Luhaga Mpina: Wanaomsifia Rais Samia ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu

Kweli wewe jamaa punguani kweli amemtaja mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya meatu , au uchawa umehamisha ufikiri wako kutoka kichwani kwenda makalioni ?
Afikishe taarifa zake Takukuru.Kwamba mpina anajua wezi.kukiko Takukuru na usalama waliopo hapo wikayani plus DC?
 
Mwamba karudi kumbe
 
Luhaga mpina amedhulumu ardhi ya wanakijiji Morogoro, matrekta yake yanalima mpaka kwenye milango yao, amedhulumu maelfu ya ekari
Umewahi kufika kwenye haya mashamba au unaleta umbeya wa mitandaoni ?
 
Mbona hawataki hao waliokula Fedha za umma?

Anajikosha tuu hana lolote.

Wanaomsigia Rais wanaonesha hela alizotoa na kioichofanyika Sasa kama yeye ameona hela zimeliwa sehemu ndio awataje Ili nae amsifie Rais Kwa utaratibu huo.
Mpina toka atolewe uwaziri kichwa chake kimevurugika mno

Kule kwenye uwaziri kulikuwa na kitu.kikubwa alichokuwa akifaidi

Wataalamu wa saikolojia msaidieni hayuko sawa kichwani huyo
 
Japo ametia chumvi ila kanuni za manunuzi ya Umma haziruhusu mtu mmja kuwa na miradi zaidi ya mmja ndani ya Halmashauri Moja.

Hoja sio wa wapi katokea Kwa sababu hiyo ni open tendering ila haitakiwi kuwa na tenda zaidi ya Moja eneo Moja.

Na mwisho Kwa nini hajaanza kazi ? Pamoja na kutia chumvi ila Mpina ana hoja ,aliyeshinda tenda hana uwezo, Serikali ifukuze hao DED na DC wa huko.
 
Urefu wa kamba mpaka kwa Mbowe .. safari hii nchi imepatwa Bi Ushungi anatupiga za chembe.. ndio maana machawa wa Ushungi wanapigana kufa na kupona Mbowe aendelee na uenyekiti.
 
Nimefika na kujihakikishia kwamba Luhaga ni fisadi
Hebu tueleze wewe chawa ukitaka kufika huko kwenye mashamba aliyodhulumu wananchi unapanda magari ya wapi na unashukia wapi ili kufika huko ?eleza usitake kuleta hoja za kipumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…