Luis Miquison kuachwa ni pigo kwa Simba SC

Skudu ni mchezaji mzuri sana amkekosa muda wa kucheza ile injury ya kwanza ilimtoa kwenye reli
Basi inawezekana injury na mfumo wa kocha au mazingira yamemuathiri ila uchezaji wake akiwa yanga ni WA kawaida sana
Skudu ni pro tunategemea afanye zaidi
 
kwa msahahara tu ambao alikuwa analipwa unaweza kusajili wachezaji watatu na kuimarisha timu ikawa bora kuliko kuwa na mchezaji anaishia benchi aende singida fauntain gate huko
 
Basi inawezekana injury na mfumo wa kocha au mazingira yamemuathiri ila uchezaji wake akiwa yanga ni WA kawaida sana
Skudu ni pro tunategemea afanye zaidi
Wakati Gamondi anaanza kuifundisha Yanga, alikuwa anamchagua Skudu dhidi ya Pacome. Pacome hakuingia first eleven ya Yanga na hakuna aliyejua Pacome anakitu mguuni. Mechi ya Yanga dhidi ya Kaizer chief, Skudu alionesha kiwango kikubwa sana hakupoteza pasi na alipiga cross nyingi zenye hatari ila hazikutendewa haki. Skudu ndiye aliyeonekana ni mchezaji hatari kwa Yanga, mechi dhidi ya Azam, wachezaji wa Azam wali deal zaidi na Skudu na kufanikiwa kuumiza Skudu na kumuweka nje ya uwanja kwa muda mrefu. Kwanzia hapo maisha ya Skudu kwenye kikosi cha Yanga ikawa tofauti, kaja kukuta Gamondi mfumo wake umesha click kwa uwepo wa Pacome, Max na Aziz Ki.
 
Sidhani kama anafaa badala ya kucheza mpira huwa anacheza na jukwaa
ifke mahali watu wapewe elimu mpra wamiguu lazma ifanye mabadliko Real Madrid waliwaacha kna CR7 bale wakiamn wapishe kzaz kngne lakn uku bongo unakaa na mchezaji mpaka anacheza na wajukuu et atakupa impact ifke tu chama miqson sjui saido wamefanya kaz kwa wakat wao tumeona ila tunaitaji madogo wakumalizia hyo ndoto iliyo achwa njian
 
Sahihi kabisa.
 
Hili ni neno la siku kwao simba.
 
Kwao siyo Nigeria, Okra magic alitoka club ya Bechem ya kwao Ghana
 
Kwaiyo alivosajiliwa Sherhan kutoka Zanzibar ilikuwa mihemko?
Mkude ni mchezaji wa first team Kuna kipindi anacheza kipindi anakaa bench.
Wanatakiwa wacheze wachezaji 11.
Mbona kacheza mechi zote za Mamelod.

Ukiambiwa kikosi kipana laZima uwe na wachezaji wenye Quality sawa.
Nyie mbumbumbu akiumia Chama anaanza Chasambi,πŸ˜…
Mbadala wa Inonga eti ni Hussein KaziπŸ˜…
Mbadala wa Tshalala hata hayupoπŸ˜„
Mbadala wa kapombe ni mwendaπŸ˜…
Jobe >Fred.
Elewa kikosi kipana inatakiwa uwe na wachezaji wazuri
Mkude tulimsajili Kwa malengo.
Na Sasa tunamsajili Chama akianza benchi Kwa pacome au Aziz ki utasema alisajiliwa Kwa mihemko?
 
Unaubishi wa kijinga sana
Msimu wa mwisho wa nabi bangala hakua na namba alianzia benchi hata mechi ya fainal vs usm alger alikua bench

Bangala msimu wa mwaka juzi 2022/2023 na wa mwisho kwa nabi hakua first eleven alikua anaanzia bech na mechi nyingi sana alikua hachezi sasa sijui unachobisha nini
 
Unajua sababu za kuanzia benchi Bangala katika mechi za mwishoni zilisababishwa na nini?

Unakumbuka Bangala kuna muda alikuwa anachezeshwa eneo la beki unajua sababu ilikuwa ni nini?

Kuna sababu yeyote unaweza kuitaja kuwa kushuka kwake kiwango ndio kulikopelekea Bangala kuanzia benchi?

Au ni personal issues tu za nje ya uwanja?

Sasa je na Mkude naye anakaa benchi kwasababu zilezile zilizomuweka benchi Bangala?

Au ni swala la kiwango?
 
We hujui mpira
Kwaiyo akina Rodrigo, camavinga, Tchuman ,Miltao wanavoanzia benchi Madrid hawana kiwango
 
Waua vipaji
 
Mchezaji lazima apitie changamoto zilezile za kiwango kushuka na kiwango kupanda hiyo ni kawaida kwa mchezaji.
 
Kufananisha na nani?

Na Mkude?
Ndiyo
Mkude Kwa mazingira yetu hajafeli na YANGA Walikuwa sahihi kumsajili.

Kama ambavyo Yanga tutamsajili Chama na atakaa benchi tu
 
Mbona unaongea habari za kufikirika a.k.a za vijiweni

Bangala ule msimu wa mwisho wa nabi karibia wote alikua haanzi
Tunaongelea bangala mara unachomokea mambo ya mkude
Huyo mkude mbona halalamiki na ameongeza mkataba wewe ndo unayelalamika kuhusu mkude lakin yeye halalamiki
 
Yanga NI Muda wa kuchukua hiki kipaji tatizo n mshahara wake kua mkubwa
 
Ok nilichanganya kidogo hapo ila point yangu ilikua ni kwamba hakwenda yanga straight from simba
Ni kweli, Simba wanakosea Sana kusema Yanga wanachukua mabaki waliyoyatema, Yanga wamemsajili Okra kutoka Bechem fc, pia wanasahau wao walivyomchukua Morrison kimagumashi.
 
Okrah mnigeria πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nilichanganya kidogo hapo ila anatokea nchi za uko uko afrika magharibi lakini msingi wa hoja yangu ilikua ni kusema kwamba okrah hakukwenda yanga straight from simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…