Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameeleza kuwa baadhi ya viongozi serikalini wamekuwa wakitumia mizengwe dhidi ya watu wanaoibua ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Soko la Idarafuma kata ya Nyakafuru Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita, Mpina amesema kuwa viongozi hao hutumia mbinu za kujihami dhidi ya wale wanaosema ukweli.
Mpina amefafanua kuwa kila anapojaribu kuzungumzia suala la ufisadi, hukutana na kashfa inayosema kuwa hana mapenzi na chama cha CCM.

Kama kweli ni mzalendo na anaipenda nchi yake asitafute umaarufu ambao hauna faida Ila aachane na hicho chama kwakuwa ipo wazi kuwa huko upigaji umetamalaki Sana.
Maana hauwezi kusukuma Gari ukiwa ndani ya hilo gari

Hata yeye mwenyewe Luhaga Mpina ni mwizi ANAROPOKA hivi kwa kuwa yuko nje ya MFUMO. Ana ekari zaidi ya 1,000 Mvomero tuambieni alizipataje kama siyo ufisadi. ??

Hii mipasho mingine hata haina maana yoyote. "Huwezi kusukuma gari...".
Una maana mageuzi hayawezi kufanyika huko huko ndani ya CCM, bila ya wasiotaka hayo madudu kujiengua huko?
Maana yako ni kwamba njia pekee kwa waliomo CCM lakini wanachukizwa na hilo la ufisadi njia pekee iliyo baki kwao ni kujiengua huko badala ya kupambania huko huko kubadilisha hali hiyo?
Hata yeye mwenyewe Luhaga Mpina ni mwizi ANAROPOKA hivi kwa kuwa yuko nje ya MFUMO. Ana ekari zaidi ya 1,000 Mvomero tuambieni alizipataje kama siyo ufisadi. ??
Hizo "ekari 1,000" unao uhakika zilipatikana kifisadi?
Hebu tueleze ilikuwa kuwaje hadi akazipata kwa njia za kifisadi.
Kwa hiyo hapa hoja yako ni kutaka anyamaze kwa vile naye ni fisadi? Samia kanyamazia ufisadi kwa kuwa ni fisadi?
Suluhisho lililobaki kwa maoni yako ni kunyamazia ufisadi ndani ya Tanzania?
Unakiri kabisa, kwamba "mfumo" uliopo huko CCM ni wa kifisadi!
Hizo "ekari 1,000" unao uhakika zilipatikana kifisadi?
Hebu tueleze ilikuwa kuwaje hadi akazipata kwa njia za kifisadi.
Kwa hiyo hapa hoja yako ni kutaka anyamaze kwa vile naye ni fisadi? Samia kanyamazia ufisadi kwa kuwa ni fisadi?
Suluhisho lililobaki kwa maoni yako ni kunyamazia ufisadi ndani ya Tanzania?
Unakiri kabisa, kwamba "mfumo" uliopo huko CCM ni wa kifisadi!
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameeleza kuwa baadhi ya viongozi serikalini wamekuwa wakitumia mizengwe dhidi ya watu wanaoibua ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Soko la Idarafuma kata ya Nyakafuru Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita, Mpina amesema kuwa viongozi hao hutumia mbinu za kujihami dhidi ya wale wanaosema ukweli.
Mpina amefafanua kuwa kila anapojaribu kuzungumzia suala la ufisadi, hukutana na kashfa inayosema kuwa hana mapenzi na chama cha CCM.
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina ameeleza kuwa baadhi ya viongozi Serikalini wamekuwa wakitumia mizengwe dhidi ya watu wanaoibua ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.