Lukaku, Morata na Lacazette: Nani mkali zaidi?

Hahaaa umetishaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawewe hao ndio unawaona mafundi... Kweli Chelsea kazi mnayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haiusiani na de man u kukataa kumwachia degea??

Maana haiwezekani ukatae 75mil then ukubali 60mil hata ukiwa tajiri vipi hii sio biashara!!!

Nahisi kuna ka bifu mahali!! morata alikua anajua kabisa anaenda man united, labda baada ya kushindwana morata akazingua ndio maana madrid wameamua kumuuza kwa bei yeyote ili aondoke!!
 
Tatizo Lukaku anapotea sana kwenye big games..
Nimeshaonyesha unachokisema ni uongo...angalia post yenye video za YouTube zikionyesha Lukaku alivyofunga magoli dhidi ya big teams.
 

It is very interesting b'se inadaiwa kuwa Morata alikuwa ameshakubaliana na United on personal terms only the deal to collapse at the last minute. Inadaiwa pia kuwa Vicente Del Bosque played a part in sabotaging the the deal as far as the Spanish national team is concerned and the negativity against Mourinho huko Spain. Wengine wanadai Madrid alikuwa wanaraka £79m, which doesn't sense kuwauzia Chelsea kwa bei ya nchini.

Could also be De Gea Saga, lakini mie nadhani ni ile rival iliyopo kati ya Man Utd na Real Madrid at the international stage. Also, note that Man Utd have been named as the world’s most valuable football club this year, overtaking Real Madrid. Halafu Madrid wawauzie Morata to add to that prestige?

Unakumbuka enzi za saga la Ronaldo, Fergusosn alisema " I will not sell that mob a virus”. Who knows, maybe Madrid nao hawakutaka kuwauzia United a "virus". United watacheza na Madrid kwenye European Super Cup and possibly who knows kwenye Champions League next season. Hata huko Marekani kwenye pre-season wanabishana sehemu za kukaa na kufanyia mazoezi
 
Lukaku akiwa kwenye timu kubwa anachemka sana ila akiwa kwenye timu ndogo ndogo ndio anaonekana kama striker mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa Morata sidhani kama utaonekana msimu wa kwanza,kwani ligi ya uingereza straika lazima utumie nguvu za ziada kwani mabeki wa timu zote wanajua kukamia.Tofauti na Hispania chenga nyingi hadi golini.

Sent using Jamii Forums mobile app
hayo ya mabeki mmekalili tu watu huwa wanasema bundasiliga ndio ngumu...morata aliweza kumudu itali ambako mabeki wake sio wa dunia hii ashindwe uingeleza yenye mabeki mchele mchele na kungekuwa na mabeki wazuri basi team za EPL zingekuwa zibafanya vizuri UEFA

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
kufunga goli 7 au 8 msimu mzima ndio kudumu? misimu miwili aliokaa italy kafunga goli 15 tu.

wakati lukaku misimu miwili kafunga goli 43.
 
kufunga goli 7 au 8 msimu mzima ndio kudumu? misimu miwili aliokaa italy kafunga goli 15 tu.

wakati lukaku misimu miwili kafunga goli 43.
tunaongelea kupewa nafasi lukaku alikuwa anaanza na anadumu dakika 90 .....sasa twende kwa morata kacheza mechi 15 goli 14 na hajawahi kucheza dakika 90 huwa anaingia dakika za. 75 sasa nambie akipewa dakika 90 kama main straiker mbona tutaheshimiana huku mtaani

I BLNG 2 JESUS CHRST
 

Unadhani kwanini Morata alivyokuwa juventus na real Madrid kwanini hakuwa anapewa nafasi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
juve kacheza mechi 63 goli 15 unataka nafasi ipi tena
 
mi naona kama vile wote its fair deal kwa timu zote, morata angekuwa na hatari ya kutoshine MAN UTD kutokana na mfumo wa mou wa kujilinda kumiliki mpira kwa mda na kutumia counter attack huku akiwa na mshambuliaj mmoja mbele, remember chelsea ya drogba, na MAN haina viungo kama aina ya chelsea ya ss waliopo at least kwa miaka miwili nyuma ingawa wanaendelea kupanda viwango.

MORATA angekuja MAN ndo ingekuwa gambling zaid kuliko LUKAKU kwan at least LUKAKU primer league experiences inambeba, so MORATA kwenda chelsea ni sahihi zaid na LUKAKU kwenda MAN UT its a perfect combo, kutokana na caliber ya wachezaji waliopo kwenye timu zote mbili, nafikiri Mou aliliona hilo ndoomaana akaamua kustick kwa Lukaku kama Morata angekuwa cheap Mou angeweza kurisk kumleta Morata Man u an angesajili strike mwingine kama cover au angebadili mfumo ila sababu bei hazipishan sana akaona bora abaki na huyu mwenye experience,

kwa chelsea wote sawa angekuwa lukaku ama morata ingawa conte inaonekana alimtaka lukaku zaidi kwa sababu anajua beki za england zilivyo aggressive

haijalish wanasemaje ila chelesea first choice ilikuwa lukaku same to man u ila mou alihis atampata morata in a cheap deal compare na lukaku ambapo alijua gharama zitakuwa kubwa kwani inajulikana vilabu ya england haijalish ni ndogo kias gan ila kama mchezaji wao anatakiwa na timu za mle ndani hasa bg four bas lazima dau liwe kubwa kwani ni direct opponent
 
Lukaku ni anatumia uwezo binafsi,..ii inaweza ikamchanganya akiwa man u,kama wenzake hawata MPA support,.. Morata ni very intelligent striker kwa iyo wakicheza na hazard they can make wonders kama wakielewana,
...watakua invincible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…