Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chelsea wamemsajili kwa inititial fee ya £70.5m
Unamaanisha kupwaya huku against rent boys?
Nani anahitaji ufundi kama mshambuliaji anatumbikiza hivi?
Labda kupwaya kunamaanisha vingine? Lakini inaonekana Lukaku keshazifunga timu zote kubwa.
Haya leteni lingine.
... mfumo wa Conte hautegemea mfungaji mmoja while mfumo wa Mourinho ni wa kumtegemea striker mmoja kufunga
..Wapo wanaodai kuwa Lakaku ni striker mzuri zaidi kuliko Morata. Pia wapo wanaodai Morata ni mkali zaidi kuliko Lakaku.
Diego Costa anaweza kuwa bora kupia hao wawili ila sasa fujo zake zinaweza kudhoofisa. I am the big fan of Agueroooooooooooooooooooooo ....... I swear you'll never see anything like this again!
Ninachokiona ni kuwa ukweli ni kuwa Juve na R Madrid ni timu kubwa na imara zaidi ya Chelsea; na kama Morata alishindwa kung'aa vema na R Madrid kiasi cha kuweza kuwa chaguo namba moja basi nahofia kuwa Chelsea ndo atapotea zaidi maana nature ya ligi ya epl ni tofauti na ligi alizowahi kuzicheza hapo awali kuanzia timu yenyewe hadi uwezo wa mchezaji mmoja mmoja.
umeua[emoji23] [emoji23] hata sijui umetokea wapi jeshi langu......Morata miaka 4,magoli 40
Lukaku miaka 4, magoli 105
Suala la ukali wakati mwingine linategemea mchezaji anatumiwaje na formation ya timu husika. Kwa style ya Chelsea ambapo kunakuwa na one main Striker, Lukaku angetufaa zaidi.
hatariiiiiiiii ila kumbuka msimu wake wa kwanza mwanzoni alikua anafunga sana akaanza majigambo eti nitachukua sana ufungaji bora hapa epl uliza kilichomkuta mwisho wa msimu mpaka leo hana kiatu cha ufungaji bora... THIS IS EPL
Nzi the point hapa ni kwamba tunawafananisha hawa wawili regardless ya clubs tunazozisupport. Kwangu mimi kama Arsenal fan nimefurahia usajili wa Lukaku kwenda Man Utd cuz najua nitarelax when we play against Man Utd. Kwenye career ya Lukaku hajawahi kutusumbua kabisa Arsenal na huwa siku zote anafichwa. Hii ni kwasababu ya uwezo wake mdogo na hawezi kujiongeza!! Morata ni mtu ambaye ana uwezo wa kucreate chance na kuscore kitu ambacho Lukaku hawezi.Kwa namba 9 unahitaji magoli tu! Ufundi wanao namba 10 na midfielders. Hususani kwa United, Lukaku wala ahitaji hata kujua kupinga chenga. Lukaku ni natural goal getter! Ni design ya akina Chicharito, Ruud Van na Pippo Inzaghi.
Angalia career stats za Morata: Alvaro Morata | Football Stats | Real Madrid | Age 24 | Soccer Base
Halafu ona za Lukaku: Romelu Lukaku | Football Stats | Manchester United | Age 24 | Soccer Base
Lukaku tayari ni proven goal scorer kwenye EPL. Na kama uliwasikiliza Jose na Edward, walimtumia Morata kama dummy, ila kuwa-fool rent boys juu ya Lukaku. Hivyo rent boys waka-relax wakiamini hawana mshindani katika kumpata Lukaku! Ikala kwao.
Wewe kama shabiki wa Arsenal, your opinion on Lukaku's move to OT is irrelevant. It doesn't matter at all! Kama unamwona na flaws, is that not good for you as a Gooner?
Tungeelewa zaidi kama tungeambiwa hayo magoli yamepatikana baada ya kila mmoja kucheza mechi ngapiumeua[emoji23] [emoji23] hata sijui umetokea wapi jeshi langu......
sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
hamna uwiano hapo bla appearanceMorata miaka 4,magoli 40
Lukaku miaka 4, magoli 105