johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
😂😂😂Waziri wa zamani wa uvuvi Ruhaga mpina ametoa tuhuma kwa waziri wa fedha mwigulu Nchemba kuwa ameiibia serkali pesa katika miradi wa SGR zaidi ya trilioni1.7 .
Hii ni zaidi ya ile kelele ya trilioni 1.5 ya utawala wa hayati Magufuli na ni nusu ya wizi wote alioutaja CAG katika report yake ya jumla ya trilioni 3.5 kwa wizara yote.
Kumbe yale mabasi na matimu ya mpira ni pesa za walipa kodi
USSR View attachment 2595078
Akanushe ili asafishwe........hata kama siyo kiasi hicho inawezekana watu wanataarifa zake.....usijipe mzigo kutetea wakati hata wewe ukweli huujui labda kama ni Kondakta wa mabus ya Ester............unapambania kibaruaAcheni kumchafuwa huyu waziri Ni kweli simkubali I'll kwa tuhuma hzo hpn ninkumchafua tu
Kwasababu ninyi CCM ni wezi sikushangai.Ni kelele kwa kuwa CIG alishatolea ufafanuzi kuhusu taarifa ile
USSR
Hivyo vijembe havikusaidii chochote ila ukweli uko pale pale CCM ni wezi na hawata acha kuibia Wananchi masikini.Ulizaliwa siku ya wajinga duniani
USSR
Mwigulu anafaa kufungwa jiwe zito shingoni na kutupwa baharini akaliwe na mambaWaziri wa zamani wa uvuvi Ruhaga mpina ametoa tuhuma kwa waziri wa fedha mwigulu Nchemba kuwa ameiibia serkali pesa katika miradi wa SGR zaidi ya trilioni1.7 .
Hii ni zaidi ya ile kelele ya trilioni 1.5 ya utawala wa hayati Magufuli na ni nusu ya wizi wote alioutaja CAG katika report yake ya jumla ya trilioni 3.5 kwa wizara yote.
Kumbe yale mabasi na matimu ya mpira ni pesa za walipa kodi
USSR View attachment 2595078
Pesa ya ruzuku ni haki ya vyama vya siasa.Kuna wezi wa ruzuku na pesa za maridhiano
USSR
Acha uchawa prove ....acha unafiki eti simkubali ...Acheni kumchafuwa huyu waziri Ni kweli simkubali I'll kwa tuhuma hzo hpn ninkumchafua tu
Siku ukifanikisha kuchakata hiyo mbususu ujiandae pia na umezaji wa tembeKumtetea Mwigulu ni ngumu mno. Ni mtu aliyeshindwa kabisa ku-control hisia zake za kuutaka urais. Ni waziri mwenye kiburi kilichopitiliza ambaye mara kwa mara amekuwa akituhumiwa kuwa na utajiri wa kufuru akimiliki mabasi na timu ya mpira. Pia anatajwa kuwa miongoni mwa watu waliofaidi papuchi ya Uwoya... kwa hilo la Irene nampongeza sana kwasababu kuichakata ile mbususu ni ndoto yangu ya miaka mingi kwahiyo Mwigulu katuwakilisha wananchi wengi. Ukaguzi ufanyike hela zilizotumika hadi Mh. Nchemba kufanikiwa kuchakata mbususu ile.