Lukaku, Morata na Lacazette: Nani mkali zaidi?

Zile pasi za Fabregas, na Cross za Mozes+Pedro.....ukileta dribbles penetration pass za Hazard lazima Morata atakuwa tishio...
Nafikiri Conte kamnunua Morata kwa sababu hiyo kuu. Kwamba ata-fit well kwenye hivyo viungo. Time will tell.
Ila hata Lukaku si wakibeza Lile lijamaa nalo Balaa
Yupo very powerful. He is big, strong and quick as well. Proved in the Premiership, but not in big club that faces more defensive sides more often. Time will tell as well.
 

Kwa namba 9 unahitaji magoli tu! Ufundi wanao namba 10 na midfielders. Hususani kwa United, Lukaku wala ahitaji hata kujua kupinga chenga. Lukaku ni natural goal getter! Ni design ya akina Chicharito, Ruud Van na Pippo Inzaghi.

Angalia career stats za Morata: Alvaro Morata | Football Stats | Real Madrid | Age 24 | Soccer Base

Halafu ona za Lukaku: Romelu Lukaku | Football Stats | Manchester United | Age 24 | Soccer Base

Lukaku tayari ni proven goal scorer kwenye EPL. Na kama uliwasikiliza Jose na Edward, walimtumia Morata kama dummy, ila kuwa-fool rent boys juu ya Lukaku. Hivyo rent boys waka-relax wakiamini hawana mshindani katika kumpata Lukaku! Ikala kwao.

Wewe kama shabiki wa Arsenal, your opinion on Lukaku's move to OT is irrelevant. It doesn't matter at all! Kama unamwona na flaws, is that not good for you as a Gooner?
 


Hii haina mjadala kwani Lukaku ameonyesha kwanini alikuwa anagombaniwa na Everton yenyewe, Man Utd na Chelsea.....jamaa ameonyesha kuwa anaijuwa vizuri Premier League na ni mmoja wa mastraika wakali kwa miaka 3 mfululizo hivi sasa. As for Morata, ni striker mzuri ila si kwa level ya Lukaku. Jamaa anafumania nyavu akicheza na vibonde tu. Kumbuka alipokuwa Juve alichezea kikosi kikali na alikuwa anapangwa kwa mechi zisizo na mshiko, na Spain hivyo hivyo. Ndiyo maana Man Utd waliona bora kuwa na a proven striker kuliko striker wa majaribio.
 
Lukaku is quick?
Shame

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Suala la De Gea ndio lilisababisha Madrid kuizungusha Man United. Japokua Chelsea wamemsajili kwa inititial fee ya £70.5m
 
Morata atoke kwa mabingwa wa laliga & uefa aende namba 7???

Perez hawezi kukubali ujinga huo kabsaaaaa!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Labda ndo maana kwenye big games huwa anapwaya?
Unamaanisha kupwaya huku against rent boys?

Au hii hat trick dhidi ya United?

Dhidi ya Man Shitty:
Dhidi ya bingwa mtetezi msimu uliopita:
Dhidi ya Spurs:
Dhidi ya Loserfools:
Nani anahitaji ufundi kama mshambuliaji anatumbikiza hivi?
Labda kupwaya kunamaanisha vingine? Lakini inaonekana Lukaku keshazifunga timu zote kubwa.

Haya leteni lingine.
 
jamaa ameonyesha kuwa anaijuwa vizuri Premier League na ni mmoja wa mastraika wakali kwa miaka 3 mfululizo hivi sasa.

Nadhani msimu uliyopita ndo alicheza vizuri kuliko misimu ya nyuma. Kweli Lakaku ni proven striker in the Premiership, but not in a big club. Morata has played in big clubs, but not proven in the Premier League.

We will have to wait and see. Who knows within the first 15 games tutakuwa tushajua nani mkali zaidi.
 
Wewe kama shabiki wa Arsenal, your opinion on Lukaku's move to OT is irrelevant. It doesn't matter at all! Kama unamwona na flaws, is that not good for you as a Gooner?

Heshima yako Mkuu. Long time! Tokea Mourinho ahamie Man Utd umekuwa mkimya. Nakukumbuka enzi za David Moyes.
 

Msimu una mechi 38 na sio 15,hauwezi linganisha mchezaji kwa mechi 15.
 
Reactions: EMT
Morata has played in big clubs, but not proven in the Premier League.
.
Ebu weka stats za mechi alizoanza kwenye kikosi cha kwanza. Bila kusahau mechi kubwa kubwa.
 
Heshima yako Mkuu. Long time! Tokea Mourinho ahamie Man Utd umekuwa mkimya. Nakukumbuka enzi za David Moyes.
Nipo ndugu yangu! Tunamshukuru Mungu kwa uzima! Nasubiria kwa hamu mtanange wa EPL msimu ujao.
 
Reactions: EMT
Morata darajani karibu sana jembe

Kwa Mimi naona morata ni bora kwakua kaja Stamford bridge
Ni mapenzi tu

Heavy Weight
 
Morata amecheza kwenye timu kubwa ambazo zilikuwa zinapigani ubingwa (Real Madrid,Juventus) na muda mwingi alikuwa anaanzia benchi while Lukaku amecheza kwenye timu ndogo (WestBrom,Everton) ilimsaidia kucheza bila pressure akapata confidence .

Mafanikio ya Lukaku au Morata yatategemea na mafanikio ya timu zao Chelsea vs Manchester United,kuna dalili kubwa ya Lukaku kufunga magoli mengi kuliko Morata sababu tayari ameizoea EPL while Morata atakuwa atakuwa anacheza kwa pressure na mabeki watamkaba sana na mfumo wa Conte hautegemea mfungaji mmoja while mfumo wa Mourinho ni wa kumtegemea striker mmoja kufunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…