the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameeleza kuwa baadhi ya viongozi serikalini wamekuwa wakitumia mizengwe dhidi ya watu wanaoibua ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Soko la Idarafuma kata ya Nyakafuru Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita, Mpina amesema kuwa viongozi hao hutumia mbinu za kujihami dhidi ya wale wanaosema ukweli.
Mpina amefafanua kuwa kila anapojaribu kuzungumzia suala la ufisadi, hukutana na kashfa inayosema kuwa hana mapenzi na chama cha CCM.
Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025