Tulia na Bashe wana ukaribu sanaHii hoja itakufa kimya kimya! Maana Mpina atawapelekea ushahidi ulio wazi mpaka tender kwamba imegawiwa kimya kimya! Hapo Tulia atatulia na majibu ya Mpina bila kufanya mjadala!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia na Bashe wana ukaribu sanaHii hoja itakufa kimya kimya! Maana Mpina atawapelekea ushahidi ulio wazi mpaka tender kwamba imegawiwa kimya kimya! Hapo Tulia atatulia na majibu ya Mpina bila kufanya mjadala!
Inawezekana vyombo vyake vipo kabatiniSpika ana Vyombo si achunguze yeye mwenyewe 🐼
AaahàaaInawezekana vyombo vyake vipo kabatini
Mimi mtanzania nitajuaje lugha za kuletwa na majahazi 😛 😛Kaka yangu caliph Accumen Mo je hapo kweli umeambulia kitu? 🤣😅
Uongo kivipi, mbona hata JF ililetwa humu?na sijui unatoa wapi taarifa zako, njoo bungeni upate ukweli. Kinachoongelewa hapa ni hoja ya NFRA na Sugar Gape kama ilivyo wasilishwa na Bashe.
Umeeleza vizuri kwa lugha rahisi. Kitu ambacho sijaelewa ni; Mpina anasema Waziri hatangazi tenda na Waziri kasema ni kweli tenda za kuagiza Sukari nje hazitangazwi. Mpina kaendelea kusema hilo ni kosa kisheria . Sasa huo ushahidi wanaotaka ni upi.Hata kabla ya kuleta ushahidi ujumbe wa Mpina umeshafika.
iyo ndio Quid Pro Quo corruption ya uagizaji sukari.
Wewe unamatatizo binafsi na Mpina. Angalia mada iliyopo na ujibu, acha kuzalisha mada ndani ya mada za watu. Anzisha uzi tutakuja huko.Uongo kivipi, mbona hata JF ililetwa humu?
Dkt. Mwigulu asema Nchi haiwezi kupigwa Tsh. 30 Trilioni wakati Bajeti yetu haivuki Tsh. Trilioni 50, Mpina asema Waziri hajui lolote
Jamaa alidai according to CAG report Trillion 30 zilifisadiwa. Naomba uniambie hapa alithibitisha wapi.
Wewe umesema huwa hakosi ushahidi, niwekee hapa ushahidi kuwa Trillion 30 zilifisadiwa ilihali bajeti ni Trillion 50.Wewe unamatatizo binafsi na Mpina. Angalia mada iliyopo na ujibu, acha kuzalisha mada ndani ya mada za watu. Anzisha uzi tutakuja huko.
Haya majangili ya mali za umma lazima yajihamiMuongo wewe, na sijui unatoa wapi taarifa zako, njoo bungeni upate ukweli. Kinachoongelewa hapa ni hoja ya NFRA na Sugar Gape kama ilivyo wasilishwa na Bashe.
Na Mpina alivyo mpinga Bashe alijibu pale pale akamwambia Spika kwamba Mpina yuko sahihi, NFRA ndio walibadilisha kanuni, lakini Bodi ya sukari ndiyo iliyokuwa inatoa mapendekezo ya kisi cha kununua nje siyo NFRA.
Wewe umetoka kilabuni sijui unadakia tu kisa umeona jina la Mpina na humpendi.
Ratio 1:20,Mpiana inaonekana atachukua nafasi ya Msigwa Chadema
Wewe unaongea vitu gani? Umesoma bandiko la mleta mada lakini au umeshalewa?Wewe umesema huwa hakosi ushahidi, niwekee hapa ushahidi kuwa Trillion 30 zilifisadiwa ilihali bajeti ni Trillion 50.
Pia miamala shuku anasema hapo eti Trillion 120, Mwigulu akamuuliza yaani miamala shuku inalingana na GDP? akakosa majibu.
So huyo Mpina ni kilaza tu, sisi watu makini tunajua ni mpotoshaji tu kuwapata wajinga kama wewe. Kama unabisha hili nitajie ni takwimu gani amewahi kuwa sahihi?
Quid pro quo .... Teeeh watoto na form failure hawawezi kuelewa hiii.Hata kabla ya kuleta ushahidi ujumbe wa Mpina umeshafika.
Mhe. Mpina siku zote analia na upigaji kwenye vibali vya uagizaji commodities, anamwambia waziri awe anafuata utaratibu unaopangwa na Bodi ya Sukari, na sio utashi wake.
Leo Waziri Bashe kakiri kwamba uagizaji wa sukari haunaga zabuni.
Kwa hiyo Waziri anaweza akajiamulia akampigia simu let's say Pascal Mayalla akamwambia Pascal jiandae kesho nakupa kibali cha kuagiza sukari. Jiandae means kachukue hata mkopo kwa kutumia kibali hiki, hela lazima irudi, nchi nzima itakula sukari yako wewe, bei utapanga wewe, nani atakunyima mkopo?
Ila cha juu lazima urudishe kwa Waziri. Hiyo ndio Quid Pro Quo corruption ya uagizaji sukari.
Mbunge wa taifa lazima ubebe facts na evidence, sio ukiambiwa uvilete unapotea, unakuwa mbunge mpayukajiLuhaga Mpina ndiyo mbunge wa taifa
Aliombwa ushahidi lini juu ya hili na hakupeleka?Wewe umesema huwa hakosi ushahidi, niwekee hapa ushahidi kuwa Trillion 30 zilifisadiwa ilihali bajeti ni Trillion 50.
Pia miamala shuku anasema hapo eti Trillion 120, Mwigulu akamuuliza yaani miamala shuku inalingana na GDP? akakosa majibu.
So huyo Mpina ni kilaza tu, sisi watu makini tunajua ni mpotoshaji tu kuwapata wajinga kama wewe. Kama unabisha hili nitajie ni takwimu gani amewahi kuwa sahihi?
okay, ni suala la sura mbili.Umeeleza vizuri kwa lugha rahisi. Kitu ambacho sijaelewa ni; Mpina anasema Waziri hatangazi tenda na Waziri kasema ni kweli tenda za kuagiza Sukari nje hazitangazwi. Mpina kaendelea kusema hilo ni kosa kisheria . Sasa huo ushahidi wanaotaka ni upi.
Bandiko lipi, si bado hajaleta ushahidi so tutabishana tu bila sababu. Ila nimekataa hoja yako kuwa Mpina huwa hadanganyi, maana amewahi danganya huko nyuma kuhusu Trillion 30 kufisadiwa na pia Miamala shuku Trillion 120!! Ndio maana nimekuuliza kama aliwahi toa ushahidi wa hizo hoja mbili hapa nitajie ni lini alifanya hivyo?Wewe unaongea vitu gani? Umesoma bandiko la mleta mada lakini au umeshalewa?
Bottom line is, kavunja sheria gani? Maana loophole ya kisheria ni kosa la bunge sio waziri.Bashe kakiri bungeni kwamba uagizaji commodities huwa wanaufanya kisela na kiholela, haunaga zabuni