Luhaga Mpina: Wanaomsifia Rais Samia ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu

Hebu tueleze wewe chawa ukitaka kufika huko kwenye mashamba aliyodhulumu wananchi unapanda magari ya wapi na unashukia wapi ili kufika huko ?eleza usitake kuleta hoja za kipumbavu.
Ng'wanoko
 
Huyo dogo ambaye wamemuweka kuwa mkuu wa mkoa hapo ni mpigaji kishenzi, rushwa ni sehemu ya organ zake za mwili, halafu hana akili kama wanao mteua.
 
Sasa si mumpe urais tu huyu Msukuma
 
Chawa wa mama hawaambiwi kitu, wanamzumguka huku wakichungulia ndani ya pochi yake kuna dola ngapi..

Njaa hizi jamani..
 
CCM wakimpoteza huyu jamaa watakuwa wamepoteza bonge la mwamba
 
Mara nyingi na mara zote huwa hivyo na ndio maana Waswahili wakajaga na kale kamsemo kwamba Eti kumbe Kikulacho ki Nguoni mwako !!

Kwakweli ni shida !
 
Hapo sasa wenye kunufaika na zile Janja janja za nanihino utaona wanavyo mshukia Mpina kama Mwewe !
😳🙄 !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…