Point taken.Mimi nimekuuliza kuhusu wizi wa kura jee hauwezi kuchochea mapinduzi? Ndiyo maana mnafeli kiboya mitihani,sijazungumzia popote kuhusu Katiba mpya.
Waambie ukweli Hawa mapimbi!CCM inahisi inahati miliki ya kutawala.Ila ipo siku kuna kitu kitatokea japo sijui ni lini.
Kazi ya Katiba ya nchi siyo kuleta chakula mezani pa mtu yoyote yule. Watu wenye mawazo kama haya ni wale Watu ambao wana akili kiduchu, akili ndogo, wenye akili fupi au akili-mbilikimo.Wanaodai Katiba Mpya ndio hao hao wanatumia Rushwa na ngumu kuchaguana ,mpaka hapo hao wanataka madaraka ya Umma Kwa malengo binafsi.
Mwisho Katiba Mpya haijawahi leta ugali walakutatua shida za watu ila ni njia ya Wanasiasa walioko Nje ya serikali kuingia humo wapate ulaji
Na siku zote nimesema kuwa kama nchi hii itakujaingia kwenye machafuko na umwagaji damu basi chanzo ni CCM kwa kupindua maoni na matakwa ya wananchi kupitia sanduku la kura kwa tabia yao iliyokubuhu ya wizi wa kura.Hapo kwenye wizi wa kura Tanzania itahusika soon kama CCM wasipoacha uharamia wao kwenye sanduku la kura.
Sasa hiyo Katiba yenu itatusaidia nini?Kazi ya Katiba ya nchi siyo kuleta chakula mezani pa mtu yoyote yule. Watu wenye mawazo kama haya ni wale Watu ambao wana akili kiduchu, akili ndogo, wenye akili fupi au akili-mbilikimo.
Je, nchi gani hasa hapa duniani ambayo ina Katiba yenye kuleta chakula mezani kwa Wananchi wake?
Umeelewa swali ?Katiba Mpya inazuia wizi wa kura? How?
Maono ya Machadema sio Wananchi hata 3% hawafiki
Kumbe haujui hata kazi za Katiba ya nchi?Sasa hiyo Katiba yenu itatusaidia nini?
Nchi inayonajisi Sanduku la kura na kudharau maamuzi ya wananchi, wananchi Wana HAKI kuziondoa Serikali za namna hiyo madarakani.
Ukiona mwenzio ananyokewa, tia maji!!
Ninaungo mikono hoja.Salaam, Shalom!!
Akiongea kupitia press aliyoitisha nje ya Bunge amedai kuwa UMOJA wa Afrika haupasi kuzisimamisha uanachama Nchi SITA zilizopindua Serikali zao Kwa sababu Watawala waliopinduliwa hawakujali sauti na matakwa ya wananchi.
Amedai kuwa RUSHWA ikitamalaki, ukiukwaji wa HAKI za binadamu ukiota mizizi, Wizi wa kura ukitamalaki, wizi wa Raslimali za umma ukitamalaki, dhuluma ikizidi katika JAMII, hakuna njia ingine wananchi wanaweza kufanya zaidi ya kupindua Serikali zao Kwa njia mbalimbali.
Ndugu Mpina ameitaka Serikali ya Rais Samia Kutoa tamko kushauri Nchi hizo zisizuiliwe uanachama katika ushirika wa AU.
Chanzo: Uhondo Tv.
Mungu ambariki ndugu Mpina,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
HAKI ikatawale katika Taifa. Amen
Karibuni 🙏
demokrasia ikigoma njia mbadala ndio kupindukiana mkuuKutumia Demokrasia ni bora kuliko kupinduana.
Gadaffi alivyopindua serikali, watu wake waliishi vemaWaliopindua mbona wanaendelea kufanya hayo hayo anayoyasema Mpina?
Utawala upi wa Kijeshi ambao jmewaletea Neema Wananchi? Na mbaya zaidi wanajeshi huwezi walalamikia kwamba umekosa Haki unapigwa tuu.
So hakuna uhalali wa kupindua Wala haijawahi kuwa na faidia popote zaidi ya kuongeza umaskini Kwa watu
Kwamba yale “Mapinduzi Matakatifu ya Zanzibar yalikua ni Mapinduzi ya kiraia?Mapinduzi ya Kiraia kama ya Zanzibar ya kumuondoa Sultani ni bora kuliko ya Wanajeshi.
Wizi wa kura ni sababu tosha ya HAKI kupindua Serikali Kwa njia mbalimbali,Kwa hiyo, wewe na Mpina mnataka kusema nini?
Mbona kama mnazunguka sana?
"When injustice becomes law resistance becomes duty."Kwa hiyo, wewe na Mpina mnataka kusema nini?
Mbona kama mnazunguka sana?
Wangekaribisha wageni kumpindua? Mnasikiliza stori za mashabiki wakeGadaffi alivyopindua serikali, watu wake waliishi vema
Kimataifa yapi? Ya Afrika ama ya nchi za Magharibi? Ie; Ulaya, Marekani nk?kwa maoni na mtazamo wake, ni haki na uhuru wake kuona mapinduzi yale kama alivyosema kwenye maoni yake,
lakini hayawezi kiathiri wala kudhoofisha kwa namna yoyote ile msimamao wa Tanzania, sambamba na msimamo wa umoja wa Africa...
taasisi hiyo kubwa barani Africa, inaendeshwa kwa kanuni, taratibu na sheria za kimataifa walizo kubaliana kiziheshimu na kuzifuata collectively wanachama wote....
hata hivyo,
nchi hizo haziwezi kufungiwa nje ya umaja huo daima. Yapo mazungumzo yanaendelea hivi sasa miongoni mwao, hatimae kurejea kwenye utawala wa kiraia. Matumani ni makubwa nchi hizo kurejeshewa uanachana wao wa AU, ulio sitishwa au kusimamishwa kwa muda........
Mataifa mbalimbali ulimwenguni, mathalani Russia wanakusidia kufungua balozi zao katika nchi hizo hivi karibuni
Bado unaandika mafumboWizi wa kura ni sababu tosha ya HAKI kupindua Serikali Kwa njia mbalimbali,
Maandamano yakiwemo.
Andika wewe unachotaka kusema Mimi nimemaliza.Bado unaandika mafumbo
Kama demokrasia haiheshimiwi mapinduzi ya kijeshi, au machafuko ni njia sahihi. Mpina ametuma ujumbe sahihi kwa chama chake maana anajua Nini kinaendelea.Kutumia Demokrasia ni bora kuliko kupinduana.