Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge

Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge

We naye huelewi kitu, Bashe kasema walipewa vibali hawakuleta sukari between December to late February.

Na walipoleta wakazificha ili scarcity iendelee kuwepo so ikabidi ndio atoe vibali vingine.

Mpina anachodai ni kwamba alitoa vibali kinyume cha sheria ilihali waziri anasema sheria haimlazimu kutoa tender.

So Mpina amejikita kwenye madhaifu ya sheria na sio kwamba waziri ndio kakikuka sheria.

Anyway mmeambiwa kuleta ushahidi, so kuliko kutukana humu nendeni mkamsaidie kuleta huo ushahidi kuwa technical teams ziltaka Tani laki moja ishirini na sio tani laki nne na kumi!!
Dah! Kweli utawala umebadilika, kwenye utawala uliyopita watu walikuwa hawajali kuhusu ushahidi kwenye tuhuma ila kwenye utawala huu ndio tuhuma zinadaiwa ushahidi.
 
Mbona kaeleza kuwa walifanya hivyo ili kukiwa na shortage wauze kwa bei kubwa. Kaeleza kilo moja iliuzwa elfu 3 bei ya jumla!
Wamekataa kuagiza sukari ili kukiwa na shortage wauze kwa bei kubwa, wauze kwa bei kubwa sukari gani wakati sukari mmesema hawajaagiza ??????????????????????????????????????????????????????

Halafu ni uongo wa kijambazi na wa kutufanya wajinga kutuambia eti wamekosa mfanyabiashara muaminifu wa kupewa tenda na akaagiza sukari kiaminifu.

TANGAZA TENDA TUONE!

Biashara unayopewa guarantee, monopoly ya soko la kuagiza chakula cha kulisha nchi, miezi sita, raia milioni 60, wewe peke yako, eti wanaikataa, kwamba haina faida kama ukiifanya kiaminifu, kivipi haina faida ??????????????????

Watanzania wanataka agricultural regulators wamjibu Mhe. Mpina kwa vina na utaalam wa kitafiti unaoweza kusimama mbele ya parliamentary scrutiny.

MBONA NGANO YA UKRAINE INAAGIZWA HAIFICHWI ?

KWA NINI BIASHARA YA SUKARI HAINA FAIDA ?

TANGAZA TENDA TUONE!
 
Alifuta kauli
Kiongozi njia ya mtu muongo ni fupi.

Maelezo ya Bashe hayakuwa na mterereko sahihi.

Mpina ni ropo-ropo pekee yake.

But when he is coached, ufisadi upo wazi.

Kwenye hili sukari Bashe, achomoki

Shida sio Bashe, Iła bajeti ya 1.3 ambayo asilimia kubwa inaenda kuliwa na mafisadi.

Hata huyo poyoyo mwenyrwe Bashe anatumika bila ya kujua.

Mafisadi yana akili sana, wape poyoyo anaejifanya mjuaji (wanamlisha kidogo), halafu yenyewe yanapiga inavyotakiwa.

Mafisadi halisi ni watu wenye uwezo mkubwa wakuendesha nchi wakiamua kwa maendeleo ya Tanzania, sema wameamua kujifurahisha wao.

Hivi unadhani watu walioamua kumtoa Kakoko bandari na kumuweka yule mwanasheria uchwara Mbossa ni wajinga (wana malengo yao kuwapa nafasi nzito wasio na uwezo).

Ni poyoyo kama ‘Plasduce Mikeli Mbossa’ ndio anaweza DP World na wahindi long term contract walizopewa kwa sababu yeye mwenyewe hajui what he is giving.

Wewe kwa akili zako unatia huruma kwa vitu unavyotetea at times I think you are pathetic and shallow (though I know you read).
 
Kilicho mchukiza spika ni Mpina kuiweka report hadharani alipoongea na wananchi. Walitaka asiiseme ili waifanye wananvyotaka.
Nilichojifunza kwenye huu uongozi watu wema watapigwa vita sana
 
Hata kabla ya kuleta ushahidi ujumbe wa Mpina umeshafika.

Mhe. Mpina siku zote analia na upigaji kwenye vibali vya uagizaji commodities, anamwambia waziri fuata utaratibu unaopangwa na Bodi ya Sukari, sio utashi wako.

Leo Waziri Bashe kakiri kwamba ni kweli uagizaji sukari haunaga zabuni.


Kwa hiyo Waziri anaweza akajiamulia akampigia simu let's say Pascal Mayalla akamwambia Mayalla jiandae nakuletea kibali cha kuagiza sukari. Jiandae means kama huna hela kachukue hata mkopo kwa kutumia kibali hiki, hela lazima irudi, nchi nzima itakula sukari yako wewe miezi sita, bei utapanga wewe, business plan ya biashara ni takwimu za commodity deficit za bodi ya sukari, nani atakunyima mkopo?

Ila cha juu lazima urudishe kwa Waziri. Ndio mchoro wa Quid Pro Quo corruption ya uagizaji sukari.
Watu wachache wanakula Nchi kiulaini 🤠⭕️
 
Nilichojifunza kwenye huu uongozi watu wema watapigwa vita sana
Yani huyu jamaa wamemuita hizo kamati za maadili nyingi na mara nyingi sana. Huko Mkoani anakotokea , kuna dada sijui mwenyekiti wa ccm mkoa alimuita kama ti ya maadili ya mkoa kwa mambo ya kibunge, huko Bungeni nadhani hii ni mara ya 10, na mara zote ana washinda.

Kilichobaki watamfukuza chamani au kukata jina lake asipitishwe kugombea ubunge jimboni, au akigombea wana mpitisha Mbunge wa chama cha upinzani na yeye kumuacha, kama alivyo fanywa Ally Kessy kule Nkasi.
 
Niliwaambia siku 10 nyingi sana kwa Luhaga Mpina, wabaya wake wakanishambulia humu. halafu wabaya wake woote wafuasi wa Mudy, vipenzi vya SSH.
 
Sheria ya vibali ndio rushwa yenyewe, acha watu waagize zikifika hizo 150,000 funga geti, vitu vingine ni aibu yaani rushwa na upendeleo waziwazi ili wapige pesa, serikali ondoa huu ujinga wa vibali
 
Yani huyu jamaa wamemuita hizo kamati za maadili nyingi na mara nyingi sana. Huko Mkoani anakotokea , kuna dada sijui mwenyekiti wa ccm mkoa alimuita kama ti ya maadili ya mkoa kwa mambo ya kibunge, huko Bungeni nadhani hii ni mara ya 10, na mara zote ana washinda.

Kilichobaki watamfukuza chamani au kukata jina lake asipitishwe kugombea ubunge jimboni, au akigombea wana mpitisha Mbunge wa chama cha upinzani na yeye kumuacha, kama alivyo fanywa Ally Kessy kule Nkasi.
Hawa watu ukionekana tu upo tofauti nao wanakutafutia timbwili mpaka ukimbie
 
Tulia atakuwa anajuta kumpa Mpina hii kazi ya kupelekewa ushahidi.
 
Yule mpotoshaji sana ni wajinga tu msiojua mambo ndio mnamshabikia. Mfano alisema miamala shuku pekee ni Trillion 120 kwa mwaka, kwamba Tanzania ina miamala zaidi ya Trillion 1000 kwa mwaka? Jamaa ni kilaza tu sema amewadaka vilaz
Haya rudi sasa
 
Back
Top Bottom