EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,325
- Thread starter
- #21
Nafikiri Conte kamnunua Morata kwa sababu hiyo kuu. Kwamba ata-fit well kwenye hivyo viungo. Time will tell.Zile pasi za Fabregas, na Cross za Mozes+Pedro.....ukileta dribbles penetration pass za Hazard lazima Morata atakuwa tishio...
Yupo very powerful. He is big, strong and quick as well. Proved in the Premiership, but not in big club that faces more defensive sides more often. Time will tell as well.Ila hata Lukaku si wakibeza Lile lijamaa nalo Balaa