LUKU inakula umeme sio poa

LUKU inakula umeme sio poa

Hili tatizo watu wengi wanalilalamikia.
Asubuhi nilikuwa nasikiliza Clouds watu wanalalamika hadi mtangazaji akahojiwa hadi meneja wa Tanesco.Alichosema huu mwezi watu matumizi yamekuwa mengi kwakuwa wengi wapo nyumbani na watoto wako likizo hivo matumizi yamekuwa mengi.
Hii nikutokana na malalamiko ya watu wengi kwa huu mwezi units kutumika nyingi kuliko miez mingine
 
Huu utetezi wao hauna mantiki kwani watoto wameanza kuwa likizo mwaka Jana tu.?? Mimi pia nilikua naiona hii habari mitandaoni naipuuza ila hata Mimi nimenotice mabadiliko kiasi baada ya umeme kuisha ghafla usiku was Jana, kucheki luku nakuta 0. Nimeanza kufuatilia matumizi baada ya kununua ili nijiridhishe
 
Huyo mtangazaji mwenyew naye aliishia kulalamika hivohivo kuwa huo utetezi hauna mantiki.
Nadhani kuna walipeleka taarifa zao Tanesco hivo watajaribu kuangalia shida ipo wapi mana wana taarifa.
Na haya malalamiko hasa ni kwawatu wa Dar
 
Fridge 24/7, pasi, rice cooker, kusaga matunda na makorokoro ya jikoni, kuvuta maji, taa za nje ukutani 7, uzio 8, tv na redio kwa uhuru wao. Wastani wa 4units per day mkuu.
Ni matumizi makubwa na umeme auendi kama unavyotembea kwangu,friji kuwashwa wiki mara 4 then ni kwa masaa 20 hadi 12,panga boi 3 hizi kipindi hiki cha joto zinaunguruma hasa,taa za nje 8,TV na rice cooker tena si kila siku na natumia umeme wa elfu 60,kuna siku nilipima muda tunalala hadi asubuhi nikapata unit 3 kasoro kidogo kwa taa 8 na pangaboi 3
 
Sasa wewe ndio unatumia umeme mwingi, mimi 4units x 30 = 120units kwa mwezi, sawa na 40k hadi 50k, usizime fridge hasa kama lina upya bado(coz ukizima na kuwasha ni kama unalipa kazi upya na litakula umeme zaidi)
 
31.12.2023 niliweka wa 20,000 (28 units) Jana tarehe 02.01 umekata
Angalia waya unaotoka kwenye circuit breaker kwenda kwenye main switch(ndani ya hilo distribution box, wenyewe wanaita main switch)

Kunakuwa na misumari(screws), unaweza kuta live waya imeshachanika au kutobolewa na huo msumari, umeme unamwagwa chini kupitia earth rod.

Kagua, kama hamna kifaa cha kuzalisha joto kubwa au short circuit, basi mchawi ndo huyo waya wa live
 
Natafakari mm umeme wa 20,000/= nilipata unit 56 zilikaa siku 10.

Natafakari baada ya kusoma humu juu ya matumizi kuwa makubwa kwenye LUKU.

Lkn watoto wangu Wanaungurumisha FENI usiku kucha , vyumba 2, mara mchana wanasahau wakitoka vyumbani kuzima feni.

Wali wanapikia cooker, nje kuna taa kwenye ukuta.

Lkn kipindi cha nyuma nilikuwa namaliza walau siku 20.

Pole
Nmepandisha uzi juu ya haya

Fungua bio yangu soma
 
Je umeme wako (units za luku) unaisha sana? Zingatia yafuatayo.
 
Back
Top Bottom