Mwalimu huwa anaitambua vizuri fitness ya mchezaji kwenye mazoezi hata kama mnampenda sana mchezajiMsimu wote hakupewa nafasi zaidi ya kupewa dakika 10 hadi 5 kipindi cha pili
Kwani lazima awe anaanza?Mfano pale Yanga anaenda kuchukua namba ya nani? Mbona mashabiki wa Simba mna kimuhemuhe?
Yanga mwenzenu huyoMfano pale Yanga anaenda kuchukua namba ya nani? Mbona mashabiki wa Simba mna kimuhemuhe?
Mkude alienda kuchukua nafasi ya bangala na hata mshahara wake sio mkubwa ukilinganisha na wa Miqquisone.Kwani lazima awe anaanza?
Mkude mlipomchukua alienda kuchukua namba ya nani...
Kuwa yanga hakumzuii kujibu swali aliloulizwaYanga mwenzenu huyo
Umeelezea vyema kabisaMkude alienda kuchukua nafasi ya bangala na hata mshahara wake sio mkubwa ukilinganisha na wa miqquisone.. okrah kwenda yanga hakutokea simba. Okrah alisajiriwa yanga akitokea kwao nigeria ambapo alikua na kiwango kizuri tu ivyo lengo lilikua kuimarisha kikosi kwa kuziba nafasi iliyoachwa na jesus moloko.
Sijaelewa point yako ya kum-challwnge uyo jamaa ni ipi maana wewe mwenyewe kukiri hizi ni sajiri za kimhemko tayari unakubaliana na yanga kumtomsajiri miqquisone.., au unataka yanga amsajiri tu miqquisone kuendeleza huo utamaduni wa sajiri za mihemko?
Ni sahihi.Mwalimu huwa anaitambua vizuri fitness ya mchezaji kwenye mazoezi hata kama mnampenda sana mchezaji
Wakati Bangala yupo Yanga alikuwa kwenye schedule ya benchi inayofanana sawa na hii anayowekwa saizi Mkude?Mkude alienda kuchukua nafasi ya bangala na hata mshahara wake sio mkubwa ukilinganisha na wa Miqquisone.
Okrah kwenda yanga hakutokea simba. Okrah alisajiriwa yanga akitokea kwao nigeria ambapo alikua na kiwango kizuri tu ivyo lengo lilikua kuimarisha kikosi kwa kuziba nafasi iliyoachwa na jesus moloko.
Sijaelewa point yako ya kum-challwnge uyo jamaa ni ipi maana wewe mwenyewe kukiri hizi ni sajiri za kimhemko tayari unakubaliana na yanga kumtomsajiri miqquisone, au unataka yanga amsajiri tu Miqquisone kuendeleza huo utamaduni wa sajiri za mihemko?