Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,666
- 7,788
Poleni sana, Mimi Kijijini Kwa Maza anatumia REA nikinunua wa buku 5 mwezi na kitu hapo washakata na buku jero lao.
Anawasha taa tu na kiskrin inch 24
Anawasha taa tu na kiskrin inch 24
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasasa watu wamekuwa wakilalamika Unit za umeme kuisha mapema! Sijui kuna nn hukoKutakuwa na shida kwenye waya tafuta fundi. Usipoangalia ajali ya moto inakunyemelea.
Matumizi yako yakoje kwa hizo unit 28 kwa siku 7?Binafsi 28units natumia siku saba, labda itokee jini litumike.
Huu utetezi wao hauna mantiki kwani watoto wameanza kuwa likizo mwaka Jana tu.?? Mimi pia nilikua naiona hii habari mitandaoni naipuuza ila hata Mimi nimenotice mabadiliko kiasi baada ya umeme kuisha ghafla usiku was Jana, kucheki luku nakuta 0. Nimeanza kufuatilia matumizi baada ya kununua ili nijiridhisheHili tatizo watu wengi wanalilalamikia.
Asubuhi nilikuwa nasikiliza Clouds watu wanalalamika hadi mtangazaji akahojiwa hadi meneja wa Tanesco.Alichosema huu mwezi watu matumizi yamekuwa mengi kwakuwa wengi wapo nyumbani na watoto wako likizo hivo matumizi yamekuwa mengi.
Hii nikutokana na malalamiko ya watu wengi kwa huu mwezi units kutumika nyingi kuliko miez mingine
Panga boi 3,nje taa 8,friji aliwashwi mara kwa mara,kwa umeme wa elfu 60 kwa mwezi unavyodhani ni fair enough au kina shida sehemu?40k inamaliza mwezi na wiki kama mbili za mwezi ujao mkuu
Huyo mtangazaji mwenyew naye aliishia kulalamika hivohivo kuwa huo utetezi hauna mantiki.Huu utetezi wao hauna mantiki kwani watoto wameanza kuwa likizo mwaka Jana tu.?? Mimi pia nilikua naiona hii habari mitandaoni naipuuza ila hata Mimi nimenotice mabadiliko kiasi baada ya umeme kuisha ghafla usiku was Jana, kucheki luku nakuta 0. Nimeanza kufuatilia matumizi baada ya kununua ili nijiridhishe
Fridge 24/7, pasi, rice cooker, kusaga matunda na makorokoro ya jikoni, kuvuta maji, taa za nje ukutani 7, uzio 8, tv na redio kwa uhuru wao. Wastani wa 4units per day mkuu.Matumizi yako yakoje kwa hizo unit 28 kwa siku 7?
Ni matumizi makubwa na umeme auendi kama unavyotembea kwangu,friji kuwashwa wiki mara 4 then ni kwa masaa 20 hadi 12,panga boi 3 hizi kipindi hiki cha joto zinaunguruma hasa,taa za nje 8,TV na rice cooker tena si kila siku na natumia umeme wa elfu 60,kuna siku nilipima muda tunalala hadi asubuhi nikapata unit 3 kasoro kidogo kwa taa 8 na pangaboi 3Fridge 24/7, pasi, rice cooker, kusaga matunda na makorokoro ya jikoni, kuvuta maji, taa za nje ukutani 7, uzio 8, tv na redio kwa uhuru wao. Wastani wa 4units per day mkuu.
Friji usiwe unazima, ukizima barafu zikiyeyuka ukija kuwasha unatumia umeme mwingi bora kuliwasha moja kwa mojaPanga boi 3,nje taa 8,friji aliwashwi mara kwa mara,kwa umeme wa elfu 60 kwa mwezi unavyodhani ni fair enough au kina shida sehemu?
Sasa wewe ndio unatumia umeme mwingi, mimi 4units x 30 = 120units kwa mwezi, sawa na 40k hadi 50k, usizime fridge hasa kama lina upya bado(coz ukizima na kuwasha ni kama unalipa kazi upya na litakula umeme zaidi)Ni matumizi makubwa na umeme auendi kama unavyotembea kwangu,friji kuwashwa wiki mara 4 then ni kwa masaa 20 hadi 12,panga boi 3 hizi kipindi hiki cha joto zinaunguruma hasa,taa za nje 8,TV na rice cooker tena si kila siku na natumia umeme wa elfu 60,kuna siku nilipima muda tunalala hadi asubuhi nikapata unit 3 kasoro kidogo kwa taa 8 na pangaboi 3
Angalia waya unaotoka kwenye circuit breaker kwenda kwenye main switch(ndani ya hilo distribution box, wenyewe wanaita main switch)31.12.2023 niliweka wa 20,000 (28 units) Jana tarehe 02.01 umekata
Kwasasa watu wamekuwa wakilalamika Unit za umeme kuisha mapema! Sijui kuna nn huko
Duuuuh.[emoji15] 20,000 napata unit 10 tu
Natafakari mm umeme wa 20,000/= nilipata unit 56 zilikaa siku 10.
Natafakari baada ya kusoma humu juu ya matumizi kuwa makubwa kwenye LUKU.
Lkn watoto wangu Wanaungurumisha FENI usiku kucha , vyumba 2, mara mchana wanasahau wakitoka vyumbani kuzima feni.
Wali wanapikia cooker, nje kuna taa kwenye ukuta.
Lkn kipindi cha nyuma nilikuwa namaliza walau siku 20.