Luhaga Mpina: Waziri Bashe na Mwigulu walitengeneza uhaba wa sukari nchini, zilikuwa njama za kuiba mapato ya nchi

Luhaga Mpina: Waziri Bashe na Mwigulu walitengeneza uhaba wa sukari nchini, zilikuwa njama za kuiba mapato ya nchi

Nanii..Hakuna mtu anajari vile mpumbavu uitumia kura yake.
Kaa kwa kutulia.
Mpumbavu ni wewe ambaye hata kuandika maneno ya Kiswahili huwezi. Hakuna "anajari" bali kuna "anajali".

Na akili ya kiazi mbatata unakuja kufanya nini JF? Hapa ni kwa wenye akili tu wewe kilaza
 
Sio lazima arudi yeye ila tushajua Bashe na Mwiguru ni watu wabaya sana kwa Taifa...alafu huyu msomali ni wa kukamata kupiga Risasi adharani mana kazidi sasa.
Kupiga risasi hadharani tuliacha March 17, 2021 baada ya DIKTETA wa Chato kufa.

Hayo maujinga yenu hayatarudi tena
 
Mpumbavu ni wewe ambaye hata kuandika maneno ya Kiswahili huwezi. Hakuna "anajari" bali kuna "anajali".

Na akili ya kiazi mbatata unakuja kufanya nini JF? Hapa ni kwa wenye akili tu wewe kilaza
Sawa,sawa..lakini tukubaliane kwanza kwamba hakuna anaejari mpumbavu uitumiaje kura yake" then somo la usahihi wa kuandika kiswahili ndiyo lifuate".

Upumbavu unapokuwa Tunu,taifa uangamia.
 
Shida yetu ni hapa tu mkuu. Yan mtu akitoa wazo zuri lakujenga au baya la kuharibu lazima ahusishwe na kambi Fulani ya kisiasa. Imefika mahali hata watumishi wa Mungu wakitoa maoni Yao vile nchi inavyokwenda lazima nao wachaguliwe kambi ya kisiasa kulingana na walivyotoa maoni Yao. Nafikiri ifike mahali tuamini kuwa raia yeyote anaweza kutoa mtazamo wake mzuri au mbaya lakini mtu huyo hafungamani na kundi lolote la kisiasa.
Mkuu, wanasiasa huwa hawapendi ukweli, ukiwaambia ukweli wanakuona wewe ni mpinzani
 
Luhaga Mpina ni FAILURE!! Alichoma nyavu za wavuvi na kupima samaki kwa rula. Hii akili haitufikishi popote. Hata wana Kisesa hawamhitaji. Wivu wa madaraka umamtesa

Amfuate tu kuchaa mwenzie tumemzika Chato
sawa tupo kwenye ishu ya sukari kwa sasa,hayo mengine tumemsamehe,jibuni hoja zake
 
Mda si mrefu ataitwa chamani kuonywa, uzuri jamaa katembea na reference. Ila kwa jinsi siasa zetu zilizo hovyo na za kutishana,baada ya kudiscuss hoja wataanza kumdiscuss Mpina.
Mpina anaonesha nakwajinsi gani alivyo na sifa za kufa kiongozi mwadilifu na mpenda haki
 
Mpina anaonesha nakwajinsi gani alivyo na sifa za kufa kiongozi mwadilifu na mpenda haki
Kiongozi mwadilifu ? Angekuwa mwadilifu asingemiliki elkari zaidi ya elfu moja huko Mvomero kwa mshahara wa Uwaziri alokuwa analipwa wakati wa Magufuli
 
Hatar unaweza Kuta ktka huo mpango Bi Chura ana fungu lake
 
Luhaga Mpina ni FAILURE!! Alichoma nyavu za wavuvi na kupima samaki kwa rula. Hii akili haitufikishi popote. Hata wana Kisesa hawamhitaji. Wivu wa madaraka umamtesa

Amfuate tu kuchaa mwenzie tumemzika Chato
Huoni alifanya hivyo kwa maslahi ya taifa!!!
 
Mpina unazungumza sana,nadhani toka ushindwe kusimamia uvuvi hadi Mjomba Magu akakutema,umepoteza muelekeo. Huwezi kuaminika kutokana ulivyoua uvuvi.Sasa imebakia na mock debate.
Tumia akili wewe
 
Mpina unazungumza sana,nadhani toka ushindwe kusimamia uvuvi hadi Mjomba Magu akakutema,umepoteza muelekeo. Huwezi kuaminika kutokana ulivyoua uvuvi.Sasa imebakia na mock debate.
Tumia akili wewe
 
Back
Top Bottom