LUIS SUAREZ na familia yake ndani ya maldives

LUIS SUAREZ na familia yake ndani ya maldives

Wazungu wana miilimizuri sana

Ona tumb la mke wake uwezi dhani kama kaza watoto wote hapo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hata mifumo yao ya uzazi iko vizur,
Afu wenzetu unene na vitambi kwa Wanawake wanaupiga Sana Vita.

Tofauti na uku bongo Wanaume mnachochea sn wake zenu wanenepe ili wawe na chura[emoji4]
 
Hata mifumo yao ya uzazi iko vizur,
Afu wenzetu unene na vitambi kwa Wanawake wanaupiga Sana Vita.

Tofauti na uku bongo Wanaume mnachochea sn wake zenu wanenepe ili wawe na chura[emoji4]
Mwanamke wa kizungu ukimwambia amekuwa mnene au ana kitambi atakuwa na stress siku nzima atajiona urembo wake umepotea
 
Mila za mabeberu ni ushamba mtupu. Wakati wao wakivaa chupi tu mbele ya watoto wao sisi huko ndo tuko kwenye mjadala kwamba je, ni sahihi chupi za kike kuanikwa nje kwenye kamba? Mabeberu ni watu wa hovyo.
 
Back
Top Bottom