika tena. Kipindi cha Magu ufisadim ulikuwa wa kutisha sema hakuna aliyeweza kusema chochote.Salaam, Shalom!!