Mpumbavu ni wewe ambaye hata kuandika maneno ya Kiswahili huwezi. Hakuna "anajari" bali kuna "anajali".Nanii..Hakuna mtu anajari vile mpumbavu uitumia kura yake.
Kaa kwa kutulia.
Kupiga risasi hadharani tuliacha March 17, 2021 baada ya DIKTETA wa Chato kufa.Sio lazima arudi yeye ila tushajua Bashe na Mwiguru ni watu wabaya sana kwa Taifa...alafu huyu msomali ni wa kukamata kupiga Risasi adharani mana kazidi sasa.
Sawa,sawa..lakini tukubaliane kwanza kwamba hakuna anaejari mpumbavu uitumiaje kura yake" then somo la usahihi wa kuandika kiswahili ndiyo lifuate".Mpumbavu ni wewe ambaye hata kuandika maneno ya Kiswahili huwezi. Hakuna "anajari" bali kuna "anajali".
Na akili ya kiazi mbatata unakuja kufanya nini JF? Hapa ni kwa wenye akili tu wewe kilaza
Mkuu, wanasiasa huwa hawapendi ukweli, ukiwaambia ukweli wanakuona wewe ni mpinzaniShida yetu ni hapa tu mkuu. Yan mtu akitoa wazo zuri lakujenga au baya la kuharibu lazima ahusishwe na kambi Fulani ya kisiasa. Imefika mahali hata watumishi wa Mungu wakitoa maoni Yao vile nchi inavyokwenda lazima nao wachaguliwe kambi ya kisiasa kulingana na walivyotoa maoni Yao. Nafikiri ifike mahali tuamini kuwa raia yeyote anaweza kutoa mtazamo wake mzuri au mbaya lakini mtu huyo hafungamani na kundi lolote la kisiasa.
sawa tupo kwenye ishu ya sukari kwa sasa,hayo mengine tumemsamehe,jibuni hoja zakeLuhaga Mpina ni FAILURE!! Alichoma nyavu za wavuvi na kupima samaki kwa rula. Hii akili haitufikishi popote. Hata wana Kisesa hawamhitaji. Wivu wa madaraka umamtesa
Amfuate tu kuchaa mwenzie tumemzika Chato
Mpina anaonesha nakwajinsi gani alivyo na sifa za kufa kiongozi mwadilifu na mpenda hakiMda si mrefu ataitwa chamani kuonywa, uzuri jamaa katembea na reference. Ila kwa jinsi siasa zetu zilizo hovyo na za kutishana,baada ya kudiscuss hoja wataanza kumdiscuss Mpina.
Kiongozi mwadilifu ? Angekuwa mwadilifu asingemiliki elkari zaidi ya elfu moja huko Mvomero kwa mshahara wa Uwaziri alokuwa analipwa wakati wa MagufuliMpina anaonesha nakwajinsi gani alivyo na sifa za kufa kiongozi mwadilifu na mpenda haki
Mimi nitampa na atashinda mchana kweupeeeeNinaongea kama mimi. Huyu kichaa hata ummpe wewe kura na familia yako HATOBOI. Tunza hii post yangu tutairudia November 2025
Huoni alifanya hivyo kwa maslahi ya taifa!!!Luhaga Mpina ni FAILURE!! Alichoma nyavu za wavuvi na kupima samaki kwa rula. Hii akili haitufikishi popote. Hata wana Kisesa hawamhitaji. Wivu wa madaraka umamtesa
Amfuate tu kuchaa mwenzie tumemzika Chato
Tumia akili weweMpina unazungumza sana,nadhani toka ushindwe kusimamia uvuvi hadi Mjomba Magu akakutema,umepoteza muelekeo. Huwezi kuaminika kutokana ulivyoua uvuvi.Sasa imebakia na mock debate.
Tumia akili weweMpina unazungumza sana,nadhani toka ushindwe kusimamia uvuvi hadi Mjomba Magu akakutema,umepoteza muelekeo. Huwezi kuaminika kutokana ulivyoua uvuvi.Sasa imebakia na mock debate.