- Thread starter
- #61
PoleUongoo bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoleUongoo bhana
Kuna tatizo sehemu.31.12.2023 niliweka wa 20,000 (56 units) Jana tarehe 02.01 umeisha
Next to impossible kwa balbu tano kula umeme kiasi hicho. labda kama ni zile flood lights za uwanja wa kucheza mpira usiku..!! AU labda una motor kubwa kwako..!!Toka tarehe 22/12 umeme unaenda kwenye luku sio poa. Wastan wa units 28 Kwa siku Kwa nyumba ya kutumia balbu 5 na friji, TV
Nilikosea Ni balbu 15 ndugu.Next to impossible kwa balbu tano kula umeme kiasi hicho. labda kama ni zile flood lights za uwanja wa kucheza mpira usiku..!! AU labda una motor kubwa kwako..!!
Kama huna kifaa kikubwa kinachokula umeme sana, Ita fundi umeme acheki wiring system yako..!! Especially earthing system
Pamoja na hayo, balbu moja ina watt ngapi? Au total watts kwa balbu zote 15 ni kiasi gani?Nilikosea Ni balbu 15 ndugu.
Chawa wa mama hadi wewe unaisoma namba kumbe!Ni kweli kabisa. Yaani hawa akina Makamba sijui waliacha nini TANESCO, yaani wizi mtupu. Hata mi juzi tu nimenunua luku kibao ila nimekuja kushangaa eti unit zimebaki kidogo. Wanasheria mtusaidie
Units 28 kwangu ni siku mbiliBinafsi 28units natumia siku saba, labda itokee jini litumike.
Ndiyo yaani Chawa tunaisoma namba ila hatuachi uchawaChawa wa mama hadi wewe unaisoma namba kumbe!
Matumizi yako yapoje? Au trend ya matumizi imebadilika bila kuongeza kitu kinachotumia umeme?Ni kweli kabisa. Yaani hawa akina Makamba sijui waliacha nini TANESCO, yaani wizi mtupu. Hata mi juzi tu nimenunua luku kibao ila nimekuja kushangaa eti unit zimebaki kidogo. Wanasheria mtusaidie
Hicho ni kiwanda au nyumba😂😂😂😂😂Toka tarehe 22/12 umeme unaenda kwenye luku sio poa. Wastan wa units 28 Kwa siku Kwa nyumba ya kutumia balbu 5 na friji, TV
Hata kama fridge likiwa bovu hivi unazijua unit 28? Huyu atakuwa ana chomelea vyuma kwake hahaha😂😂😂😂Pole sana au friji limekuwa bovu.
Nipo kigamboni pia, Sizimi friji, Taa za nje 6 bado za ndani, pasi, tv, na tangu nimeweka unit 56 ni wiki imeisha sasa na hazijaisha
28 unit/day? Ama figures zimekosewa?Toka tarehe 22/12 umeme unaenda kwenye luku sio poa. Wastan wa units 28 Kwa siku Kwa nyumba ya kutumia balbu 5 na friji, TV
Kuna tatizo kubwa mahaliii...kubwa mnoo...!! mimi friji...feni 2..tv..brenda...sabufa..yani vituu vingi lakini haizidi ellu 20.Wewe kama Mimi tu,panga boi 3 na friji,umeme Kwa mwezi ni 60,000
Hapana sijaongezaMatumizi yako yapoje? Au trend ya matumizi imebadilika bila kuongeza kitu kinachotumia umeme?
Wasiliana na tanesco haraka iwezekanavyo. Umeme wa kutumia units 20+ kwa siku kwenye nyumba ya kawaida, sio kawaida.31.12.2023 niliweka wa 20,000 (56 units) Jana tarehe 02.01 umeisha
Bro unamiliki garage?Units 28 kwangu ni siku mbili
Acha tu bro yani umeme wa buku 5 unit 14 nkikaa kizembe nalala giza haufiki asubuhiBro unamiliki garage?
Mimi 28 Wiki 2 kasoro.
Fanya hima usome comments zote, kwa msaada zaidi waite Tanesco waje, ni wasumbufu kuja ila komaa nao hivyo hivyo.Acha tu bro yani umeme wa buku 5 unit 14 nkikaa kizembe nalala giza haufiki asubuhi
Feni zipi,panga boi au?Kuna tatizo kubwa mahaliii...kubwa mnoo...!! mimi friji...feni 2..tv..brenda...sabufa..yani vituu vingi lakini haizidi ellu 20.