Luis Miquison kuachwa ni pigo kwa Simba SC

Luis Miquison kuachwa ni pigo kwa Simba SC

Rhz4567

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2018
Posts
4,893
Reaction score
6,599
1718816995767.png

Luis Jose Miquisone kuondolewa kwenye kikosi cha Simba SC ni pigo jingeni kwa viongozi wa Simba sc.

Ushauri kwa Yanga Sc na Azam fc mchukueni Luis Miq atawasaidia sana kwenye Club bingwa Afrika.

Viongozi wa simba sc hawana maono hapa wamefeli kumuondoa luis
 
Mfano pale Yanga anaenda kuchukua namba ya nani? Mbona mashabiki wa Simba mna kimuhemuhe?
Kwani lazima awe anaanza?

Mkude mlipomchukua alienda kuchukua namba ya nani?

Mkude wa Yanga ana utofauti gani na Mkude alyekuwa akisugua benchi Simba mpaka Club ikaamua iachane naye?

Okrah je?

Na saizi naskia mpo kwenye madeni naye.

Sajili kama hizi huwa zinafanywa kimihemko tu kwa matazamio ya kumkomoa mpinzani na ushamba kama huu upo Gongowazi.
 
Kwani lazima awe anaanza?

Mkude mlipomchukua alienda kuchukua namba ya nani...
Mkude alienda kuchukua nafasi ya bangala na hata mshahara wake sio mkubwa ukilinganisha na wa Miqquisone.

Okrah kwenda yanga hakutokea simba. Okrah alisajiriwa yanga akitokea kwao nigeria ambapo alikua na kiwango kizuri tu ivyo lengo lilikua kuimarisha kikosi kwa kuziba nafasi iliyoachwa na jesus moloko.

Sijaelewa point yako ya kum-challwnge uyo jamaa ni ipi maana wewe mwenyewe kukiri hizi ni sajiri za kimhemko tayari unakubaliana na yanga kumtomsajiri miqquisone, au unataka yanga amsajiri tu Miqquisone kuendeleza huo utamaduni wa sajiri za mihemko?
 
Mkude alienda kuchukua nafasi ya bangala na hata mshahara wake sio mkubwa ukilinganisha na wa miqquisone.. okrah kwenda yanga hakutokea simba. Okrah alisajiriwa yanga akitokea kwao nigeria ambapo alikua na kiwango kizuri tu ivyo lengo lilikua kuimarisha kikosi kwa kuziba nafasi iliyoachwa na jesus moloko.

Sijaelewa point yako ya kum-challwnge uyo jamaa ni ipi maana wewe mwenyewe kukiri hizi ni sajiri za kimhemko tayari unakubaliana na yanga kumtomsajiri miqquisone.., au unataka yanga amsajiri tu miqquisone kuendeleza huo utamaduni wa sajiri za mihemko?
Umeelezea vyema kabisa
 
Mkude alienda kuchukua nafasi ya bangala na hata mshahara wake sio mkubwa ukilinganisha na wa Miqquisone.

Okrah kwenda yanga hakutokea simba. Okrah alisajiriwa yanga akitokea kwao nigeria ambapo alikua na kiwango kizuri tu ivyo lengo lilikua kuimarisha kikosi kwa kuziba nafasi iliyoachwa na jesus moloko.

Sijaelewa point yako ya kum-challwnge uyo jamaa ni ipi maana wewe mwenyewe kukiri hizi ni sajiri za kimhemko tayari unakubaliana na yanga kumtomsajiri miqquisone, au unataka yanga amsajiri tu Miqquisone kuendeleza huo utamaduni wa sajiri za mihemko?
Wakati Bangala yupo Yanga alikuwa kwenye schedule ya benchi inayofanana sawa na hii anayowekwa saizi Mkude?

Bangala ilikuwa ni nadra kumkosa kwenye 1st eleven na ndio maana alipewa hadi ukapteni msaidizi.

Sasa replacement ya namna gani hiyo ambayo kuziba gape la Bangala ni kukaa benchi karibia mechi zote za muhimu?

Mshahara sio factor ya msingi hususan ukizingatia kwa wachezaji wazawa.

Skudu anaweza kuwa analipwa mshahara mrefu kuliko hata Backa, lakini tunapokuja kwenye kipimo cha nani ambaye anaisaidia timu kupitia uwezo wake hapo ndio tunapomuengua Skudu..

Okrah aliyetoka Simba ndio yule yule aliyerudi Yanga. Vile vigoli alivyokuwa akifunga huko kwao Ghana viliwadatisha bila kupima intensity ya ligi yao kufananisha na yetu.

Ni sawa na ukachukue mchezaji ligi ya Sudan Kusini kwa kina Zalan, ukamleta bongo eti kisa huko kwao alikuwa ni top score.
 
Back
Top Bottom