Pre GE2025 Luhaga Mpina: Nchi sita za Afrika zilizopindua Serikali zao zilikuwa sahihi

Pre GE2025 Luhaga Mpina: Nchi sita za Afrika zilizopindua Serikali zao zilikuwa sahihi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ahsante.
Sikutaka kunyanyua yote uliyo andika kuhusu hiyo nchi uliyotolea mfano. Hatuwezi kujilinganisha, lakini bado wana shida kubwa sana pamoja na kuwa na katiba nzuri. Utekelezaji wake bado una makandokando mengi. Wapo njiani, hawajafika; lakini angalau wao wapo njiani kuliko sisi tuliokwama kwenye kisigino cha hawa wanaotutawala na kutufanya mateka wao.
Shukrani mkuu, ni kweli hawajafika Ila wapo step ahead 🙏🏽
 
Kuna watu wanaodhani kuwa CCM hakuna wasafi,

Mimi nakataa,

Ndani ya CCM wapo wazalendo wengi tu, Mpina ni MMOJA wao.
Si kweli. CCM ina watu wa aina tatu tu:
1. Mafisadi
2. Opportunists; na
3. Weirdos

Samahani kwa kuchanganya lugha lakini kuna maneno yanaeleweka vizuri zaidi katika hizo lugha.
 
Uchambuzi wako juu ya makundi hayo ni hafifu sana.

Wazalendo ndani ya CCM huwezi kuwatia wajinga.
Sawa mkuu.Huwezi kuniambia kuwa mimi ni rafiki wako wa damu wakati umenifuma laivu na mke wako hata kama nikupe pesa shilingi ngapi kama wewe si mjinga,Ila kama kuna kaujinga fulani utanisamehe na mke wako utamsamehe na maisha yakiendelea huku ukiendelea kuugulia moyoni.
 
Mfano huo pia ni BATILI🤔
 
Wanaodai Katiba Mpya ndio hao hao wanatumia Rushwa na ngumu kuchaguana ,mpaka hapo hao wanataka madaraka ya Umma Kwa malengo binafsi.

Mwisho Katiba Mpya haijawahi leta ugali walakutatua shida za watu ila ni njia ya Wanasiasa walioko Nje ya serikali kuingia humo wapate ulaji
Mfaidika na mfumo mpuuzi mmoja
 
Salaam, Shalom!!

Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi 6 zilizopindua Serikali zao kwa sababu Watawala waliopinduliwa hawakujali sauti na matakwa ya wananchi.

Amedai kuwa RUSHWA ikitamalaki, ukiukwaji wa HAKI za binadamu ukiota mizizi, Wizi wa kura ukitamalaki, wizi wa Raslimali za umma ukitamalaki, dhuluma ikizidi katika JAMII, hakuna njia ingine wananchi wanaweza kufanya zaidi ya kupindua Serikali zao Kwa njia mbalimbali.

Ndugu Mpina ameitaka Serikali ya Rais Samia Kutoa tamko kushauri Nchi hizo zisizuiliwe uanachama katika ushirika wa AU.

Mungu ambariki na kumlinda ndugu Mpina,

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

HAKI ikatawale katika Taifa. Amen

Chanzo: Uhondo Tv.

Karibuni 🙏
Yuko sahihi.
 
huyo mshamba wa kisukuma mbona hakuyasema hayo wakati yule mshamba mwenzake maana ndiyo kipindi ukiukwaji wa haki za binadamu ulikuwa wa kupindukia. Uwaziri haulazimishwi kwa upumbavu wake huo. Atulize tako naona amechanganyikiwa kiasi sijui km anaweza kutibika tena. Kipindi cha Magu ufisadim ulikuwa wa kutisha sema hakuna aliyeweza kusema chochote.
 
Back
Top Bottom