Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,553
Familia yenye furaha hata kwenye picha utawafahamu tu, kwa umri wa mtoto wao wa kwanza na still wapo kwenye ndoa mpaka leo, wanapendana kiukweli, tena wapo Maldives, vijana ndoa zetu siku hizi miaka mi 5 ni kazi.