LUIS SUAREZ na familia yake ndani ya maldives

Familia yenye furaha hata kwenye picha utawafahamu tu, kwa umri wa mtoto wao wa kwanza na still wapo kwenye ndoa mpaka leo, wanapendana kiukweli, tena wapo Maldives, vijana ndoa zetu siku hizi miaka mi 5 ni kazi.
Na huyo mke Sofia Balbi ni Mtaliano kaanza kumpenda Suárez akiwa na maisha ya kawaida hata kabla hajatoboa kwenye soka. Demu anampenda sana Suárez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…