uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Basi inawezekana injury na mfumo wa kocha au mazingira yamemuathiri ila uchezaji wake akiwa yanga ni WA kawaida sanaSkudu ni mchezaji mzuri sana amkekosa muda wa kucheza ile injury ya kwanza ilimtoa kwenye reli
Skudu ni pro tunategemea afanye zaidi